Habari wanajamvi...
Nadhani kila mtanzania alifurahi sana mwenzetu Hasheem Thabeet Manka alipokuwa drafted kuingia ligi ya NBA na kutokana na uwezo wake aliouonyesha akiwa UConn tulihisi...
chama kikuu cha upinzani tanzania,CHADEMA kinazidi kuwa imara na kuungwa mkono katika mkoa wa Mbeya,haya yamejidhihirisha hivi karibuni wakati wa mikutano na maandamano ya CDM ktk mkoa...
Kuna kitu kimenifikirisha sana katika picha moja wapo ya hizi tatu ingawa zote tatu zinatoa tashwira za kufikirisha watanzania wa leo na njaa ya haki zo.
Huyo mpambanaji anayekula french chips...
Nimeona Mkuu wa Mkoa wa Singida ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Manyara
aliwaambia wananchi wa Kiteto waite Shule ya Sekondari ya Laalakir iliyojengwa kwa msaada wa Wachina iitwe Shule ya...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime, ametangaza kuzuka kwa homa ya Nguruwe katika manispaa hiyo. Katika taarifa yake iliyotolewa jana Dar es Salaama, kwenye vyombo vya...
MWAKA uliopita utabaki kuwa ni wa historia isiyofutika kwa familia ya marehemu Otieno Odhiambo aliyefariki baada ya kupigwa na baadhi ya waendesha pikipiki walio katika kijiwe cha Kimara Mwisho...
SUSAN Chiganga (51) aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Da es Salaam, amejinyonga kwa kutumia kanga akiwa ndani ya bafu la wodi aliyolazwa.
Inaelezwa kuwa mwili...
Kwa wale watakaofanya mitihani ya Board may 11 nawatakieni wote kila la kheri jitahidini hilo ni daraja kwenda ng'ambo ya ukweli ,Mungu pamoja nanyi!!!
Ndugu zanguni sisi wakazi wa maeneo tajwa hapo juu kero na shida tunayoipata ya usafiri kwenye hii barabara ni mungu tu anaejua maana tunaishi kama vile tuko porini ilhali sisi ni walipa kodi wa...
MKAZI wa Kijiji cha Kilembo wilayani Sumbawanga katika Mkoa wa Rukwa, Venance Ntogwa(65) ameuawa na mwili wake kuchomwa moto na wanakijiji wenzake wakimtuhumu kumuua binti yake kwa kumroga...
Utafiti uliofanywa kwa mapana kuhusiana na matumizi salama ya mtandao unathibitisha kwamba visa vya ulaghai na uhalifu vimezidi katika mitandao ya kijamii, kama vile Facebook.
Utafiti uliofanywa...
Habarini wana JF, hivi ni lazima kwa waandishi wa habari munapoeleza habari za watu waliobahatika kupata madaraka serikalini kuwaita waheshimiwa? Ninavyofikiri mimi ni bora tuwaite waheshimiwa...
Habari wadau,
Mi ni mkazi wa Dar maeneo ya Gongo la Mboto (kipunguni) ambapo kuingia huko lazima ushuke Mombasa na upande vigari vinavyoingia ndani kuelekea moshbar.
Kwa hali ya wakazi wa...
Watanzania tumejiwekea utaratibu(japo siyo rasmi) wa kuwaenzi viongozi wetu kwa michango yao kwa taifa letu kwa kutoa majina ya viongozi hao kwa baadhi ya maeneo kama vile barabara, viwanja vya...
Hivi karibuni kumekuwepo tabia ya kufuta "X" kwenye nyumba zilizojengwa aidhakutokuwa na kibari au kuingilia barabara au kuejengwa sehemu isiyoruhusiwa.
Mfano kuna sehemu amabzo barabara ya...
Mamalaka ya Mapato Nchini (TRA), imesema makusanyo ya kodi hayajashuka kama inavyodaiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe.
Akizungumza na...
my sweet stomach Bujibuji, ulituambia unaandaa Jamii Get Tohether maeneo ya Ununio Beach. Wazo lako lilikluwa zuri sana kwani ilikuwa ni fursa pekee ya wapendwa wa JF kukutana, kutaniana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.