urudani
Maoni ya mhariri
Safu
source;Nipashe
Na Richard Makore
6th June 2011
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kama serikali imebaini uelewa...
MOJA kati ya habari zilizopewa uzito Juma hili ni ile inayoigusa bohari ya madawa (MSD) kusababisha hasara ya dawa zenye thamani ya sh bilioni 5.2 ambazo ziliharibika baada ya kuhifadhiwa kwa muda...
(Machozi yananitoka) Kijana mmoja ambaye ana ulemavu wa miguu ameamu kujitafutia riziki yake kwa kujiajili. Huwa anauza biscuts, karanga na vitu vingine vingine kama matoi ya watoto wadogo. na...
Maduka ya mtaa wa Pangani mjini Arusha yanawaka moto huku kukiwa na kikosi kazi cha zimamoto wakijitahidi kuuzima moto huo.Polisi wapo kuhakikisha ulinzi kwa vibaka wowote watakaotaka kupora vitu...
Aka ka msemo nimekapenda japo utekelezaji wake umekuwa mgumu kupindukia.
"Heri kufa nimesimama" kuliko "kuishi nimepiga magoti".Huu ni moja kati ya semi za makamanda wa jeshi lililo hai la...
Yan wameamua kuuza sura tu kwenye hii EATV, kipindi chao hakina maana, hakina ujumbe wala hakifurahishi. Yan kila mtu analalamika hawa watu kupewa mda wa kupotezea watu kwenye hii tv kipenz kwa...
TANZANIA PROFESSIONALS NETWORK (TPN)
2011 GENERAL ELECTIONS RESULTS
President: Mr. Phares Magesa
Vice President: Mr. Richard Kasesera
Secretary General: Ms. Janet Mbene
Deputy Secretary...
wandugu wapendwa,
nimeikuta hii pale kwa michuzi juniour nikaipenda....
JIACHIE
kichwa cha habari ni mwana umleavyo ndivyo....
nampa pongezi baba wa mtoto huyu....mie nilishashona kombati na...
Wakuu kwa wale wadau wa fani za Usanifu Majengo (Architecture) na Ukadiririaji watakua wanamfahamu Ach. Abraham Marress aliyekua Board Secretary wa AQRB....Huyu bwana hatunaye tena!
Habari zinatapakaa mtanaoni kuhusu kupona kwa mtu [Timothy Brown] aliyekuwa anapatiwa tiba ya ugonjwa huo huko marekani.
Kuna habari sehemu mbalimbali mtandaoni ikiwemo kwenye link hii hapa...
Kwenye kipindi chake cha kwanza cha utawala JK alijulikana kwa majina kama Vasco Dagama, Magellan, Columbus n.k kutokana na kusafiri karibu kila mwezi kwenda Ulaya na US kwa madai ya kwenda...
Jana jioni majira ya saa 2 usiku nilikuwa maeneo ya Ilala kumtembelea rafiki yangu mmoja aishie Mtaa wa Utete. Nikakuta hakuna umeme maeneo hayo – biula shaka kutokana na mgao.
Nilipita...
Hivi Tanzania hakuna habari yeyote njema au nzuri inayotokea. Kila post imejaa mabaya ya nchi. Kuanzia utawala mbovu na uchumi usiofaa. maisha magumu na uonevu. Wizi , ufisadi, rushwa na...
Naombeni msaada wandugu,taratibu za likizo ya uzazi kwa mwanamke (maternity leave) zikoje kama amejifungua ndani ya miezi kama 4 tangu alipoajiriwa serikalini?
Kuna taarifa isiyo rasmi...
Hali inazidi kuwa ngumu kwa Menejimenti ya Juu ya Ofisi hii ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kufutia mgawanyiko mkubwa ambao umetokea.
Hali hii imejitokeza baada ya wakaguzi wa kanda wapatao 11...
Wanajamvi naombeni msaada....natafuta fremu Arusha maeneo ya Sanawari, Sakina, Kaloleni au sehemu yeyote ambao nitaona inanifa na iwe karibu na barabara... Kuna kamradi nataka kuanzisha...
I MAKE A DIFFERENCE..WHAT DO YOU MAKE?
The dinner guests were sitting around the table discussing life.
One man, a CEO, decided to explain the problem with education and few opportunities of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.