Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Bujibuji namuona ni mtu mwenye kipaji cha uchekeshaji na huwa anatuchangamsha sana humu ndani JF. Mi namshauri muda wake wa ziada awe anatengeneza video za vichekesho ambazo zitamsaidia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii Imekaaje Mazee? Ndugu hao wa Pinda, walifika Samunge saa saba mchana na magari matatu aina ya Toyota Land Cruiser, VX na Prado yenye namba binafsi na walikuwa wamewekewa ulinzi usiokuwa wa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Superman, how is that lawsuit coming? Kichuguu, how far have you gotten with yours? Have you at least started the paperwork? For those of you who don't know what I'm talking about, these two...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna habari kwamba ile show room ya magari pale Shoppers plaz ijulikanayo Yuasa Auto impex inauhusiano na Riz1 Je hayo ni maneno ya ukweli??Mwenye Data kamili atushushie maana yeye kasema...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tuhuma hizi ni nzito sana,JM yabidi azifanyie kazi. I beg to submit
0 Reactions
8 Replies
1K Views
PASTOR LUSEKELO KUKAGULIWA NI MOJA YA SHERIA WALA SIO UADUI;;KAMA HIVYO BASI NA SERIKALI MSIRUHUSU KANISA KUPITISHA VITU OVYO BANDARINI BILA KULIPIA WAKATI AWATAKI KUKAGULIWA JE NINI...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
* Journalism can never be silent: that is its greatest virtue and its greatest fault. It must speak, and speak immediately, while the echoes of wonder, the claims of triumph and the signs of...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
KATIKA hali isiyo ya kawaida mpangaji mmoja wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Leila Visram, amejenga nyumba nyingine ndani ya eneo alilopangishwa na shirika hilo. Visram ambaye anaishi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
http://www.imf.org/external/pubs/ft/survey/so/2011/CAR051111A.htm Expand tax base In spite of important progress over the past decade, Tanzania’s tax revenue collection, at around 15 percent...
0 Reactions
1 Replies
927 Views
Vipi wakuu! Naombeni msaada wa jinsi ya kuuweka ujumbe wangu ili uweze kusomeka hapa chini kila ninapoandika post au ninapojibu post za wenzangu, ntatoa mfano kama sijaeleweka maana kiswahili...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Rafki yangu kamaliza form 6 matokeo yake haya. Math f .gs s.geograph c .economics c.anataka kusoma chuo accounts.je kuna uwezekano akapata chuo ata binafsi.
0 Reactions
1 Replies
959 Views
BAADHI YA WANAFUNZI wa shule ya secondary ya azimio wilayani dodoma mjini,iliyopo kata ya miyuji mtaa wa mathiasi,ambayo imejijengea umaarufu kwa kuzalisha div 3 TU KATIKA MATOKEO YA iv and...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tuna tatizo kubwa la viongozi katika nchi hii, hawa tunao wa chagua kuwa wawakilishi wetu bungeni sidhani kama kweli wanatuwakilisha. Kwani yapo matatizo ambayo yako wazi kwa kila mtu lakini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
vibaka katika eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam limekuwa tishio kwa wananchi eneo hilo. Wimbi hilo linasemekana kutishia upitishwaji wa magari yanayosafirishwa kutoka Bandari ya Dar es Salaam...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Treni kusafirisha wananchi Dar es Salaam KUNA habari njema kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kuwa iwapo Serikali itakubali kutenga Sh bilioni 4.8 katika bajeti yake ijayo, mwanzoni mwa mwaka...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wandugu wapendwa nimeonelea niliseme hili kwa CDM kwani habari zinaminywa sana kwa wananchi uhuru wa habari wa kupata habari kwa mwananchi pale anapotaka yeye kuzipata kikatiba umeminywa sana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwakua sekta ya utalii inaongoza kwa asilimia kubwa kuchangia pato la taifa ukilinganisha na sekta ya mdini...kilichofanywa na TANAPA ni hatua nzuri....tena kubwa ukilinganisha na office nyingine...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Deogratias & Fatma, Hongereni sana kwa kipindi chenu cha Hoja. Leo mmejitahidi zaidi isipokuwa wachangiaji ndio hawakuwa na hoja za nguvu sijui kwa sababu mlichukuwa Mainjinia zaidi ambao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BEI ya kikombe cha dawa ya Mchungaji Mstaafu wa KKKT, Ambilikile Mwasapila inayopatikana kijijini Samunge,Wilayani Ngorongoro, mkoani Arusha, imepanda na kufikia shilingi 1500 kwa wateja watokao...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Watu wanajidanganya sana, eti konyagi inapunguza tumbo, ukweli ni kwamba konyagi inaleta njaa sana, kwa hiyo inakufanya ule mara kwa mara na hivyo kupelekea mnywaji kupata kitambi. Wale wadada...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom