Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Sio mara ya kwanza nasikia wakristo na waislamu wanapigana kule Misri. Makanisa yanachomwa moto ingawa sijasikia msikiti umechomwa moto! Sasa ndugu zangu, huko Misri wanaoanza kuwachokoza wenzao...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
This is a question to ask your self. Were the americans first to land on the Moon? Americans fools the world that they are the ones who can do things better than the rest. Their lies starts as...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna kipindi kinaendelea hivi sasa ITV malumbano ya hoja. Mada iliyopo ni je matatizo ya umeme tanzania yatamalizwa kwa hatua za dharura? Binasfi najiuliza kama kweli nchi yetu inategemea umeme...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
DHANA ya kwamba Tanzania tumekuwa hatufaidi maliasili zetu kama vile utalii, madini , pamoja na mlima Kilimanjaro, na badala yake fursa hii inatumiwa na nchi za wenzetu, dhana hii inazidi...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Babu awekewa umeme wa jua Na Said Njuki, Arusha MCHUNGAJI Ambilikile Masapila ‘Babu’ wa Samunge, Loliondo wilayani Ngorongoro Mkoa wa Arusha amewekewa umeme wa juu nyumbani kwake na kusema...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natoa siku 7 kwa Ridhiwani Kikwete aende mahakamani kama alivyoahidi umma pale NEW AFRIKA HOTEL kama hatoombwa radhi na dr slaa na mtikila Ridhiwani alisema hawa wazee ni makanjanja (dr slaa &...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Kiukwel hiki kipindi cha asubuhi kilikuwa kimeanza kupata umaarufu kutokana na juhudi zilizokuwa zinafanywa na mwendeshaji Salum Mwalimu. Hata hivyo huyu jamaa kwa sasa hayupo (sijui yametimia...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Jamani karibu 'makonda' wote wa daladala wanapotoa msaada kwenye tuta kwa abilia wa huwasisitiza watangulize mguu wa kushoto. Huwa nashindwa kuelewa ni kwa nini nimeona niwaulize wenzangu kwanza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MKAZI wa Kipunguni ‘B’ Joseph Lazaro (29), amekutwa amekufa chumbani kwake na kuacha ujumbe kwa mama yake kipenzi. Lazaro alijiua mwenyewe kwa kutumia nguo na alikutwa na ujumbe katika mifuko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MWANAMKE Salima [28] amejikuta akipelekwa kituo cha polisi na mume wake baada ya kumchana mwanae na kiwembe mdomoni. Salima alipelekwa kituoni baada ya mumewe kukasirika na kitendo alichokifanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, leo mchana nimesikia kwenye Clouds fm wimbo kuhusu Riz 1 na ma-deal. Kwa kweli unachekesha sana, unasema maneno kama 'wasiliana na Riz 1 kwa ma-dela'. Najua humu jamvini tunazidiana na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari members JF...! Naomba kujulishwa kwa yeyote alie ona ukweli wa hii mikoba ya akina mama/baba utakuta mtu/me au ke ameubeba mkoba utadhani anasafiri kumbe anaenda kazini tena atakuepo huko...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waungwana naomba kuefahamishwa kuhusu hili. Je, ni kweli kuwa mwanafunzi anayepata daraja la chini ktk mitihani ya kidato cha Nne anaweza kusomea kazi ya ualimu wa shule za msingi? Na anayepata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakumbuka mwaka 1997, mama mmoja wa Norway kutoka chuo kikuu fulani alikuja Tanzania kufanya utafiti wake kwa ajili ya PhD ya social anthropology. Yule mama ni pande kidogo, kaenda juu urefu na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kweli dunia ina changamoto, Jana familia moja imepata pigo baada ya binti wao aliyekuwa anatarajiwa kuagwa (send off) kufiwa na dada yake asubuhi (yaani dada mtu kafa asubuhi wakati jioni ni...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
ni jambo la kusikitisha sana kuona vijana wetu baada ya kuamua kujiajiri kwa kukopa pikipiki au kukodi na kujipatia ajira siku hizi ajira yao imekuwa chungu sana hata kupelekea kuuliwa kinyama na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Serikali yetu inajitahidi kujenga vyuo vikuu vingi,sekondari za kata na sule za msingi pasipo na watoto wa vigogo kusoma kwenye shule hizi.wahitimu wanaongezeka kwa kasi lakin mbona walio wengi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
HAPA ANAVUSHA WATOTO AMA WANAMVUSHA YYE BARABAARAN
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WanaJf Habari za Mchana kutwa! Nilihudhuria Sherehe za Mei Mosi, mahala furani kimsingi hapo ilikuwa ni maadhimisho ki-wilaya. Walimu walikuwa wamepangwa kutumbuiza kwa Mashairi na Ngonjera ki...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
kwa wale wapenzi wa kufuatilia Loliondo, Taarifa hii hapa. Fuatilieni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom