Wapiganaji naomba nijifunze kuhusu dhana ya kukimbiza mwenge,toka mwenge umeanza kukimbizwa serikali sijawahi kuona inahairisha ratiba ya kukimbiza mwenge.hivi karibuni serikali imebatilisha...
Kama uliwapigia Kura CCM katika Chaguzi zote basi ujue wewe umelaaniwa, watoto na wajukuu zako watakulaani mpaka kufa kwako. Laana zitawatafuna Viongozi waovu kama Kikwete, Lowassa, Chege, Nimrod...
Wakati Mwl. Nyerere anapinga dhana ya ubinafsishaji alitamka kwamba "watanzania mtajikuta mmebinafsisha hadi magereza".
Kuna habari hapa inayosema kwamba Marekani imeshaanza kubinafsisha...
Naomba kutumia nafasi hii, kuwasihini wapiganaji wote wa CHADEMA kuwa wasidhani kuwa kukubalika kwa CHADEMA kwa Watanzania wote (makundi na rika zote) ni jambo rahisi. Wazidi kujitangaza kwa...
naona sasa vita vya hao wanaojiita kwamba wamejivua gamba vimekuwa ni kupambana na upinzani zaidi kuliko kutatua matatizo mengi ya umaskini wa tanzania. Imagine...watanzania wanavyopata shida na...
Nilikuwa ninapita hapa mjini majira yapata saa tisa oo nusu,nikatia nanga mahala palipokuwepo projo nyingi ya siasa,m2 mmoja aliyekuwa anasikilizwa kwa makini akawa na hili ktk projo...
Barabara ya mandela road toka ubungo kwenda buguruni. Kuna foleni la kufa mtu, limeanzia garage. Wale wote wanaotaka kupita njia hii wenye haraka watafute njia mbadala.
Huyu Nape hana shule, hana tofauti na luteni Makamba. Ana maneno mengi ya kudanganya street boys. Mpeni kijana machachari na msomi aliyeelimika Mnyika cheo kama cha NAPE ndani ya CDM, ammaalize...
:dance:Subalkheri waungwana!
Kupata watoto kuna raha yake lakini huko tuendako hali inaashiria hatari! Kila kukicha watoto huzaliwa mithili ya siafu! Sawa watoto ni haki yetu sote ila sasa ukipata...
Wakuu,
Kwanza nianze kwa kutangaza "interests"! Mimi nimesoma shule za Kanumba mwanzo mwisho!.
Sasa jana nilibahatika kuona paper ya jiografia ya dogo moja anayesoma hizi shule zenu za kisasa...
WanaJF katika taarifa ya habari ya TBC1 nimemsikia Katibu Mkuu wa CCM ndugu Wilson Mukama akisema kwamba CCM itawaengua wafanyabiashara ambao walijiunga CCM kwa hila na kufanya mambo ambayo jamii...
SIKUTAKA kuimba wimbo mpya wa Bongo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kujivua gamba. Ninaamini kwamba wimbo huu hauna tija kwa taifa letu. Watanzania wanahitaji maji, umeme, chakula, dawa...
Nimeiona hii mahali na kuipenda, Naomba tuijadili ingawa mie binafsi nakubaliana na Zitto kwa 100%
MAFUTA YA TAA MBIONI KUPANDISHWA BEI
Zitto alisema yapo mapendekezo ya Serikali ya kutaka bei...
Boniface Maana, Tunduru na Felix Mwagara
UFISADI unaoonyesha kuwa zaidi ya Sh48 bilioni zimetafunwa na wajanja umeendelea kulitikisa taifa baada ya kampuni za kigeni kufungua kesi zikidai fidia...
Wakat nikiwa form three kama si form four huko kipoke sec,nilifndishwa jinsi kiumbe mdudu anavyokua,nikacholewa na GRAPH YAKE NI KAMA NGAZI VILE,HAPA NAOMBA MAELEZO KITAALAMU,na kwanini kujivua...
Kwa kweli hata nashindwa jinsi ya kuanza inavyotia simanzi!!
Kwa wale waliosoma Chuo cha Mzumbe miaka ya 2004, 2005, 2006, na miaka mingine na wote wenye mapenzi mema, kuna dada anaitwa MANSUETA...
Nimefuatilia kwa karibu sana uwezo wa secretariat mpya ya ccm ,nilichoigundua ni kwamba tofauti kati yao na iliyokuwa secretariet ya Makamba(Sr) ndogo ni sana.Tulitarajia hii secretariet mpya ije...
**IMPORTANT NOTICE REGARDING THE 2012 DIVERSITY LOTTERY PROGRAM**
We regret to inform you that, due to a computer programming problem, the results of the 2012 Diversity Lottery that were...
mimi si mwenyeji wa mtandao huu, na sijui ninayoandika hapa au yanabaki ofisini. naomba ambaye amenielewa anielekeze 'page' ya kuwasilisha mawazo/hoja zangu kwenye e mail...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.