Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Monday, May 23, 2011 at 1:02 AM Posted by Political Risk Review Harvey Glickman says at the Foreign Policy Research Institute that Tanzania's Islamic revival could turn to radicalism given...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Habari zenu wana jf nimeingia ndani ya uwanja huu kwa nia moja yakumwambia mh zito asituadae kwa mtoto wa mnajim nilimsikia mh. Zito akisema kuwa chadema wameenda msibani kwan mtoto wa marehemu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndg zangu em niweke sawa. Huku kwetu twaweza kaa miaka kibao na kipande kibovu cha barabara, huku halmshr wakilia lia eti hakuna fedha. Lkn inapotokea anakuja kiongoz wa kitaifa, say mh mkubwa wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninaishi U.S.A. Mara nyingi napenda kuwasiliana kwa simu na jamaa zangu huko nyumbani Tanzania na marafiki wengine walioko Uganda. Kinachonishangaza ni hiki: Iwapo unaweka $ 2 kwenye simu na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Strauss-Kahn DNA 'linked to maid' Dominique Strauss-Kahn's DNA matches a sample found on the clothes of a New York hotel maid who accused him of sexual assault, US reports say. Source: bbc
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwakweli inaboa sana yani kila ukifika wanakwambia mtandao upo chini waweza kuchukua hata dk 30 kwa shughuli ya 5dk! Balaa zaidi limeanza jana ya hakuna kuchukua pesa kwenye bank teller labda uwe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF bila kujali dini zetu tuombe Mungu atuhurumie maana watawala wetu na vyombo vya kulinda usalama wetu vimekuwa adui wa uhai wetu. Maisha magumu,ukame,ajali,ufisadi,maneno matamu kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
tunaambiwa sigala kawaseti watendaji wa kata na halmashauri ili juhudi za mbowe zisifanikiwe? yeye ndie anawatuma waandishi wa habari kuandika habari negativu za mbowe, inasadikika yeye ndiye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wana JF habari toka tarime zinasema serikali imekataa kuruhusu wale marehemu waliouwawa na polisi kuagwa uwanjani kabla ya kwenda kuzikwa... source; tundu lissu Tundu Lissu (7 minutes ago)...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
President Barack Obama received a royal 41-gun salute at Buckingham Palace on Tuesday to begin a two-day state visit aimed at ensuring the United States and Britain keep the "special" in their...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Ni ukweli uliowazi kuwa watanzania walio wengi wakipewa nafasi ya kueleza nini chanzo cha matatizo na umaskin wetu huitupia lawama serikali hasa kwa kushindwa kuratibu maendeleo na ukombozi wetu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wan JF, naomba nianze kwa kusema nampenda sana mama .. yangu na mama wote, na hata akina mama wa JF, i love u mama.... tatizo langu ni kwanini hatuwapi credit akina baba mara kwa mara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SHOES STORY You will perhaps have heard this very old story illustrating the difference between positive thinking and negative thinking. Many years ago two salesmen were sent by a British shoe...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Bila Aman nchi haiwezi kusonga mbele. Kwa hali ilvyo sasa na soon baada ya uchaguzi kama sio uimara wa polisi nchi ingewaka moto try to imagine wewe ungekuwa IGP na ni wajibu wako kulinda...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Only in Tanzania, We are blessed we need to get rid of greedy leaders Get ride of Azimio la Zanzibar... By Daily Mail Reporter Last updated at 7:45 AM on 24th May 2011 The world's...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi napata shida kupambanua, mbona hawa EPA dagaa ndio wanaofungwa, eti wa bil 1.8 na hapa akitoka ndo alipe pesa aliyoepua, ningeomba hukumu ipitiwe tena walipe pesa kwanza ndio wahfungwe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
POLISI kupitia Kamisheni ya Upelelezi wa Makosa ya Jina imeanzisha doria katika mitandao ya mawasiliano ili kukabiliana na ongezeko la uhalifu wa kwenye mitandao. Mkuu wa Kitengo cha Maabara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hebu tujaribu kuainisha faida tutakazo zipata wabara endapo muungano utavunjika 1. Ajira zitaongezeka (nafasi zote zinazoshikiliwa na wa zanzibar zitarudi kwa wa bara) 2. Fursa pi zitaongezeka...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Waungwana naweza kupata wapi kitabu cha'Dar es salaam usiku'kilichotungwa na marehemu Ben Mtobwa.Asante wakuu
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Reuters TV / Reuters Evangelical broadcaster Harold Camping says he's "flabbergasted" his doomsday prophecy did not come true...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom