Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kwa wale mates mnakumbuka kamchezo alichokuwa akituchezesha zito na wenzake pale udsm kudai posho iongezeke mpaka ikaongezeka kudai pesa za afya zilipwe kwetu na si kujilipa chuo mpaka tukaanza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MBUNGE wa Kasulu Mjini mkoani Kigoma, Moses Machali (NCCR- Mageuzi) leo jioni amejikuta akitolewa nje ya ukumbi wa Bunge na Spika wa Bunge Anne Makinda wakati mjadala wa kupitisha Mpango wa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Most 'First Class!' students get senior technical and scientific jobs and some of them become Doctors and Engineers. The 'Second Class' pass, and then pass MBA, become Administrators / Managers...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa kweli nimekuwa nasoma kwenye mitandao mbalimbali ya habari za huko Tanzania kuhusu namna anavyoliendesha Bunge la Muungano la Tanzania na napata utata sana na maamuzi yake hususan kile...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Bila shaka muwazima wana-janvi? Naombeni mnijuze bei ya external harddisk mpya ya uwezo kama wa 200GB. Kwasasa inaweza kuuzwa bei gani?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana JF, nimefungua blog mpya inaitwa mapenzi yangu.<BR><BR>&nbsp; <DIV style="mso-margin-left-alt: 216; mso-char-wrap: 1; mso-kinsoku-overflow: 1" class=O v:shape="_x0000_s1026"><SPAN...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
I have heard so incredible stories about "the miracle man of Loliondo" that it is hard to believe even 10% of them. But when even the smartest and most cynical guys start telling that they have...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
KIJANA Frank Raphael [18] amewaacha wazazi wake wakiwa na masikitiko makubwa baada ya kuamua kujinyonga kutokana kuwahurumia wazazi wake kutokana na ugumu wa maisha unaowakabili na kuamua...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
NDUGU WANA JF, TULIJADILI HILI maana leo asbh nimesikia Gerald hando akiongea sana kuhusu Posho za wabunge. Kwa mtizamo wangu naona kama Gerald hando anaupeo mdogo sana wa kutafakari mambo na...
1 Reactions
65 Replies
7K Views
Tumekuwa tukilalamikia safari nyingi za Rais Kikwete nje ya nchi na labda kusahau safari za viongozi wengine. Hizi safari zinazofanywa na viongozi wengi pia tena kwa idadi kubwa kupita kiasi. Kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wakuu naomba sana mnisaidie nimfahamu mtu anaitwa rajabu kiravu, huyu bwana alikuwa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, kwa jinsi alivyokuwa akiongea nilishindwa kumwelewa kwa sababu anaongea...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Ninafuatilia kikao cha bunge,mh spika amemtaja mrema km Dr agustino lyatonga mrema.pia waziri aliejibu swali la mrema ametaja km dr mrema.je mrema ni doctor tangu lini?ni medical doctor au ana...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
now nimejua kwa nini wanafunzi walicharuka, shule ipo umbali wa mita100 kutoka highway, wanafunzi walianza andamana kuelekea barabarani kushinikiza yajengwe matuta baada ya mwenzao kugongwa vibaya...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Sijui labda kwa uelewa wangu mgodo,naomba kuuliza kazi ya rweyemamu pale ikulu ni nini? nimeuliza kwa sababu siku zoote rweyemamu akipigiwa simu kupata maelezo au ufafanuzi kuhusu ikulu atsema...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa kuwa serikali ya Marekani imeshindwa kuwathibitishia watu kuuliwa kwa Osama bin Laden na maiti yake kuzikwa baharini kama wanavyodai, mtaalamu mmoja wa kupiga mbizi baharini wa nchini Marekani...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Written by makame silima // 14/06/2011 // Habari // 5 Comments Ikiwa uchumi wa Z'bar na Pesa za Kigeni zinasimamiwa na TRA jee mafuta yatasimamiwa na nani? Mfumo wa Muungano tulionao ni mkubwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mambo vipi wana JF.Mnakumbuka mavazi ya miaka hiyo?. Miaka hiyo ukiona pikipiki ujue ni ya bwana shamba. Enzi hizo simu hakuna ukiwa masomoni lazima uandike barua, ukitumiwa fedha kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
MHASIBU wa Kampuni ya Tasu, Machafu Chokoma (59) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka mawili, likiwemo la kughushi sahihi na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau, Je jina la ukoo huanzia wapi katika mfululizo wa ukoo? Nilijaribu kuangalia familia yangu nikagundua kuwa kuna utata, NA HASA baada ya huu utaratibu wa majina ya kizungu! Mjukuu wangu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna tangazo moja la simu za mikononi, utasikia "simu unayopiga haitumiki kwa sasa, mteja amehamia airtel, hamia sasa......" kumbe wateja wakihamia huko wanakuwa hawaatumii tena simu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom