Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ebu fikiria, Dar tuna bandari ya asili ( natural harbour) ambayo Mungu hatutozi kodi hata senti moja. Holland inategemea sana Roterdam kama kitega uchumi chake cha maana. ( Roterdam) ni bandari...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Kuanzia Mwinyi,Mkapa na JK ,hawa wote nawaita Waswahili. Tangu lini Mmakonde(kabila langu ), ukamwiesabu mtu serious! Kuna makabila binti yako akiolewa ,ujue amekwisha. Angalieni Mzee Ruksa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
HABARI WANAJAMVI. KUNA HII KITU INAITWA "THE MEGA WEALTH CLUB" NI BIASHARA YA MTANDAONI KULINGANA NA MAELEZO YA AWALI. TATIZO LANGU: JE NI KWELI HII KITU NI HALISI AU NI DECI YA KISOMI ZAIDI? The...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hamani mngempa hata kikwete hii mbinu ya kuficha fgre aibu zisiwadondokee familia nzima hata kuficha hivi wameshindwa?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Habari kwa mujibu wa blogu ya Beda Msimbe, inasema kuwa, umezuka mzozo katika familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, hayati Mzee Rashidi Mfaume Kawawa, baada ya mjane, Asina Kawawa...
0 Reactions
25 Replies
11K Views
  • Closed
Jamani mnisamehe, kwani inaniuma sana, leo asubuhi nimeenda ferry nikanunua samaki wangu wa laki nikitegemea watanifikisha mwisho wa mwezi. Yani nimerudi mida hii samaki wote wameoza, ndani...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Kuweka pesa akaunti isiyo yako 1000.00, kuangalia salio 200, kuchukua pesa ATM 400, kuchukua pesa ndani 700, service charge per month 500 . Hii ni nini kama siyo wizi? kuna faida gani ya kuweka...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Timu ya wakaguzi kutoka wizara ya afya imeifungia zahanati moja wilayani igunga inayomilikiwa na jumuiya ya wazazi (ccm) kwa kutoa huduma za afya kwa kutumia kibali kilichogushiwa. Source: TBC...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nakumbuka Wakati Richard aliposhinda BBA miaka michache iliyopita, kuna vimbelembele(soma viongozi) kutoka CCM walidai kuwa ushindi huo ulikuwa ni matokeo ya sera nzuri za CCM katika kuendeleza...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Inaripotiwa katika gazeti la Mwananchi kuwa upo mnong'ono wa mgogoro wa wafanyakazi na manejimenti unaofukuta katika benki mbili kubwa nchini za NBC na NMB kuhusu mfumo wa malipo ambao wafanyakazi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani huyu mzee siku ya happy fathers day si anatakiwa awe na wanawe? anngetembelea hata kituo cha yatima na kupiga nao stori moja mbili tatu na kuonyesha upendo kwa wanawe Udom sio watoto wetu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Na Restuta James 19th June 2011 Wafungwa zaidi ya 20 walio katika gereza la Maweni, mkoani Tanga, ambao wamehukumiwa kunyongwa wamegoma kula na mmoja anadaiwa kufariki dunia. Taarifa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jumapili iliyopita Gazeti 'kubwa' la habari leo waliandika habari iliyolenga kumchafua askofu msaidizi wa TAG ndugu Mhiche na Kanisa kwa ujumla, habari ilikua na heading "Askofu adaiwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau nimelishuhudia bunge la leo nikauona mnyukano kati ya Lukuvi, CCM na Msigwa. Ukweli ni kwamba Lukuvi hakuwa na chochote cha kuzungumza mda ule ila hasira za uchaguzi ndo zimemfanya azungumze...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari zenu wote! Yaani hawa tigo wameamua kutuwekea makelele pindi ukiwa unampigia mtu simu wakati salio lako likiwa halisomi, hii inanikera sana binafsi maana naona wanadhamira ya kutufanya...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Zina tafutwa tahrir squre kama tano hivi mwisho mwezi wa 7 kwa miji ifuatayo. 1. Dar 2.mwanza 3.arusha 4.mbeya 5,dodoma hizi ni za kupiga kambi mwanzo mwisho
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu mimi huwa kila siku saa mbili usiku napenda kuangalia habari za nyumbani kupitia TBC1 ndani ya DSTV. Leo nashangaa channel 143 ya TBC1 haina kitu. Kuna ajuaye kulikoni?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Polisi wilayani Monduli wamelalamikiwa kwa kuvamia watu mjini mto wa mbu, kupora fedha na kuwajeruhi watu kadhaa akiwemo mwanamke aliyekatwa vibaya pale walipokuwa wanamnyoa nywele kwa sime...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu email ya mhifadhi mkuu hifadhi ya serengeti bwana Mtango Mtahiko anisaidie. Nimejitahidi kutafuta kwenye website ya TANAPA na ya hifadhi ya Serengeti...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
We had RICHMOND company wch caused much loss 2 the govt and public!Later was changed to DOWANS, where the govt was compelled to end the contract, due to failure and cheating! Now has changed to...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Back
Top Bottom