Salamu wadau,
Jamani naomba kuuliza, kuna mtu yeyote anajua lolote kuhusu namba hizo?
Binafsi nimepigiwa mara kadhaa na sikupata ujasiri wa kuzipokea
Tafadhari tusaidiane.
Asante
Mkuu wa Kituo Cha Polisi katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Makambako wilayani Njombe, ASP Mshana Mjema, anadaiwa kumjeruhi mwananchi mmoja kwa kumpiga virungu na kumsababishia madhara makubwa...
Wana JF - especially wana MAGAMBA,
Wakati mgao wa umeme umeeanza nchini kwetu (na imekuwa jambo la kawaida si geni tena) Ghana kuna sheria zifuatazo zinazomlinda mteja wa umeme:
Umeme...
MKUU wa Polisi wa Wilaya ya Kibondo, mkoani Kigoma, jana alishikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kumpiga risasi sehemu ya makalio, Mkufunzi wa Sanaa katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha...
IF YOU'RE reading this, predictions that the world would end on May 21 were not true. US preacher Harold Camping, 89, who has studied the Bible for 70 years, predicted May 21 as...
Chanzo tbc1 na macho yangu mwenyewe!!
Wanasema watafanya matengenezo kwenye satellite yao hivyo watalazimika kuzima mtambo! Isipokuwa wale wanaoangalia kupitia DSTV wao haiwagusi
Wakazi wa Bulyanhulu na vijiji vya jirani wakiongozwa nadiwani wao wa Chadema leo wamefanya maandamano ya amani kwa kuwapa Barrick siku 30 wawe wameleta maji kakola kwani wanaishi jirani na mgodi...
Ndugu Waandishi wa habari na Wanaharakati.
Pole na shughuli.
Naleta kwenu malalamiko yetu, ili mtusaidie kufuatilia.
Tuna mtoto wetu aitwae Solome Mahamud, anasoma Arusha. Mtoto huyo alikuja...
Wana JF,
Mimi sio muangaliaji sana wa hii TV ya Taifa (TBC) siku za mapumziko ya wiki ndio napata nafasi ya kuangalia leo wiki ya tano (5) wanarudia kuonyesha vipindi vile vile, saa nne usiku...
Kung'olewa kwa kaburi la Kiyeyeu mchawi wa Iringa, ambalo hata wazungu walishindwa kuling'oa na kifo cha Shehe magirini ni anguko kubwa kwenye himaya ya wachawi
Leo asubuhi kulikuwa na tukio la kutaka kupora hela zilizokuwa zinaingia ofisi ya kuuzia madini ya Classic, kwenye purukushani hizo majambazi walimpiga risasi mlizi Joseph na kumwua hapohapo ila...
Ukitazama kwa makini foleni za magari jijini kati Dar utagundua kuwa almost 60-70% ya magari ni ya watu binafsi. Utakuta foleni kwa mf inatoka manzese hadi magomeni ina magari 40 binafsi na mtu...
Nina LCD TV ya Sharp model LC-32GA6E imepata tatizo leo inatoa sauti lakini haitoi picha. Naomba kama kuna mtu mwenye ujuzi wa kiufundi anisaidie kutatua tatizo, nipo Dar namba yangu 0787662663...
Nikiwa na msongo wa mawazo, nikiwa na sononi huwa nakimbilia JF, nazisoma weee, shida zote za dunia huzisahau na kujiona niko peponi (sio kwenye pepo punda ila kule tutakako enda leo saa 11 jioni...
Kuna watu maishayao yote wanaishi kutegemea waganga na watabiri..ninavyoongea kuna watu wanakwenda kuwa maskini wa kutupa kutokana na kifo cha sheikh yahyan sasa basi ni wewe mtu wa mungu kujianda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.