Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Muammar Gadhafi's decision to pursue gold standard and reject dollars for oil payments may have sealed his fate an objective to kill Muammar Gadhafi to eradicate his vision of a United Africa...
0 Reactions
1 Replies
909 Views
By PIUS RUGONZIBWA, 16th June 2011 @ 16:00, DAILY NEWS THE Tanzania Bureau of Standards (TBS) has seized a consignment of 5,000 metric tonnes of sub-standard gas oil (diesel) shipped to the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za kuaminika RPC mkoa wa kilimanjaro amefariki asubuhi ya leo KCMC!RIP kamanda
0 Reactions
0 Replies
2K Views
madini aliyoyatema Bungeni jana Alhamisi yanaendana sawa kabisa na kichwa cha habari hii. Hoja ulizotoa ni za msingi na ulisimama imara ktk kuzitetea. Hongera Muheshimiwa. Taifa ziima mpaka...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Yaani kwa kweli si mchezo leo kuna kabinti kamoja kalikuwa pale lumumba mnaokafahamu kakachojolewa sijui na nani, kako bungen kanaitwa ester, yaani kale kabinti kamewazalilisha sana viti maalum...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Katika miezi ya hivi karibuni kumekuwa na maandamano yaliyoongozwa na vyama vya siasa hasa CDM kuhusu kupanda kwa gharama za maisha. Kwa ufupi katika maandamano hayo watu walifocus zaidi katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Matatizo ya Watanzania yawaliza Wajapani Imeandikwa na Hellen Mlacky; Tarehe: 16th June 2011 HABARI LEO UPUNGUFU wa walimu wenye sifa katika shule za awali umemfanya mfanyakazi wa kujitolea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chadema kimesema kuwa kama Serikali haitasikiliza hoja yao kuhusu posho watarudi kwa wananchi na kuandamana. Mbowe amesema hata Mpango wa Maendeleo wa Serikali wa miaka mitano umezungumzia suala...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UPUNGUFU wa walimu wenye sifa katika shule za awali umemfanya mfanyakazi wa kujitolea kutoka Japan ambaye amemaliza muda wake, Norie Sasaki kutokwa na machozi wakati akielezea changamoto...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada wa kujua viwango vya mishahara pamoja na marupurupu mengine kwa mtuu mwenye degree ya kwanza kwa makampuni ya bia tanzania serengeti breweries(sbl) na tanzania breweries...
0 Reactions
19 Replies
10K Views
Utafiti uliofanywa na Oxfam unaonyesha kuwa Watanzania tunapendelea zaidi kula ndizi na nyama. Ghana wanapendelea fufu na Kenya ugali. Ifuatayo ni orodha ya vyakula vinavyopendwa zaidi kwa...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Kwa watanzania wote wenye mapenzi mema suala hili pengine linahtaji mjadala wa kitaifa juu ya Deni la Taifa ambalo sasa linafikia takribani trilion 17.1, nimeangalia jinsi linavyoendelea kupanda...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Unawamulikia wengine wakati huo wenyewe unateketea, (1) yaani wako radhi kupinga kila hoja ya msingi ili kutetea ulaji wa wakubwa, (2)Wanashinda kutwa na pengine kukesha ili kuhakikisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi sio mshabiki wa CCM, lakini napenda kumuunga mkono Mh Zungu (kwa hoja ya umoja wa kitaifa) kwa hoja yake ya serikali kudhibiti matumizi ya magari ya ghali. Kwa ufupi tu, Mh Zungu aliongea...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana Jf mwenzenu nina tatizo la umeme nyumbani kwangu, mwezi uliopita lilitokea nikakaa siku 3 gizani, nikapiga Tanesco Emergency hawakutokea mpaka tatizo likajirekebisha lenyewe. Sasa Jana...
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Hii nimeikuta Kwanza Jamii.com Samunge Is Not It But there are many reasons to promote a lie By Pat Patten Before Samunge, each major hospital in the Arusha area typically saw two to three...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Nimekuwa najiuliza sana,uhalali wa kampuni ya symbion ni upi? Kama tanesco walizuiwa kununua mitambo ya kampuni hewa ya dowans mitambo iliyokuwa inajulikana kuwa ni ya Richmond kwa gharama ya bil...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
By In2EastAfrica - Thu Jun 16, 1:12 pm Chief Executive Officers’ Round table (CEOrt) chairperson, Ali Mufuruki Students in institutions of higher learning have been challenged to improve...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ajabu jana mwezi ulikuwa kamili na ulikuwa unangaa kwa mwangaza wa ajabu na kupunguza adha ya kiza cha mgao ulioshamiri maeneo mengi ya Tanzania kwa sasa kabla ya majira ya saa 3 na dk.24 kupatwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom