Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ukipita Barabara ya Uhuru ambayo hapo awali ilitumika kupitisha viongozi wakitafa, nakumbuka Mzee Mandela, Walter Sisulu, Papa John Paul(Mwenyeheri) na wengine wengine wengi; utakutana na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali ya Tanzania kupitia waziri wa mambo ya nje imewaambia Waingereza waharakishe malipo ya fidia ya Paund Milioni 29 kwani wanataka kununua navyo vitabu na madawati...... alisema hivi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
KATIKA hali ambayo isiyo ya kawaida askari wa Usalama barabarani (trafiki) wa kituo cha Gerezani manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, amemtwanga makofi dereva wa gari hadharani kwa kile...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari ya mihangaiko wana jamii....Kwa heshima na taadhima niwashukuru wale wooote waliochangia thread ya jana aliyoitoa mwana jamvi mwenzetu juu ya kuanzisha JF saccos.. kiufupi nilipitia...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wageni wana haki ya kuamini Kilimanjaro haipo Tanzania Send to a friend Tuesday, 10 May 2011 09:58 Mlima Kilimanjaro Mhariri, DHANA ya kwamba Tanzania tumekuwa hatufaidi maliasili zetu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
duu...hii kalii wadau...hizi habari zimezagaa sana...wengine hata hawajui nini kinazungumziwa haswa...nimeona nitoe hii habari yenyewe hapa kila mtu asome na aamue mwenyewe bila kutumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi karibuni, Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Tanzania ulitangaza fursa ya watu kuwania kiti cha Uenyekiti wa umoja huo. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa UVCCM, Martin Shigela, hadi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kuna jambo nimelishuhudia jana jioni nikashangaa. Mchungaji mmoja na waombaji wenzake walikuwa wanamuombea binti aliyepagawa mapepo nikasikia pepo linasema hivi, 'JAMANI KARIBUNI LOLIONDO KWA BABU...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Bin Laden apongeza mapinduzi ya wananchi katika nchi za Kiarabu Kiongozi wa mtandao wa al Qaida Usama bin Laden amepongeza mapinduzi ya wananchi katika nchi za Kiarabu katika mkanda wa sauti...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kutakua na kongamano kuhusu Tanzania,umasikini na miaka hamsini ya uhuru. kongamano hili litafanyika nyerere hall hapo chuon ushirika kilichopo Moshi barabara ya kwenda hospitali ya KCMC. watoa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa nini tunalala? 1. Kwa kuwa ni usiku? 2. Kwa kuwa tumechoka/tunausingizi? 3. Kwa kuwa wengine wanalala pia? 4. Kwa kuwa wenzi wetu/familia wanatutaka/kutufanya tulale? 5. Kwa kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Raia Mwema Ughaibuni Nakala chapishi Mtumie mwenzio Jiandikishe utaarifiwe Kelele za kujivua gamba CCM ni moto wa karatasi Evarist Chahali, Uskochi Mei 18, 2011 Punde...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF.... hii ni hatari na wala hamuwezi kuamini!!!! Jimbo la huyu mwanamama ni Mtwara Vijijini,,,,,laiti kama ungepata nafasi ya kutmbelea hili jimbo, huwezi kuamni kuwa wanaishi DUNIA hiii...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mi sijui bwana!! Labda nianze kwa kusema hivyo. Je ni kweli siku ya tarehe 21/5/2011 tusubirie hukumu ya Muumba apendae vitu vyake vyote alivyovifanya na kuviumba, Mungu mwenye neema tele, alete...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
For 18 years, Stephen Lawrence's parents have been denied justice for their murdered son. Yesterday, they were given hope Justice at last? Stephen Lawrence, 18, was attacked in a...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Na Tumaini Makene MWENYEKITI wa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Freeman Mbowe amesema kuwa kasi ya mabadiliko ya siasa za mageuzi hadi vijijini si matokeo ya nguvu za...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Amani iwe juu yenu wanajamvi wenzangu? Kwa miaka kibao sasa makampuni ya simu za mkononi hapa nchini (pengine hata nje ya nchi) yamekuwa yaki-promote biashara zao kwa michezo mbalimbali ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo nimemtumia ndugu yangu pesa kwenye akaunti yake. NMB wamenitoza alfu lakini hawakunipatia risiti. Je, TRA wamewaruhusu kutuibia? Mwisho wa siku NMB watajitangazia faida kutokana na Alfu zetu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi jamani si ni huyu Kagasheki aliyekwenda kwenye huo mgodi wa North Mara kipindi cha nyuma aliyegeuka kama mbogo aliyejeruhiwa akidai kuwa uongozi wa Barrick umemdangaya ktk sakata la maji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Mkoa wa Arusha , imemtia mbaroni na kumfikisha mahakamani askari Polisi Jamal Omari wa kituo kidogo cha Polisi cha ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom