Wana JF
The Honorable Minister Louis Farrakhan, of the Nation of Islam jana aliwaeleza kinaga ubaga bila kumung'unya maneno ile tabia yao ya kupambana na viongozi wa Africa wanao onekana wapo...
Jamani,
Nimekuwa najiuliza mara nyingi sana, ni kwlei kwamba siasa ni uongo na huwezi kuwa mwanasiasa bila kusema uongo!
Kama hekaya za abunuasi???
Nimemsilkiliza sana Mh Rais alipohaidi kwua...
Ni kwa masikitiko makubwa imenibidi kuandika yafuatayo kwa lengo la kuwakumbusha wabunge kilichowapeleka Bungeni
Nimekuwa nikifuatilia mjadala unaondelea wa bunge la 10 kikao cha 4. Mheshimiwa...
Hawa ni vijana wakiTanzania wajasiria mali walioko UK na shughuli zao kubwa ni kupiga video za matukio etc
Sasa takriban mwezi mmoja na uchee walipiga video pale kwenye mkutano wa diaspora na...
CCM ikiwatimua mapacha watatu tutawapokea-AFP Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
CHAMA cha Wakulima Tanzania (AFP), kimeweka bayana msimamo wake kuwa ikiwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitaamua...
Wakuu JF,uchaguzi uliokuwa umepangwa ufanyike leo tar 16 June 2011,umeahirishwa baada ya mgombea nafasi ya uenyekiti ya tume ya uchaguzi wa serikali ya wanafuzi aliyeshindwa kwenda mahakamani...
John Vidal and Claire Provost
guardian.co.uk, Wednesday 8 June 2011 20.18 BST
larger | smaller
US universities are reportedly using endowment funds to make deals that may force thousands from...
Leo ni siku ya Mtoto wa Afrika....mtoto ambaye amekosa matumaini.....mtoto ambaye unamkuta anaombaomba pembezoni mwa barabara,mtoto ambae anaikosa elimu japo ni haki yake....mtoto ambaye Konyi...
The debate on allowances paid to civil servants took a new turn yesterday when former German president Horst Kohler warned
the government that its image was at stake. Prof. Kohler said tht donors...
Wakuu wana-JF! Binafsi nimekuwa hapa JF kwa muda mrefu sasa, shukrani kwa maxence na wote walio nyuma ya JF: Jukwaa hili sasa ni kutaniko kuu la Vijana, Wazee, Wasomi, Wanasiasa (Vyama Vyote) na...
Nakubaliana na hili juu ya hawa wafanyakazi kiufanya kazi kwa nguvu zao zote lakini mwisho wa siku hawapati posho, kama vile
Polisi halipwi posho kwa kulinda, mwalimu halipwi posho kwa kuingia...
Haingii akilini vitendo vya kuvamiwa raia majumbani mwao na majambazi katika mtaa mmoja, kwa siku tano mfululizo, tena karibu sana na makao makuu ya mkoa.
Vitendo vya Ujambazi mjini Morogoro...
Jana usiku mida ya saa tatu kulikuwa na tukio la kupatwa kwa mwezi.Hili ni tukio la kawaida lakn linahitaji kubainishwa kwa watu ili wale wasiofaham kuwepo kwa tukio hlo waelewe. Kwa mtu ambaye...
Kada maarufu wa CCM na katibu msaidizi wa chama - Moshi bwana Porokwa aonekana kuwa gamba linalotakiwa kuvuliwa ndani ya chama baada ya kuwashutumu wateuliwa wa JK na kuonekana anashirikiana na...
Katika kuzitokomeza tamaduni za nchi za magharibi, serikali ya Iran imesambaza jeshi maalumu la watu 70,000 watakaokuwa wakiwatia mbaroni wanaume wote watakaokamatwa wakiwa wamevaa chini au...
Salama wana jamii?
Kwanza napenda kuchukua fulsa hii kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kunijalia kuiadhimisha siku hii ya kuzaliwa tena furaha iliyoje inakuwa siku ya kipekee kwa wanaafrika wote kwa...
Habari hii imenistua kiasi kikubwa na imetoka katika gazeti Mwananchi la jana (15/06/2011)...Kwa mwendo huu tutafika jamani wa Tanzania wenzangu? Mh anajitetea kwa kusema SHETANI KAPOTEZA...
Salaam aleykum,wanajamiiforum.
Mimi ni mchezaji wa Pooltable.
Kama kuna watu wenye Interest ya mchezo huu basi
nawakaribisha kwenye Meza kwa kujiunga na www.netlog.com
Jisajili ili tucheze...
Mbunge wa viti maalum mh dk rwakatare -mch; ametoa mpya pale alipoulizwa zile fomu zako ziko wapi akadai nilizileta sikunyingi na nazanishetan atakuwa amezipoteza ili kuniaribia... Alisema hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.