Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari JF!. Jamaa mmoja wamemkata polisi kwa tuhuma za kawaida..si za kihaini. Akafikishwa kituoni kwa maelezo na upelelezi. Polisi kama mnavyojua ni wachafu makambini kwao hata vyoo vyao ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nijuavyo mimi nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa sheria. Je ni sababu zipi zinazoifanya serikali isiwafikishe watuhumiwa wa ufisadi mahakamani? kwani kwenye sheria kuna madaraja? Mara kadhaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
LEO jioni kwenye mida ya saa 12 pale segerea kituo cha sanene majambazi mawili yakiwa na pikipiki yamevamia duka la kuuza vocha la jumla na kumpiga risasi kichwani muuzaji na kumuua papohapo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Gazeti la Uhuru la leo ambalo ni gazeti la serikali limeandika,,"Mtuhumiwa wa ufisadi aenda Nigeria kujisafisha". Hapa ni patamu,,kama hata chombo cha serikali ya ccm kinatamka waziwazi kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Swala la posho mnaweza kulitumia kwenye chaguzi ndogo zitakazoibuka kabla ya mwaka 2015 kwa kuakikisha mjadala wa swala la posho ukianza ni muhimu kuhakikisha mnapata video za wabunge wote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mchwa wanashambulia fremu za milango, milango yenyewe, makabati ya ukutani. Ajabu hata mchwa wenyewe siwaoni. Mwenye kujua dawa ama namna ya kukabiliana na hili tatizo anisaidie
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nikiwa naendesha kariakoo kaja mwanaume wa makamo hivi namuona makusudi anajigongesha kwenye kioo cha gari cha pembeni. Mie nikasimama mara anadai nimpeleke hospital kaumia nikamwambia umeumia...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Hatujasahau walivyojidhalilisha kwa kutoa amri kumkamata mh.mbowe.leo wanataka askofu mkuu akamatwe.ni vichaa mahakimu hawa? Wanataka mahakama ziruhusiwe kuingilia uhuru wa kuabudu?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamii sio kwamba nimeanza tabia mbaya lakini mimi nina hakika katabia ka wizi kila mtu anako mimi katika pitapita nimekutana na hii sasa bora kujua mbinu kuliko kujifanya ujali kisha ukakamatwa na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani kuna nini! Mbona wamarekani wanaonekana kuinyemelea Tanzania kwa kasi sana? Wiki iliyopita tulisikia mwakilishi wao akiwa Ikulu na JK - leo tunasikia Mrs. Clinton anakuja....Kuna siri...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
angalia waandishi wa habari wanavyojuwa kutumia Google map na GPS Je TBC1 wanaweza hili,ama ndio wamekali politics?
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Kwanini namba hii inahusishwa na uchawi na si namba nyingine yoyote?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Institute of African Studies One Day Conference at Carleton University: "The Legacies of Nyerere: Economies, Politics, and Solidarities in Tanzania and Beyond" (March 4, 2011)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
unafatilia siasa za bungen! Nan kasema hvyo? Nin maon yako
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAKURUGENZI Watendaji (DED) wa Halmashauri mbalimbali nchini 73 wamefukuzwa kazi, 78 wanakabiliwa na kesi mahakamani, 33 wamesimamishwa na mmoja amestaafishwa kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii imetokea leo tarehe 12/6/2011 saa 9.00 Katika Ibada ya mazishi iliyokuwa ikiongozwa na askofu Laizer, Msaidizi wa askofu na wakuu wa majimbo katika Usharika wa KKKT Kijenge mbele ya mbunge wa...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
naweza nikubali au nikatae shutuma nyingi zilizotolewa kwa jina hili, lakini kwa namna moja au nyingine sitolisahau jina hili "BENJAMINI WILLIAM MKAPA" he was the president real
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello Great Thinkers, Naomba kama kuna mtu anafahamu contact za askali police yeyote kituo kikuu cha police Kahama anipatie, kuna issue inayowahusu nahitaji kuwasiliana nao.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Taarifa zilizopo ni kuwa mavazi hayo yamepigwa marufuka katika chuo hiki kilichopo mwanza. na imekuwa ni amri kwa yeyote kuyavaa.
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Back
Top Bottom