Bbc Swahili
15 Juni 2011 13:00
?
Wahubiri wa Nigeria wamefanikiwa katika miradi yao na kuwa na utajiri unaolinganishwa na matajiri wanaofanya biashara ya mafuta.
Kwa mujibu wa...
Tafadhali tembelea:
View from the Termite Mound: The Sukenya Farm Conflict What Thomson Safaris are up to in Loliondo and How I Became a Prohibited Immigrant in Tanzania
Utalia!
Ni juu ya...
Nilikuwa nachunguza majeshi ya nchi mbalimbai afrika na nimegundua kwamba afrika nzima, ni nchi moja tu, South afrika ambayo inayoweza kujilinda kwa kiasi fulani na maadui wa nje.
Nimeangalia...
Mwezi wa nne nilitokea sheli sheli kupitia Nairobi, wakati nafika hapa sanduku langu likawa halina mkanda niliokuwa nikiutumia kulikazia. Nilipofika nyumbani nilikuta sanduku limepekuliwa ile...
Kama utachukua deni lote la Tanzania (trilion 11) ukigawa na idadi ya watu (milion 40) basi kwa makadilio KILA MTANZANIA ANADENI LA shilling 300,000. Hata mtoto aliye zaliwa leo.....CCM OYEEEEEEEE
Msanii wa sanaa ya uchekeshaji Dickson Makwaya a.k.a "Bambo mzee wa kuchamandi" amepata ajali mbaya ya kugongwa na gari akiwa katika pikipiki maeneo ya Kigogo Mbuyuni jana usiku. Hali ya...
Jana saa 1.40 asubuhi maeneo ya akiba nilikutana na kundi la askari likikimbia MCHAKAMCHAKA.
Walinikumbusha mengi na mbali sana. Huu mchakamchaka tumekimbia shule ya msingi, tumekimbia...
Abaka visichana visichana vidogo wilayani namtumbo. DC akiri kwamba wageni hao ni hatari. Wanakijiji wapoteza imani na vyombo vya dola Serikali imesema haina taarifa za Mzungu huyo Binti...
Inasikitisha sana kuona wanafunzi wanashindwa kupewa haki zao za msingi matokeo yake wanafungiwa chuo pasiko kujali maslahi binafsi ya wanachuo. kama sikosei wanachuo wanatakiwa kuanza mitihani...
Nimefuatilia kwa kirefu jinsi ya experiences za MP's wa ccm. CCM is really full of selfish people and we definately can call the so. Most of them sit in parliament just to receive 'posho' and...
January makamba alisema swala la kufuta posho ni la mpango wa serikali na hata ccm wameshafuta posho za vikao, jana pinda kasema swala la kufuta posho haliwezekan hata posho zenyewe ni ndogo...
Mwanaume mmoja wa nchini Marekani mwenye rekodi ya kufikishwa mahakamani kwa makosa ya ubakaji, ameiaga dunia wakati akimbaka mwanamke mwenye umri wa miaka 77.
Isabel Chavelo Gutierrez mwenye...
Hi!Kumekuwa na atabia ya baadh ya watanzania kushabikia mambo wasioyajua na kuyatolea suluhu.
Ni vizur kukaa kimya utaonekana pia unajua kuliko uongee ovyo halaf ifahamike kuwa hujui kitu...
Kuanzia mwezi December 2010 hadi mwezi wa march 2011 kulikua na vita kali ya maneno ya kimbea ya gazeti la Mwanahalisi kwa Mbunge Mzalendo Zitto Zuberi Kabwe! Mwanahalisi ilitoa kashifa nyingi...
hii ni aibu jamani yaani nawaona watu weupe hapo wanaandamana kwa mgodi uliopo mara lakini sisi na viongozi wetu waaaaaaala tunaona safiiiii tu kwa raia wetu kufa
Approximately 70 people...
Rais Kikwete amesema kuwa mashirika mengi yasiyo ya kiserikali yamekua yakiponda kuhusu bara la afrika na hata hayataki kusifia kuhusu chochote,jk amesema hayo alipokua akijibu maswali ya...
MWANAMKE mmoja[30] [jina linahifadhiwa] mkazi wa Ukonga jijini Dar es Salaam, amechukua uamuzi wa kumfata mchungaji aliyemfungisha ndoa kwa kuchoshwa na vitendo anavyofanyiwa na ndugu wa upande wa...
Kuna habari nimeisoma kwenye wall ya facebook ya waziri kivuli wa wizara ya ndani mh John mnyika kuwa serikali imeficha kuwepo kwa mgomo wa kula kwa siku tatu kwa wafungwa
nawasilisha
asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.