Nikama miujiza! Kwaharaka ukiona nikama vile taasisi ya kulea vikonge ikijiandaa kuwapa msaada wazee hao kwajinzi walivyo na furaha wakiimba nyimbo za kisukuma! Katu kwamacho yangu ya nyama...
Monday, 16 May 2011 11:25 Daniel Semberya
DAR ES SALAAM, TANZANIA -The International Monetary Fund (IMF) has advised the Tanzanian Government to review its fiscal policy in order to curb its...
Habari wana JF,
Naandika habari hii kwa masikitiko makubwa, Nina mashaka na ubunifu na uelewa wa baadhi ya viongozi katika nchi yetu hasa kwenye masuala ambayo yanaonyesha taswira ya Taifa...
Kuanzia asubuhi ya leo 17 may 2011, wakazi wa Dar es Salaam ukipiga simu inakwenda kwa mtu mwingine bila kukusudia, sijui tatizo ni nini? wengine mpaka tumetukanwa
BAADHI ya wakazi wa Manispaa wametakiwa kuacha imani potofu ya kunywa majivu kabla ya kujamiina kwa madai kuwa kwa kufanya hivyo ni kujikinga na
maambukizi mapya.
Mratibu wa Ukimwi Shinyanga...
Wana JF,
Nimefanya utafiti wa kina kwenye jukwaa ili la Siasa kupitia Thread mbalimbali, hii Thread ya Nape muanzilishi wa CCJ, nimepima upeo Chadema JF, wengi ni Low pamoja na kuona picha ya...
kikao cha sekretariet ya ccm mkoa Arusha kilichokutana leo kumjadili mjumbe wa baraza la vijana Taifa,mrisho gambo kimeshindwa kufanyika baada ya mashahidi au wanachama waliokuwa wanamtuhumu...
... kwa hisani ya Glopal Publishers Tz Ltd..
WASANII PIGO
Makongoro Oging na Rhobi Chacha
Wingu la majonzi limefunika tasnia ya filamu Bongo na kutoa pigo kuu kufuatia kifo cha kutisha cha...
Baadhi ya Wana JF Bwana mtu kasikia Radio one Breaking News Naye anleta humu eti nayo ni breaking News!!
Haya tujipange kuwa na habari motomoto siyo Kila kitu ni breaking News zingine ni Broken...
Speech by Mwalimu Julius K. Nyerere
at the Opening Ceremony
of the Second Meeting of the Council of Representatives
at the U.N. Trusteeship Council in New York
on the 21st September 1998
Council...
kuanzia kesho tarehe -- 16.05.2011-- nauli ya daladala nchi nzima iwe shilingi elfu tano (5,000) tu kwa kila abiria bila kujali kuwa ni mtu mzima au mwanafunzi.
Ndugu wana JF hebu tulijadili hili la kubadilisha leseni. Nasikia unaenda kozi ya wiki2 na unalipa laki 2. Nauliza kuna nini kipya huko? Halafu hii laki2 ya nini kama siyo kutunyanganya haki...
Kwasababu hili jukwaa lina watu wenye kada/uzoefu/taarifa mbalimbali nadhani naweza kupata majibu. Binafsi nimekuwa najiuliza maswali mengi kuhusiana na makazi ya watu yaliyopo pale kunduchi...
RAIA wa China, wamekufa maji baada ya kuzama wakati walipokuwa wakiogelea katika ufukwe wa Hoteli ya Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Kamanda wa Polisi Kinondoni, Charles Kenyela amesema kuwa tukio...
Nimeshangazwa leo na uwezo wa kazi wa Fatma Almas. Leo ameshindwa kabisa kuelezea kwanini rwanda mfumuko wake ni mdogo kuliko tanzania, kenya na uganda. Nadhani waandishi wa tanzania naona hawajui...
nimejaribu kubishana na mtu mmoja katika hili lakini kila mmoja wetu point zinaisha,swali ni kwamba which is salty,sea or ocean?nimeangalia Wikipedia lakini tofauti siioni sasa kama yupo MJUVI...
Ni jambo kama siyo la kusikitisha na kustaajabisha, basi la kuhuzunisha kwa jinsi mambo yanavyokwenda kisiasa siasa tu wakati watu wanaishi maisha ya taabu kweli kweli nchini Tanzania.
Hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.