The clan of the late paramaount chief Thomas Marealle of the chagga tribe has announced December 28 2011 as the day when the clan will choose its new family leadership as well as select a...
Taarab ya leo(post modern taarab) inamchora mwanamke katika nafasi hasi kuanzia"content",uchezaji,uimbaji, mavazi hadi matangazo. mwanamke anachorwa(potrayed)km malaya,anaegombania wanaume,anae...
mimi nimekuwa nikifuatilia sana hoja na mijadala mbalimbali pale mjengoni, nilichoweza kukiona mpaka leo ni kuwa hakuna hoja ya kumtetea mwananchi wa tanzania hata moja ambayo inapewa kipaumbele...
Hivi kweli tumedhamria kuondoa umaskini hapa Tanzania?
hivi inaingia akilini eti wananchi hawana chakula alafu Rais wa nchi yao anaenda kusalimia rafiki zake?
huyu pinda na makau wa rais wanabaki...
Ni siku ya3 wanafunzi wa education hawajapata maji. Kwani udom ni social na infomatics tu? Wadau naombeni muwaambie DOWASA chuo hakijafungwa chote. Au hawasomagi JF?
Udhaifu wa rais Kikwete umesababisha CCM kuamua kutumia kura ya maoni kupitisha jina la mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho. Uamuzi ambao umetangazwa na Wilson Mkama (Katibu Mkuu). Je hatua...
Mbwa wamevamia Kata ya Old Korogwe Wilayani hapa na kula mahindi mabichi na kuzusha hofu kwa wananchi kwamba huenda wakasababisha jaa.Mjumbe wa serikali ya Mtaa wa Old Korogwe, Kasimu Lupatu...
Najua unapita JF kwa hiyo sina wasiwasi na ujumbe wangu huu kwako. Arusha pale soko kuu kuna wimbi kubwa la watoto ambao umri wao unadhihirisha wazi kwamba wanatakiwa kuwa shule, na nahisi wengine...
Wana janvi natumaini wote hamjambo, napenda kuwataarifu kwamba kila siku ya Alhamisi bendi ya wazee sugu ikiongozwa na mzee king kiki wa kutambaa cheupe watakuwa wanatimua vumbi ndani ya kiwanja...
CCM ikiwatimua mapacha watatu tutawapokea-AFP Thursday, June 16,
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar CHAMA cha Wakulima Tanzania (AFP), kimeweka bayana msimamo wake kuwa ikiwa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Bhoke,Bhoke,,Bhoke
si maadili ya Kitanzania
Amelidhalilisha sana Taifa
Ikiwa Bhoke atarudi/ataendelea na kibarua chake pale EATv itaongeza kasi ya mmomonyoko wa maadili kwa wabinti hasa wa...
Angalia kwa kifupi dk 9, uone kitu gani kinaendelea sehemu fulani za nchi yetu.
YouTube - Hyena Square
then see full episode here;
YouTube - Hyena Square - Tanzania
Tunawaisaidiaje...
" Kambona , ah, ah!
Kambona, ameolewa!
Wapi?
Uko Ulaya!
Wivu?
Wamkereketa!"
Utotoni nilipata kuwasikia kaka zetu wakiimba wimbo huo wa mchakamchaka. Nikiwa shuleni nimesoma sana habari za siasa...
Wakuu poleli sana na majukumu ya kujenga taifa<BR>swala la hali ya chakula linatishia kugarimu maisha ya watanzania walio wengi,bei za nafaka hususani mahindi yamepanda kuliko...
Taarifa ya habari za kimataifa imesomwa kiajabu sana. Habari ya urusi imewekwa libya na kinyume chake. Halafu msomaji hajatuomba radhi. Mzee Mengi umeona? Ama staff wako hawajali ama taarifa za...
Huzuni WATANZANIA, huzuni sana, tumechoka waTz kulaghaiwa, tulisika Ari mpya na zaidi, iko wapi? tulisikia Nguvu mpya na zaidi, iko wapi? tulisikia kasi mpya na zaidi, iko wapi? tulisikia maisha...
Tafadhalini wana JF nisaidieni mwenzenu kama gazeti la Mwanahalisi kwenye mtandao lipo au limekwisha fanyiziwa? Maana mimi napata madudu yanayoonyesha kwenye www.mwanahalisi.co.tz . Au tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.