Kuna habari zilizozaaga hapa Arusha ya kwamba kuna dogo mmoja aliye2a Samunge kwa Babu na kupata kikombe, lakini baada ya hapo wakati anarudi mambo yaligeuka na kuwa kama mbogo aliyejeruhiwa na...
Nilikuwa napiga stori na ndugu yangu mmoja kuhusu kesi ya Strauss-Kahn na kukumbushana jinsi wale wanajeshi wa Uingereza waliotuhumiwa kubakwa walivyoachiliwa kwa moyo mkunjufu na serikali yetu...
Wana JF naombeni kama kuna mwenye utaalamu wa kutuma habari au taarifa kwenye mtandao anisaidie,namaanisha hata kama sina website,najua huenda suala hili likahitaji shule ya mda mrefu lakini just...
Saif al-Adel, ambaye aliwahi kuwa afsa mwanajeshi wa kikosi maalum katika jeshi la Misri, anasemekana kuwa kwa sasa ndiye aliyechukua nafasi ya Osama bin Laden, ambaye aliuawa na jeshi la...
Wana Jamii,
Nimepata taarifa kwamba kuna mwanafunzi ameuawa pale Chuo Muhimbili. Mwenye taarifa kamili au aliyepo karibu na maeneo hayo atujuze tafadhali.
WASANII wa kikundi cha Jakaya Theater wamekumbwa na simanzi baada ya mkurugenzi wao kufariki dunia kwa kuangukiwa na kontena maeneo ya Kimara Resort jijini Dar es Salaam
Msanii huyo aliyefariki...
consider, how she make it to the end of the day
working so hard just to get paid
as a single parent life aint easy
playing the role of mom and dad
Repeat Chorus
Verse 1
woman I thank you...
Kuna wakati tufike tuseme neema ya mungu isimame na hawa viongozi wetu
kumekuwa na matatizo sana kwenye baadhi ya makanisa ...majuzi nimefutahi kusoma gazeti la nyakati likisema kuna mtu mmoja...
Wanajamii heshima sana!
Kwa uchunguzi mdogo nilioufanya kwa kipindi cha mwezi mmoja nimegundua kitu cha aibu na cha kusikitisha sana kwa kikosi cha trafik hususan kwenye mikoa ya Iringa na Mbeya...
TRA imetangaza vita na CDM,imeanza kuifanyia uchunguzi wa kukwepa KODI,HI mamlaka siko zote huwa naiita chombo cha CCM cha kukandamiza wale wanaoikaidi au kwa wale au Taasisi inayodhaniwa ni...
PATENI MISTARI YA KWELI TOKA KWA BUJU NA HII NI WARAKA TOSHA KWA HALI TULIYONAYO
While I'm living
Thanks I'll be giving
To the most high, you know
Chorus
I am living while I'm living to the father...
Wadau something has just come on my mind, msinishambulie tafadhali , nimeangalia kwa makini watoto wanaozaliwa na wazazi wa mixed races wanakuwa na future tofauti sana. Mathalani baba anapokuwa...
Serikali haina mamlaka ya kutupangia cha kujadili.
MUSWADA wa sheria ya katiba mpya uliowasilishwa na serikali bungeni hivi karibuni na baadaye kuondolewa baada ya kukutana na upinzani mkubwa...
wajemeni naombeni mnisaidie nashindwa kuelewa huyu mzee kulikoni na na chama cha hawa mafedhuli sijajua anaumuhimu gani katika jamii hii kwani umri wake upo tamati sasa kulikoni mbona hawamuachii????
Kuna baadhi ya wananchi wanahoji baadhi ya masuala ya muungano na wanaomba ujadiliwe katika pande zote mbili za muungano. Hilo likijitokeza wanaambiwa wanaleta chokochoko. Binafsi naamini kwamba...
Baraza la Mawaziri latupiwa lawama kukubali wakimbizi
NA DEGE MASOLI
17th May 2011
Baraza la Mawaziri limetupiwa lawama kwa kile kilichodaiwa kumshauri vibaya Rais Jakaya Kikwete, kuhusiana na...
Wakuu hebu tujaribu kutoa mchanganuo wa wizara mojawapo hapa nchini mwetu halafu tuone kama kuna tija kwa mtu wa mwisho(mlipa kodi)
nianze na mchanganuo wangu
1.kumkaribisha mh rais...
Katika hali ya wahadhiri vyuo vikuu kuendelea kuwatumia wanachuo kama sehemu ya kutimizia haja zao na kuonyesha umaarufu wao,sasa umeingia sura mpya baada ya Mwalimu mmoja(jina tunalo)wiki...
Kwema makaka na madada, I was abit tight ndo maana nimepotea jamvini, bahati mbaya simu yangu ni ya buku 15 na sina laptop hivyo the only means that I can use to access internet ni kwenda kwenye...
LAGOS, Nigeria
MUUMINI wa dini ya kiislamu anayetibu kwa tiba za jadi katika mji wa Bida, Nigeria, Bello Maasaba, ambaye alikamatwa kwa kuoa wake 86, ameendelea kuoa na kufikisha wake 107. Taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.