Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nimegundua watanzania ni wa janja sana. Baada ya kushuhudia makanisa ya maombezi yanachuma pesa kama mchezo vile tena bila kulipa kodi wameamua nao kutoka kindoto. Ubunifu mkubwa uliopo ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeangalia kipindi cha Kipima joto cha ITV na mwisho wa kipindi hiki nilipata ujumbe uliokusudiwa na mtayarishaji Bwana Masako. Mada ya kipindi hicho ilikuwa mchakato wa sheria ya urithi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari toka Ngara: Historia ya Mgogoro kati ya Wilaya ya Ngara kati ya Wakulima na Wafugaji(Wanyarwanda) Watanzania wanapokuwa watumwa katika nchi yao………. Mnamo mwaka 2008 Wilaya ya Ngara...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Siku zote watanzania tumekuwa tukiwaheshimu sana waasisi wa taifa hili Marehemu Mwalimu Nyerere, Marehemu Rashidi Kawawa na Marehemu Karume kuwa walikuwa viongozi waadilifu ambapo katika uongozi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Awali ya yote niwapeni pole ndugu jamaa na marafiki pamoja na wana CCM kwa kuondokewa na kada wao mkongwe ndugu Costantine Mushi aliyefariki jana baada ya kugongwa na gari.mzee wetu huyu atazikwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wachina wa kampuni ya chiko wavamia kituo cha polisi babati na kutoa kichapo kwa polisi, ktk taflan hiyo wafanyakazi watatu wa kampuni ya wachina wapo hoi kwa majeraha...kisa gali lao kugongwa na...
0 Reactions
3 Replies
984 Views
Guys, I found thi sinteresing to read.... 201120 June: A Tupolev Tu-134 operated by RusAir, a private Russian airline, crashes on the approach to Petrozavodsk airport in the northern republic of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hiv huyu makamu wetu wa rais yuko wapi..maana ni muda mrefu sijamsikia ktk line za wtz..na wacwac hata kuna maeneo ya nch hii hajawah kanyaga kabisa tangu ashke nyazifa hiyo..hv kaz yake hasa ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Siku ya Ijumaa waliokuwa wakifuatilia Kikao cha Bunge kinachoendelea Dodoma, Mbunge wa CHADEMA Mh. Msigwa wakati wa kuchangia aliishauri serikali kupunguza matumizi ikiwemo kupunguza misafara ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida baadhi ya wakazi wa kata ya Tandahimba wilayani Tandahimba mkoani Mtwara wamelazimika kuyatoroka kwa muda makazi yao kutokana na zoezi linaloendelea la mafunzo ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tuko maelfu kwa maelfu wanachama hai kabisa wa chama cha mapinduzi, lakini tumechoshwa kabisa jinsi chama kinavyozidi kutumbukia shimoni kila kukicha, tufanyeje? Na hizi kadi zetu tumeshazilipia...
1 Reactions
80 Replies
7K Views
Wana JF, nimetumiwa mail na jamaa yangu (naye ametumiwa) ikisomeka hivi: Ndugu, Serikali yetu tukufu,imeamua kuanzisha mkakati wa kuondoa foleni katika jiji la Dsm kwa kuzuia/kukomesha kabisa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa namanga kama wiki nzima hivi kuna vitu vilinishangaza kwa siku zote nilizo kuwa pale namanga navyo ni hivi hapa. 1. MABASI YOTE YALIYO KUWA YAKITOKEA NAIROBI NCHINI KENYA KWENDA DAR AU...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jana Arusha umeme ulikatika kuanzia saa 12 jioni ,mpaka saa moja asubuhi na leo tena umeshakatika nikawapigia simu TANESCO namaba 0732-979280 wakaniambia kwamba ni mpaka kesho ndo utarudi. Mimi...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wachina wa kampuni ya chiko wavamia kituo cha polisi babati na kutoa kichapo kwa polisi, ktk taflan hiyo wafanyakazi watatu wa kampuni ya wachina wapo hoi kwa majeraha...kisa gali lao kugongwa na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
** Why is this CCM now they have to use religious books to prove it's existance? “The trouble ain't that there is too many fools, but that the lightning ain't distributed right!!! Na Nathaniel...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
jumamosi nilitoka kwenye harusi nikapitia bar mpoja maarufu tu kawe yaitwa hipro pub wakati naingia nikapita kaunta ili kwenda msalani, nikakutana na askari mmoja tuna fahamiana wakati...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
wakuu mwelekeo wa nchi yetu mi naona kwa sasa ni kudai madaraka na haki zetu kwa nguvu ndo linalofuta, swali je tukianza mission yetu ni nani atakuwa wa kwanza kututambua kamasisi ndio watu halali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Posted Sunday, June 19 2011 at 12:33 Tanzania has differed with its EAC counterparts over the use of national identity cards as the region’s standard travel documents...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukitazama Bunge wakati wa asubuhi maudhurio ya wabunge yanakuwa juu sana ila wanaporudi jioni Maudhurio yanashuka sana yaani hata Robo ya Wabunge hawarejei kikao cha jioni hii ndo inatudhihirishia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom