Inasikitisha sana kuona serikali yetu imeshindwa kutatua suala la mgomo wa daladala mkoani Morogoro. Ni siku tatu tangu huduma hio muhimu katika ujenzi wa taifa ilipositishwa kwa madai ya kuwa...
Kwenye gazeti la Mtanzania la leo kuna habari kuwa gari la wizara ya maji linashikiliwa katika hoteli ya Land Mark kutokana na deni la Sh58 million.
Inaelezwa kwenye habari hiyo kuwa wafanyakazi...
A dangerous bubble - Richard Dowden takes the temperature of Tanzanian democracy and discovers a land of two halves.
When our ancestors first looked out across Tanzanias plains from Olduvai...
Huwa nasikitika sana na kupatwa na huruma nikisikia mpigania haki kauawa na risasi za Moto na Jeshi la Usalama wa raia la polisi. Tunasikia Nchi nyingi huwa wanatuliza Ghasia kwa silaha baridi...
p { margin-bottom: 0.08in; } Wengi wanasema maneno mabaya baada ya kifo cha shekhe Yahaya, ikumbukwe kuwa pamoja na maisha yake katika utabiri lakini alikuwa ni kiumbe wa Mungu ambaye ilikuwa ni...
Heshima zenu wana jf! Hali ya maisha imekuwa ngumu kila uchwao, nna mke pa1 na watoto wawili, ila kipato changu hakiendani kabisa na ukubwa wa familia yangu. Sasa nimeonelea nianze kuchukua hatua...
Sijasikia salamu za rambirambi za JK kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe (CCM) Ndugu John Mwankenja. Taarifa ni kwamba huyu Mwankenja ameuliwa jina usiku wakati Sheikh...
Kiukweli kutoka moyoni mwangu huwa na umizwa sana na hili suala, kwa nini tz inaendeshwa zaidi kwa nguvu za dola?
Utakuta wanafunzi wamegoma tena maandamano ya amani kudai haki zao, lakini polisi...
p { margin-bottom: 0.08in; } Wengi wanasema maneno mabaya baada ya kifo cha shekhe Yahaya, ikumbukwe kuwa pamoja na maisha yake katika utabiri lakini alikuwa ni kiumbe wa Mungu ambaye ilikuwa ni...
Nimesikia taarifa ya habari Clouds FM asubuhi ya kwamba Mama Salma Kikwete alisalimiwa na wanafunzi kwa ishara ya vidole viwili na wanafunzi wa primary.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, tukio...
Wana JF wenzangu kwanza poleni kwa mkesha wa kusubiri mwisho wa dunia. Baada ya pole hiyo, nina jambo hili, kuna thread hapa JF zimekuwa zikijaribu kutujuza mikoa inayoongoza kwa uchawi, ukatili...
Hii ndio tz bwana! Ktk hali ya ajabu mwanamke mmoja amejifungulia ndani ya pantoni lile kubwa hapa KIGAMBONI huku likiwa ktkt ya bahari! Mashuhuda tulio kuwepo imetubidi kufumba macho! Hii watz...
Kwenu wapendwa
hili limenikuta hivi karibun si haba kuwajulisha..nilifika pale engen mikochen nikauliza jamani kuna mayai ya kienyeji wakasema yapo..nikaenda nikanunua trei mbili nilipofika...
Ndugu zangu leo ninasafiri kutoka Njombe, tumeanza safari vizuri bila hofu ndani ya basi la Lupelo, ila tulipofika Melela bila ujasiri wa dereva muda huu tungekuwa marehemu.
Wakati gari yetu...
When Josh Ferrin closed on his family's first home, he never thought he'd make the discovery of a lifetime then give it back.
Ferrin picked up the keys earlier this week and decided to check...
Nimepata habari kutoka gazeti la Raia Mwema la wiki hii kuhusiana na habari za uhujumu wa uchumi kwenye wizara ya maliasili. Habari hii kutoka ndani ya moyo wangu imenihuzunisha sana kama sio...
Ukifika getini muhimbili national hospital, utakuta mama mmoja kichaa mweupe hivi kiasi, sio mchafu sana kama vichaa wengine, ila anafanya vituko kama wafanyavyo vichaa wengine.
Tatizo langu...
Mara nyingi nimezoea kuona/kusikia kila kunapotokea fujo lazima utasikia kumetokea mauaji ya RAIA yanayosababishwa na jeshi letu la polisi, na hakuna hatua yoyote inayochukuliwa zaidi tu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.