Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
“ kama ilivyo tofauti ya milima na mabonde ndivyo yapaswa kuwa uadui kati ya waadilifu na mafisadi” Sijakosea msomaji wangu nayosema ndiyo haswa namaanisha kutoka moyoni yaani naomba usiku na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Malumbano kati ya viongozi wa CCM na Chadema yamendelea kupamba moto, safari hii Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, akitangaza hadharani mshahara aliodai ni wa Katibu Mkuu wa chama...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Calsbash, kweli nakutuuzia bia Tsh 1800/= Ila katika muziki mnatuchakachua mnaweka CD then mnakanadamizia (copy and paste) hamna tija. Hata mtu akitaka kuwasponsa atashindwa kwani mmejisahau...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndg zangu! Huyu ndg kwa wenye kumbukumbu kama mimi namkumbuka alikuwa ni mtangazaji mzuri sn wa radio ya jirani ze2 Kenya ila kuna taarifa ya kwamba alikuwa ni Mwene2 mzawa wa hapa Tanzania,KWA...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
ISLAMABAD, Pakistani WATU 80 wakiwamo wanajeshi 65 , wameuawa na wengine 117 kujeruhiwa baada ya kutokea milipuko miwili ya mabomu iliyotekelezwa na washirika wa mitandao ya kigaidi wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
CCM walivua gamba la unyerere na kuvaa lao ambalo linakitesa chama na kwa kweli halivuliki kirahisi. Ukiangalia historia ya familia ya Nyerere hakupenda kuwaingiza watoto wake kwenye siasa au...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Tumeshuhudia dr Slaa, zitto, Mnyika, na wengine wachache wakijibu hoja kwenye blog na Facebook. Pia wanatoa taarifa mbali mbali kupitia mitandao hii Rais Paul Kagame na waziri wake wa mambo ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo TBC news, eti JK katoa pongezi za kuteuliwa askofu wa katoliki, mie naona Rais hili amekuwa mnafiki tu maana hizo pongezi za kuteuliwa askofu basi azitoe kwa makanisa mengine pia na hata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nionavyo mimi, kama CCM wakijipanga sawasawa bado ni Chama chenye nguvu, vijana wenye mvuto, hoja na mtandao mkubwa hapa nchini. Hakika ni chama cha KITAIFA! Hakuna asiyejua kuwa baadhi ya...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Wakuu tutafakari mambo haya kwa kina. CCM na M/kiti wao waliahidi kujivua gamba ili waweze kukubalika kwa jamii ya Tz. Kwa bahati mbaya wameshindwa (Binafsi, nilijua tangu mwanzo wasingeweza kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau hebu tusaidiane katika hili, mimi ni mkazi wa mji mdogo waTunduma mkoani Mbeya. Hivi karibuni nilihudhuria mkutano wa Chadema mjini hapa na nimeishi hapa kwa muda zaidi ya mika 30...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana JF Nimekuwa nafuatilia sana POSTS zinazowekwa kwenye ukurasa wa NAPE NNAUYE pale Facebook! Ni vichesho vitupu! Na wanaomsifia wote ni wana-CCM tena wengine tunawajua...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
KATIKA kile kinachoonekana kuwa ni kumshinikiza Rais Jakaya Kikwete kutekeleza ahadi alizotoa wakati wa kampeni za urais mwaka jana, Chadema kimesema kitatumia kura za maoni kumwajibisha ikiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Giza nene limeendelea kutanda ndani ya chama cha mapinduzi CCM kufuatia kile kinachoonekana udikteta wa sekretarieti ya CCM mkoa wa Dar es salaam kumwonea mbunge wa Kinondoni Bw Idd Azzan, taarifa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tunachohitaji watanzania kitakachotusaidia ni elmu ya uraia na elimu ya kujitambua...na hili ndilo wanalofanya CDM kwa sasa (ila kama kuna mdau ana objection nalo anakaribishwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Siku c nyingi zimepita kulikuwa na mkutano ulofanyika jijini Dar wa kujadili mambo ya uchumi kwa nchi za E.A na Africa kwa ujumla. Kwa kawaida mikutano hii huwa inafanyikia Arusha AICC au kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kufuatilia matukio tu nadhani CDM waanze kufikiria kuwa na Makao makuu au Kuamishia shughuli za Chama katika mikoa ambayo ni Ngome. Kikubwa waangalie influence ya hayo maeneo...Mkoa kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo asubuhi nimekutana na kituko cha mwaka, naomba nikiri kwamba hata mimi nilikuwa ni mjinga kwani sikutarajia kwamba jambo hilo nililolishuhudia linawezekana. Naomba nikiri kuwa hata mie...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Eneo la kimara resort Kontena limengukia watu watatu na kuwauwa, wawili walikuwa wapanda pikipiki abiria alikuwa ameshafika akisubiri chenji .mmoja katolewa wengine bado wako chini inahitajika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kinamama hawa waliamua kujitosa majini wakati wakitoka na wengine kuingia kupata huduma ya kliniki kwenye Zahanati hiyo. WATU mbalimbali waliohitaji kuingia na kutoka katika Zahanati ya Mwenge...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom