Jamani hiv huyu makamu yeye ndio wa arusha moshi manzese kariakoo ??mbona mzee wa kaya amwaachii akaoshe jamani na yeye atoe nuksi afe ameenjoy nchi duh..haya nasikia mkulu anaelekea sudan si...
Katika taarifa ya habari ya saa 2 jioni hii nimeona mwanafunzi wa sekondari Mbezi aliyepigwa risasi na polisi wakati wakishinikiza kuwekwa matuta barabarani baada ya mwenzao kugongwa na gari na...
President Jakaya Kikwete has said Tanzania needs bigger capacity ships capable of plying the Indian Ocean's vast waters to effectively take part in the fight against piracy.
Speaking during a...
Mm jamani sijui kuna bibi yake kwenye upande wa pili yaani huyu mutu anakata tu viuno kuita upande mmoja
au ndio wah wanatoka kwa nyumba ndogo wamewapigia simu yaani kama atuko dunian jamani...
Kama ni vituko basi hili shirika kila leo linakuja na yake
jana kama mmesoma gazeti la nipashe kuna kituko jamaa ameenda wizara ya ardhi akapeleka majina
ya watu waliokuwa wakipiga keele za...
Tuna kama mwezi mzima tangu shutuma juu ya ridwan kikwete au mtoto wa rais
Kuwekwa hadharani na nyie viongozi wakuu kabisa wa upinzani,
Mnakumbuka mlitutangazia watanzania kuhusu hali halisi ya...
Karibu mara mbili kwa nyakati tofauti nimesikia TBC wakimuelezea kwenye taarifa zao Lowasa kuwa ni Waziri Mkuu mstaafu. Ninachojiuliza, EL alistaafu lini huo uwaziri mkuuu zaidi ya ule...
Kuna tabia inashamiri kama vile watu wameenda kusomea. Utashangaa gari ya mbele yako, iwe Daladala, Gari binafsi au Lori ama Basi, takataka mfano makopo ya juice, maji, mifuko ya rambo, magunzi...
Mnamo saa 3 na nusu, mfanyakazi mwenzangu alipigiwa simu na mtu aliejitambulishan kwa jina la Joseph akasema boss wake anaitwa James anataka kuongea nae kuhusu biashara ya dawa za mazao inayoitwa...
Nadhani wengi wetu tunaufahamu msemo huu wa "Sababu tunayo, Nia tunayo na Uwezo tunao". Ni ile speech ya Mwalimu Nyerere iliyotolewa wakati ule wa vita zidi ya Nduli.
Ila watu wengi hawajafikiria...
Wadau nimejaribu kuingia kwenye mtandao wa IFM ili kucheki mambo ya waliochaguliwa kujiunga na chuo lakini nikapelekwa kwenye mtandao wa start logic na wanasema this site has been suspended. Wenye...
Wanajamvi hatari kwa nchi yetu!
Hivi mbunge anatambuliwa kuwa kahudhuria vikao vya bunge kwa kusaini posho?
Kwani utaratibu wa kuhudhuria vikao si unafahamika kwa kila m2 kuorodhesha jina lake...
Jamani mimi nimekuwa nikifikiria kwa muda mrefu juu ya hizi imani zetu na waanzilishi wake. Kwa Uislam naamini Muhamad hakuanzisha haya madhehebu ya Suni, Shia, Kurdi n.k ambayo yapo katika uislam...
Hivi hawa wahindi wanatutafuta nini?
Ubaya ni kwamba wanawatumia watanzania wenye uroho wa fedha kutuhujumu.
Yani daktari wa muhimbili anaishi kiluvya wakati muhindi ananing'iniza miguu na kula...
Hebu wadau wanoelewa vizuri watujuze.. nimesikiliza mjadala wao leo asubuhi kwenye Power Breakfast kuhusu ishu ya Mbunge kukataaa posho... hahaha aaaa utafikiri wametumwa ... duh..
Najua ni kipindi kigumu lakini kwa Uwezo wa Mungu mtayaweza yote.
Haikuniingia kirahisi akilini na moyoni,pindi nilipopata taarifa za msiba wa Kaka Mbogo.
Niliumia nilipokuja nyumbani na kumuona...
Mhe. natanguliza salam zangu kwako. Kwa muda mrefu umeweka historia nzuri ya uwajibikaji kama mpinzani wa ukweli. Japo msimamo wako haueleweki sana hadi watu wanahisi kuwa wewe ni mbomoaji wa...
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani, mwishoni mwa wiki lilipitisha sheria ndogo ya uendeshaji wa masoko, ambapo limepiga marukufu upeperushaji wa bendera za vyama...
Majambazi wenye silaha za moto, wamepora kiasi kikubwa cha pesa Muhimbili National Hospital muda mfupi uliopita.
Wakiwa na bastola 2 na pikipiki, walifyatua risasi 2 hewani karibu na mgahawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.