Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Bandugu, Majuzi sisi kama employers tumepokea barua kutoka bodi iliyotajwa hapo juu kutuagiza kuwa from now on wards tuwe tunawakata wafanyakazi wetu 10 % ya net pay yao kama marejesho ya mikopo...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Ndugu wa JF, Salaam, Nasikitika kuwafahamisha kuwa wazazi wangu usiku wa kuamkia tarehe 2 May 2011 walivamiwa na majambazi wasiojulikana WAKAWAUA WAZAZI wangu wote kwa kuwachoma visu huko...
0 Reactions
134 Replies
8K Views
Naombeni kujua wanaJF.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii ni sehemu ya Ze komedi inayorushwa na EATV. Nashindwa kuelewa hawa waandishi wa hizi comedy wanafundisha nini jamii kwa kuandika mchezo kama huu? Hasa hapo mwisho anapoenda kumgeuza huyo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani watanzania hii nayo yashangaza, kama inavyo eleweka kuwa shughuli za mwenge wa uhuru huratibiwa na wizara ya kazi na maendeleo ya vijana, na kwa mwaka huu ilipangwa mwenge huo ungewashwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
According to 32 year old African Immigrant maid,Struss Khan(IMF Boss) emerged naked from a bathroom and chased her down the hallway before sexually assaulting her.Reminds me of Archimedes...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF,nasikitika kupoteza ndugu zangu watatu jana 15/05/2011 kwa matukio tofauti tofauti km ifuatavyo:- Tukio la kwanza ni mama mkubwa aliyekua mgonjwa (wa wastani ) aliyefariki asubuhi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tafadhali mwenye data kamili atupashe sisi tulioko vijijini idadi ya wanachama mpaka sasa imefikia wanachama wangapi mpaka sasa.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Namtahadharisha mbunge wetu mpendwa tuliyemchagua kwa kura nyingi kwa jimbo la kinondoni mhe. Mnyika kuwa kuna matatizo makubwa sana kwa wakazi wa maeneo ya kibangu,makoka,mavurunza,bonyokwa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Watanzania Wenzangu natumaini WOTE TUMEONA TANGAZO LA SHIRIKA LA CHAKULA NA KILIMO DUNIANI--FAO-- KATIKA GAZETI LA THE GUARDIAN LA JANA 14.05.2011 WAKITOA MWALIKO KWETU WOTE ILI TWEDE DODOMA NA...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Yule yanki aliyetunga maigizo ya kivuli,utelezi,na sasa mkaguzi linaloendelea kuoneshwa na kituo cha televion cha ITV amefariki dunia.preliminary info.zinasema chanzo cha kifo cha kijana huyo ni...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Hii barabara inaanzia river side kuelekea jeshini. Leo wakati narudi nyumbani nikitembea kwenye barabara hii, nawaona waenda kwa miguu, pikipiki na magari yanavyopita kwa shida wakati ni jirani...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Imeripotiwa kwamba,polisi wa mgodi wa north mara wamewaua kwa kuwafyatulia risasi watu watano na kuwajeruh wengne kadhaa,habari zinasema watu hao ambao waliandamana kundi kubwa lipatalo watu kati...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
The World’s Worst Place to be Gay? In a BBC Three programme was broadcast two weeks ago, gay Radio 1 presenter Scott Mills travels to Uganda to find out about life for gay citizens...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
'Ni watu, kwa ajili ya watu Na watu'. Hii ni tafasri iliyotolewa na mwanaharakati wa kimarekani aliyeitwa Linkon, Kwa lugha ya kiingereza ilisomeka hivi 'is the people for the people by the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nauza cim aina LG u plus 3000,nitoleo jipya limetoka MARCH 2011,inagarantee ya 2 years na bado ni mpya..bei inakwenda US$ 920..Sawa na Tshs.1,400,000 pesa za madafu.. KAMA HUKO SERIOUS NA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wa Kimataifa wa maendeleo nchini wametia saini kuchangia katika bajeti ijayo ya Serikali dola za Marekani milioni 562 (zaidi ya shilingi bilioni 840/- za Kitanzania). Waziri wa Fedha na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya ziara ya chadema mkoani mbeya. Mpango wa kuwasha mwenge umefutika na sasa mwenge utawashwa butiama. Kuna tetesi hapa mwenge hautowashwa hapa kwasababu ya nguvu kubwa ya chadema. Hivyo ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ukisikiza sauti za vyura wa masika hautaelewa wanachoimba. Hakuna mpangilio wa sauti, aanze nani afuate nani, ni ngumu ku-define. Ndiyo CCM yetu ya leo. Baada ya kuwadumbukiza WaTZ katika lindi la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom