Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
HALMASHAURI ya wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara itawatimua kazini walimu wakuu wa shule sita za msingi wanaokabiliwa na tuhuma za ubadhirifu wa fedha zilizotolewa na halmashauri hiyo kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sikuwahi maishani kufikiria kuwa ccm. Hata katika uchaguzi wowote ule sijawahi kukipigia ccm kura. Nimekuwa mwanachama mtarajiwa wa CHADEMA na hatimaye leo nimechukua kadi yangu. Mi ni mwanachama...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Muslims in Tanzania, recently, emerged with the claim to divide the nation of TANZANIA into two parts. This perhaps is an echo of what happened recently in Sudan, where the country, through the...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakati nashuka kituo cha daradara Bohari nimekutana na magari matatu ya FFU yakiwa na askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wakiwa na silaha zao kama kawa (mabomu ya machozi, helmet na silaha za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mambo kadhaa yamenisukuma kuweza kutafuta profile ya huyu mheshimiwa especially ile title yake ya Dr ilivyopatikana, maana binafsi nilikuwa sijajua mh ni Dr wa kutibu, wa PHD au wa kupewa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1. Baadhi ya wafuasi na mashabiki wa cdm. kwa sababu kukashfu na kutukana. 2. Baadhi ya watu wenye msimamo mkali wa kidini kwa kudharau na kubeza hata kutukana imani za watu wengine. 3...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania wenzangu, katika vitu vinavyo niumiza akili yangu ni hili la Omba omba wa wanawake kutumia watoto wao wachanga kupata huruma kwa wapita njia barabarani. Hii hali imekuwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
FFU na mabomu ya machozi na magari ya upupu yanaelekea pande za ikulu, nadhani huko ndio CUF wanafanya tukio lao.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jana Lowasa alikuwa amehudhuria ibada kwenye kanisa la kiroho SCOAN nchini Nigeria. Nampongeza sana Mh. Lowasa kwa namna ambavyo ameonyesha dhahiri kuwa yeye ni mtu wa Mungu, kwa wanaomjua Lowasa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MWANANGU NI GRADUATE, LAKINI ENGLISH YAKE KWA KUZUNGUMZA SI MZURI NINATAFUTA MWALIMU ATAKAYE KUJA NYUMBANI BAADA YA MAKUBALIANO YA MUDA NA MALIPO AWE MWALIMU SI MZUNGUMZA KIMOMBO TU MAANA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huu ni matazamo wangu tuu, nimeona katika habari nyingi wabunge wengi wanailalamikia serikali imefanya vile ikapanda ikashuka. Sasa mimi nauliza hivi ni nani serikali? Nazani kunawengine wanavyo...
0 Reactions
5 Replies
15K Views
Pengine waweza hisi hadithi lakini ndicho kituko kinachoongelewa kwamba kuna simu mbil za Mhe. Clinton azionekani. Binafsi nijuavyo hakuna ukweli halisi maana kama zimepigwa naamini uslama nao...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Naona shaka sana na hatima yetu watanzania, eti wachina wana mkataba wa almost 100 years pale JKN international airport, eti wamarekani ghafla wamekuwa marafiki zetu kiasi cha Clinton baba, mama...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
KADA maarufu wa Chadema, Fred Mpendazoe amezindua kitabu kinachobainisha harakati za ukombozi mpya wa nchi, huku akiendelea kuwaandama makada maarufu wa CCM wakiwamo Waziri wa Ushirikiano wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Meshack Kazonda mwenye umri wa miaka 35, ameuliwa na wananchi wenye hasira baada kumuua mtoto wa kaka yake ili aliyekuwa mke wa kaka yake aweze kukubali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika harakati za FFU kuwazuia wanafunzi wa Chuo Muhimbili wasifike wizara ya Elimu wanatoa sababu eti kuna mgeni H. Clinton. Jamani tutafika? Naomba police wa Tz walijue hili kuwa hawa wageni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika kile kilichoelezwa wakati ulee kwamba serikali inafuta utaratibu uliokuwa unawalazimisha WaTZ wafanyabiashara kulipia leseni zao za biashara katika maeneo ya mamlaka wanayoishi/kufanyia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
na Asha Bani KATIKA kile kinachoonyesha kuwa maisha ya wafungwa gerezani ni mabaya sana, wafungwa wawili wamemwandikia barua Rais Jakaya Kikwete, wakimuomba abatilishe adhabu ya kifungo cha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Mpanda, mkoani Rukwa, imeamuru halmashauri ya Mji wa Mpanda kumlipa Simon Savery zaidi ya Sh69 milioni kutokana na halmashauri hiyo kumvunja mkataba wake na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msiwe wepesi tu kuilaumu serikali inapokesea lakini Tunawaomba viongozi wa dini mtoe maoni yenu juu ya Budget hara iwezekanavyo kabla haijapitishwa ili msije kulalamika baadae. mchango wenu siku...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Back
Top Bottom