Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
By Al-amani Mutarubukwa, The Citizen Reporter Dar es Salaam. The government will not cut taxes on fuel as there are alternative ways of curbing the spiralling inflation, Bank of Tanzania...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tanzania tuna amani au utulivu? Kama tuna amani vipimo vya amani ni vipi, chanzo cha amani hiyo kinatoka wapi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana nimekutana na mtu anaitwa Sicheki, ain't no joke
0 Reactions
41 Replies
9K Views
The €500 Test That Tells You How Long You Will Live DNA breakthrough heralds new medical era - and opens ethical Pandora's box Huge demand expected for DNA 'lifespan test' A blood test that...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza kuvutiwa na kipima joto from ITV ni leo. Watu waliotoa maoni ya kipimajoto "je wananchi kuwapiga wabunge wao mawe, ni suluhisho la matatizo yao?" 71% wamesema NDIYO. Sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bahati mbaya siko Tanzania kwa sasa lakini ningependa kurudi kuishi miaka michache ijayo. Mimi ninawazo. Je mnafikiriaje kama kungekuwa na kikundi cha Watanzania kuanzia 30 years mpaka 45 years...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kila Mtanzania mwenye uchungu wa nchi yake, anayeona aibu umaskini uliozagaa na hali tuna utajiri kila pembe, anayewahurumia wazee na watoto wanaokufa kwa kukosa huduma za kawaida, anayependa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi hakimu wa mahakama ya wilaya anahaki ya kumuamuru hakimu wa mahakama ya mwanzo asitoe dhamana kwa mshitakiwa.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MWANAUME aliyetambulika kwa jina la Bakari [36] mkazi wa jijini Dar es Salaam, amejikuta akipeleka hasira zake sehemu mbaya na kujikuta akimjeruhi mtoto wake wa kambo kwa kummwagia chai ya moto...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
By DAILY NEWS Reporters, 18th May 2011 @ 20:00 MOST of the country will go without electricity for sixteen hours a day for about a week effective on Thursday as the load shedding exercise...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"NDUGU wana CCM:Viongozi wabovu wenye mioyo ya kuku,hulizwa na matatizo;bali watu (viongozi)mathubuti, wenye mioyo thabiti,hukomazwa nayo .........hatima ya Nchi yetu ni jukumu letu.Kwa pamoja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sioni ule uhuru tuliokimbilia miaka ya 60.viongozi wamekuwa wezi mafisadi,hakuna kuwajibika,the same problems since indpnt poor,infrastructure.education, health,btn 48 poor countries 30's came...
0 Reactions
2 Replies
916 Views
Nchi yangu haina waziri Mkuu! Niwapi nitapata waziri Mkuu kama E.Moringe?? Wapi nitapata Naibu waziri Mkuu Kama A.Lyatonga?? Waziri mkuu umepwaya sisikii ukikemea kwa vitendo zaidi yakukemea kwa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
A hotel maid, Nafissatou Diallo, who says IMF chief Dominique Strauss-Kahn tried to rape her was due to testify before a New York grand jury on Wednesday, as the French presidential hopeful...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba chama cha mapinduzi imenunua kampuni ya ndege ya precision na kuwapa wafanyakazi wanaohudumia ndani ya ndege magwanda ya kijani kama utambulisho wao...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu wanajamii na watanzania kwa ujumla, Kutokana na ugimu wa maisha watu wamebuni njia mbalimbali jinsi ya kutapeli watu na baada ya kugundua kuwa watu wana shida mbalimbali, hii loophole watu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna taarifa zimezagaa kuwa May 21 mwaka huu ndio mwisho wa Dunia... Na kuna wanaokuja mpaka na Data za vitabu vya Dini wakithibitisha hilo... Kuna nini hapa? je kuna ukweli ndani yake?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu great thinkers, jaman jana kunakitu kimenisikitisha sana. kuna mama tulipanda nae kwenye daladala akiwa na mtoto mdogo sana (9months-1.5years hiv). cha kushangaza tuliowakuta hata...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mahitaji ya chupataka toka dampo la Kinyamwezi Pugu kurudi viwanda vya chupa za maji ndio yaliyopelekea marufuku ya kununua petrol katika chupa na vidumu, usafi wa chupa na vidumu vya maji unakuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom