It is crazy. isn't??? Look at this.
Can you imagine a world without women?!!!. Valentine's Day and Mother's Day would no longer hold any meaning. The world would have less pink--less...
Hi wana JF!
Katika harakati za kusaka elimu, nimepata admision ya chuo cha nje na katika harakati za kusaka ufadhili inatakiwa niwe na Passport ya kusafiria nje ya nchi tena ndani ya wiki hii...
Mimi ni mpenzi mkubwa wa lugha mbalimbali za kibantu. Zaidi navutiwa na matamshi ya maneno; mfano lafudhi za wahehe na wabena wa iringa, wakurya na wajaluo, wachagga, wahaya na wasukuma. Majina ya...
Ndugu zanguni kutokana na mgao wa umeme kuwasababishia watu wengi hasara na hatimaye kuongeza umaskini nimeomba ushauri kama tunaweza kuanzisha Umoja wa Kisheria wenye lengo la kumlinda mtumiaji...
By MICHAEL FELBERBAUM - AP Tobacco Writer |
This image provided by the U.S. Food and Drug Administration on Tuesday, June 21,
This image provided by the U.S. Food and Drug...
SIJUI NISEME RAIS WETU YUKO CHEAP SANA ,YAANI LEO NILIKUWA NAZUNGUKA KWENYE MADUKA KUTAFUTA VITU YAANI HAWA WAHINDI WAMEWEKA KPICHA ZAO KWENYE MADUKA YAO NA KIKWETE UNAJIULIZA WANAPIGAGA NAE SAA...
Nimekaa kwenye kona, na hii kompyuta nikishangaa jinsi ushabiki wa mabaya yanayowakuta watu unavyoshangiliwa, asijikwae mtu ambaye jina lake limezoeleka katika jamii (mchungaji, mwanasiasa, mcheza...
leo nimeingia kwenye email yangu na kukuta nemetumiwa hii msg so nikaona sio mbaya nikiwaletea wadau muone kama na nyie two last digit za birthyear zenu plus age yenu ya sasa zinamake 111. kwa...
Some people who need medical care but can't afford it go to the emergency room. Others just hope they'll get better. James Richard Verone robbed a bank.
Earlier this month, Verone...
Nimetoka kuongea na Customer care Tanesco (kwa simu namba 0732 979280) kuhusu mgao mpya wa umeme cha kusikitisha jamaa anaongea huku akicheka kuwa sehemu kubwa ya Arusha haitakuwa na umeme kabisa...
Wachina wampiga Mkuu wa Kituo cha Polisi
Tuesday, 21 June 2011 22:12
0diggsdigg
Joseph Lyimo, Babati
Mwananchi
VURUGU kubwa zilizuka juzi kwenye kituo cha Polisi...
Jana nilikuwa kwenye semina pale M'nyamala - K'ndoni katika ukumbi wa vijana. Nilishangaa kuona kuna pikipiki nyingi takriban 300 ambazo tayari zina usajili zikiwa zimeifadhiwa pale, na kwa jinsi...
Pamoja na kwamba bushbaby, Mvumbuzi na Mo-TOWN wameandika threads tofauti kuhusu power rationing hapa Arusha, naomba nami kwa mtiririko huo huo niwaombe waheshimiwa tajwa hapo juu kwa nafasi zao...
Waziri wa miundombinu asubuhi akihojiwa TBC kasema Kenya aliwashauri ili Kenya Airways isianguke watafute shirika la kuungana nalo na ndio maana KQ Imefanikiwa
Wana jamvi mwaionaje hii, waziri...
HOSPITALI ya Wilaya ya Kahama imenyooshewa vidole na madiwani kuwa imekumbwa na vitendo vya rushwa na ukiukwaji wa maadili ya kazi kwa watumishi wake na hivyo kuwa chanzo cha vifo vya wajawazito...
KATIKA hali ambayo iliwaacha watu wengi wakiwa hawaamini macho yao mwanamke mmoja [51] amejikuta akisaula nguo zake zote na kutoa radhi hadharani kwa mwanae wa kike aliyefahamika kwa jina moja la...
Mwanaume mmoja toka Jamaica aliyekuwa akiishi kinyume cha sheria nchini Uingereza amejaribu kujichinja kwa kutumia kiwembe baada ya kupandishwa ndege ili arudishwe kwao Jamaica.
Tukio hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.