Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jamani nani analist ya wa bongo na huyo mkenya waliokamatwa na mkenya mwanamke hatari ambaye yuko kwenye list ya Obama
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NY-born twin friars die on same day at age 92 AP – This May 2003 photo provided by St. Bonaventure University shows Adrian, left, and Julian Riester, identical … By CAROLYN THOMPSON...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yeye ni.. Naibu Katibu Mkuu wa Chama Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC) Mbunge Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Waziri Kivuli wa Fedha. Vyeo vyote hivi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanamaliza form 4,wanakuja kuendesha Bajaj,pikipiki ,wamejaa mitaani matokeo ni Ajali ! tungewapatia elimu ya kilimo hata wabaki na maarifa ambayo ni halisi ,mipango ya nchi yetu kweli ina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kamati ya Bunge ya hesabu za mashirika ya Umma imekataa kupitisha hesabu za bohari kuu ya dawa ya serikali(MSD) kutokana na kuharibika kwa dawa zenye thamani ya sh bilion 8...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kutokana na matatizo ya umeme yanayoikumba nchi yetu, jana sikuweza kuangalia kipindi chako cha kipima joto ambacho nimesikia mlikuwa mkizungumzia kuhusu Tanesco na tatizo la umeme na Mmoja wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajf mambo vp,nafikiri hakuna asiefaham kuwa watoto wa kambo huwa wananyanyasika sn au kunyanyaswa na mama wa kambo japo si wote lkn % kubwa ndio iko hivyo,tujadili hili!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Poleni kwa majukumu wajumbe!!Naleta kwenu kisa changu mnisaidie mwenzenu.Nina mpenzi wangu ambaye tulikuwa naye kimapenzi kwa zaidi ya miaka 2.Akawa ameenda chuo UDOM na kwa sasa anakaribia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Poleni kwa majukumu wajumbe!!Naleta kwenu kisa changu mnisaidie mwenzenu.Nina mpenzi wangu ambaye tulikuwa naye kimapenzi kwa zaidi ya miaka 2.Akawa ameenda chuo UDOM na kwa sasa anakaribia...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
MTUHUMIWA wa ujambazi sugu ambaye amekuwa akisakwa kwa muda mrefu na Polisi mkoani Rukwa, amekufa ghafla baada ya kuvuliwa hirizi kubwa aliyokuwa ameivaa mkononi. Akizungumzia mkasa huo jana...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Inasemekana ule mgogoro unaoendelea mkoani Manyara umezidi kushika kasi baada ya mwekezaji mmoja kuwekewa kizuizi na hatimaye kushambuliwa kwa mapanga mpaka kufa na watu wasiojulikana. Polisi...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
JK: Kila Mtanzania kulala kwenye chandarua Agosti BY MWANDISHI WETU 3rd June 2011 Email Print Comments Rais Jakaya Kikwete akizungumza katika mkutano wa wadau wanaotafiti upatikanaji wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu ametoa wito kwa taasisi za serikali kutumia nyaya za umeme zinazozalishwa na kampuni za ndani na kuacha kung’ang’ania zinazozalishwa na...
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Mtoto wa kiume wa miaka 13, alikamatwa na kuteswa na polisi, alipigwa risasi sehemu mbalimbali za mwili wake, alikatwa uume wake, alivunjwa shingo na miguu yake, kosa alilolifanya ni kushiriki...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
naona wanajadili bajeti na umaskini
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Habari wanajamvi, ning msukumo wa dhati kutoka ndani kabisa ya moyo wangu kuhusu michezo.jana kuna mashindano ya riadha yalianza pale uwanja wa taifa yakishirikisha mataifa ya kutosha tu lakini...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
UJERUMANI YASITISHA KUTOA FEDHA ZA KUPAMBANA NA UKIMWI -TZ WIZARA ya Maendeleo ya Ujerumani imetangaza kwamba itasitisha kutoa fedha kiasi cha euro milioni 200 ambazo hutolewa kila mwaka kwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mama mmoja wa nchini Marekani huenda akahukumiwa miaka 45 jela kwa jaribio lake la kutoa mashetani toka tumboni mwa mtoto wake, jaribio ambalo lilipelekea kifo cha mtoto huyo. Mama huyo, Latisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WALIOKUWA wanandoa kwa muda wa miaka minne mfululizo wamejikuta wakihatarisha maisha ya mtoto wao kwa kumjeruhi kwa kumgombani kama mpira wa kona huku kila mmoja akihitaji kubaki na mtoto huyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BI. SADYA OTHUMAN [37] amejikuta akipata aibu ya mwaka baada ya kutukanwa matusi ya nguoni mbele ya hadhara ya watu kwa kile kilichodaiwa kutumia fedha ya mume wake isivyo halali Tukio hilo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom