Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kuna kipindi kinaonyeshwa TBC1 KILA JUMAPILI baada ya taarifa ya habari, kinaonyesha matukio(MAZURI TU) kuhusu wizara mbalimbali na vitengo vyake, wanalengo gani hasa! maana wamerekodi tukio la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana baada ya NAPE kushushiwa kombora na Mpendazoe kwamba yeye pia alikuwa mwanzilishi wa chama cha CCJ,wahandishi wa habari walipojaribu kujua upande wa pili unasemaje ilikuwa hivi (Nape...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Baada ya Kukumbuka na kupitia utendaji wa serikali ya awamu ya tatu ya Mjomba Ben Mkapa pamoja na bashasha za sera na slogan yake ya ZAMA ZA UKWELI NA UWAZI! na pia nakumbuka alilivalia njuga...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Jamani naomba kuwakumbuka vijana waliokuwa Ruvu JKT 1993- operesheni miezi sita. Mnamkumbuka Afande Kibuyu, Afande Amani, Afande Simba, Afande Linus, Afande Mazani, Afande .........ambaye alikuwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
YouTube - YouTube Worldview Interview - President Paul Kagame, Rwanda www.malkiory.com
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika moja ya hotuba za baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliwahikusema kuwa mtu aliyefilisika kisera na kiakili atajidhirisha kwa kuanza kukimbilia udini, ukabila, ukanda. Sasa mambo hayo...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Tanzania ni tajiri katika rasilimali na bado watanzania wengi ni maskini. Kwa nini? Hiki ni kitendawili kikubwa ambacho tunapaswa kukijibu. Umaskini katika Tanzania sio ugonjwa ambao tiba yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
chanzo:historic background. kumbe jk the pres kasoma shule na aliejua mtumishi wa BoT bwn liyumba,habar zaid zinaeleza mr pres alikua kilaza na bwn liyumba alikua na akil nyingi kumzidi..ugomvi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndugu wana JF napenda kuuliza kuwa TBC1 ni shirika la umma wa watanzania au ni shirika la CCM? Tukiangalia mwenendo wa TBC1 kwa kweli inatukatisha tamaa sisi kama wananchi wa Tanzania tunakuwa na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tukirudi nyuma tutakumbuka kuwa nyerere alikuwa anazunguka nchi yote kuwahamasisha watu ili wamuunge mkono dhidi ya ukoloni sasa CHADEMA na maandamano yao wana hamasisha wananchi wawaunge mkono...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nilikuwa nafuatilia sana thread za huyo jamaa anaitwa mkuki moyoni, zilikuwa na utamu kama za malaria sugu vile, ila amaepotea ghafla simuoni. Nilitegemea ampe ms kampani, au na yeye kafungwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Swali langu linahusu taasisi inayoitwa takukuru naomba swali hili uniulizie bungeni nikiwa kama mlipa kodi wa nchi hii. Takukuru mwaka 2010 ilitumia kiasi gani cha fedha kwa mwaka mzima...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Watanzania najua nikiwauliza hamjambo jibu ni lile lile hatakama mmeshinda njaa. JF members na Watanzania wenzangu tunayo mapungufu lakini kama wapo watanzania wanaotaka kusaidia watoke pale...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
By MATTHEW LEE The Associated Press updated 2 hours 19 minutes ago 2011-05-13T21:03:38 - Jackpot! Not so fast. For a few joyful days, more than 20,000 people around the world thought they...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau, em tujadili kidogo na hili la Arusha: Hivi ? Huu msongamano wa magari (traffic-jams) katikakati ya jiji la Arusha kwa takribani siku zote za juma mfululizo (yaani Jumatatu mpaka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Binafsi nakunwa na makala za Jenerali Ulimwengu, Mzee Mwanakijiji na Chesi Mpilili
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Toka iibuke tiba ya huyu babu, gazeti la Mwananchi limekuwa likiandika habari hizo kila kukicha. Mwanzo walikuwa wakiifanya habar kuu na sasa wameamishia kurasa za ndani na kuianzishia makala. Je...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wanafunzi wa kibaha sekondari wameonyesha ujasiri wa hali ya juu baada ya kuingia ktk chumba cha mitihani na kukuta maswali ya mitihani ya merudiwa toka necta 2008 na 2009.kibaya zaidi...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
WIMBI la tiba ya kienyeji maarufu kama ‘Kikombe’ linaendelea kugubika nchi na safari hii mwanafunzi wa kidato cha tano wa sekondari ya Buluba, wilayani hapa, amelazimika kuacha shule na kujikita...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa anaye jua mathara ya kuflash sim naomba aniambie
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Back
Top Bottom