Baada ya kifo cha Mnajimu aliyekuwa maarufu Africa Mashariki na Kati,Je? Ule ukurasa wa mambo ya ijuwe"NYOTA YAKO" kwenye gazeti la Nipashe itaendelea kuchapishwa wakati Mnajimu katangulia mbele...
Wapendwa
si mbaya kuweka hapa jamvini..jana nilikuwa naweka mafuta pale engen mbezibeach..kwa mbele nikaona jamaa amepaki ananyonya kitu kutoka kwenye gari inamwagika yakamwagika mengi...
Ni muda sasa kumekuwepo na hulka ya wanachi katika baadhi ya maeneo katika mikutano ya hadhara kuwazomea baadhi vingozi wa kisiasa au Watendaji pale ambapo hawaridhishwi na majibu au...
Juzi tu raia walimwua askari polisi mmoja huko Tabora na sauti za kikubwa zikasikika na walifika eneo la tukio bila kuchelewa na kutoa kauli kali sana. Kabla ya hapo mashamba ya wawekezaji...
MCT yakerwa uandishi usiozingatia maadili
Na Mwandishi wetu
20th May 2011
B-pepe
Chapa
Maoni
Baraza la Habari Tanzania (MCT), limesema limebaini kwa masikitiko...
Tumekuwa tukiuzunguka mbuyu, eti kafa na stroke, mara kisukari., mara lile wakati jamaa kafa na ngoma na alikuwa na medemu wengi sana na wengine walisha tangulia mbele ya haki kwa kaugonjwa kalekale
Wakuu,
Kwenye nipashe asubuhi leo nimepata habari ya kusikitisha ya watoto wa miaka 12 mpaka 13 wamemnyonga mtoto mwezao wa miaka 2
Kisa kimetokea wakati watoto hao wakicheza Kaka wa marehemu...
RAIS Jakaya Kikwete amesema Bara la Afrika lipo hatarini kuwa masikini wa kutupwa kuliko mabara yote duniani ikiwa viongozi wake hawatapata mbinu mpya za kiuongozi za kukabiliana na matatizo...
Wanasheria wa kibongo nawachukia sana tena sana
hawahawa wanasheria ndio wanaotengeza sheria za kusamehe kodi mashirika makubwa na kukimbizana na wauza nyanya,
hawahawa ndio wanatunga sheria...
The Government has failed to avail 2011/2012 budget books to Members of Parliament 21 days before the Parliament budget session as requested by Parliamentary Standing Orders.
According to Article...
Wana JF inasemekana kuna mgomo wa Daladala yaani yale magari yanayotumika kusafirishia abiria ndani ya Manispaa ya morogoro,mgomo huo ni wa siku mbili
kwa aliye morogoro anaweza kutujuza nini...
katika kudhihirisha kuwa watanzania sasa wanataka mabadiliko ya kweli,wanafunzi wa bunda wamemjibu salamu yake mama salma kikwete kwa alama ya V.Ikabidi amuulize mkuu wa wilaya kulikoni au...
By In2EastAfrica - Thu May 19, 9:25 pm
Former Zanzibar President Dr Amani Abeid Karume
Former Zanzibar President Dr Amani Abeid Karume is on Friday expected to deliver a lecture at the...
Kuna mdogo wangu,nilimpeleka muhimbili hospital,anasumbuliwa na tumbo wakampima,wakasema anasumbuliwa na duedanal ulcers,cha ajabu hata akila pilipili,maharage,na vitu vyote vyenye acid,tumbo...
JANA majira ya jioni saa 1 katika barabara ya Nyerere kulikuwa na foleni ndefu ya magari isiyo na mfano isiyotembea hali iliyofanya raia wawili wa kizungu kungaka kwa hasira na hatimaye kushuka...
Nimeibiwa mara tatu sasa pale chalinze, nipo kwenye bus nanunua kitu nje jamaa anajikanyaga kutafuta chenji mfukoni mpaka bus inaondoka, anajifanya kukimbiza bus kumbe ananizuga. Nachojiuliza hivi...
Habari za usiku wana jf. Nafikiri wengi tutakuwa tumeona kwenye taarifa za habari toka jana nimeona taarifa ya habari picha zake ni za black and white, au ndo maendeleo baada ya Tido kuondoka. Au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.