Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
wana jamii salamu pamoja na JF kufanya kazi kubwa kuwafikia watanzania wengi kwa siku na wasio watanzania. llazima tuhakikishe vita inapigwa kila kona kuna page katika faceboo kama hutakuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana katika mjadala wa muswaada wa sheria iliyopata vuta nikuvute ya aina yake,mh Nimrod Mkono Mbunge wa Musoma vijijini na mwanasheria wa siku nyingi alisimama na kusema kuwa madiwani wanapata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
-Tutarajie yapi kutoka kwa Mtoto wa Mkulima? -Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani ametuandalia lipi? -Ataomba Mchakato wa KATIBA mpya uharakishwe? -Vita ya posho, mashangingi itaendelea? -Vipi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tiba ya mchungaji wa Kainsa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Ambikile Mwasapile, imeingia dosari baada ya kuanza kupoteza umaarufu na idadi ya watu wanaokwenda kupata kikombe hicho kuanza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukisikia jinsi Arusha inatangazwa na kusifiwa utasema yes.. ni sehemu baabu kubwa sana... kila atakayesimama atasema lake..wapo waliothubutu kuiita Geneva of Africa... ni waongo.. 1. Arusha ni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni dhahiri kuwa vitabu vingi tunavyosoma vimeelezea na kutoa mifano toka nje ya nchi na kumbe matukio mengi ya aina hiyo yapo nchini mwetu. Hapa tayari majengo ya Bandari ya zamani yameshaondolewa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Written by Ghalib // 21/06/2011 // Habari // 3 Comments Salma Said BAADHI ya wajumbe wa baraza la wawakilishi wamesema wakati umefika kwa wazanzibari kutumia rasilimali zake za asili zilizopo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais wa bodi ya MCT Jaji Kisanga (kushoto) akipongezwa namjumbe wa bodi hiyo aliyeshinda kwa kishindo Keneth Simbaya ambaye ni Rais wa UTPC na mwenyekiti wa IPC Rais wa MCT Jaji Kisanga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwenye barabara kuu ya Ocean Road, asubuhi kumekutwa bonge la bango...''KIKWETE NCHI IMEKUSHINDA JIUZURU''....Haa, jamaa sijui aliweka usiku wa manane!!
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Huyu bwana mbona ana madoa mengi ya tope? Epa, mikataba mibovu kila sehemu, uwekezaji wa kupumbavu, lkulu kampani limitedi, na uozo mwingi, je huo usafi wake uko wapi?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tuna imani na Tanesco oyaa oyaa oyaaa , Tanesco kweli ..,kweli...., kweli, kweli kweli kweli, Tanesco kweli Kweli , kweli.....Kweli ,kweli kweli x 2
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mchungaji wa Kanisa la Full Salvation, Christopher Mtikilla ‘ameifungukia’ kauli ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa, baadhi ya viongozi wa dini nchini wanajihusisha na biashara haramu ya madawa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Sipati picha, kichwa kitakuwa kinamuuma kila akifikiria kuwa ataulizwaje! Nahisi atakuwa anayaomba majini yake yamsaidi Lissu asiulize swali! Urudishwaji wa Mashangingi roho inamuuma sana!!Ndugu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ningependa kununua pikipiki ya kichina. Kwa wale wenye uzoefu, ni model ipi iliyo bora ukizingatia uimara, matumizi ya petrol, vipuli na matengenezo yenye bei nafuu?
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Kwa kweli bunge linatunyonya wananchi sababu ya kura za NDIO au HAPANA hivi hao wabunge wanatutendea haki kweli?
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Tumehamisha vigezo na masharti kuzingatiwa
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Immigration m na kazi mpaka kidume aondoke sijui mtagonga mara ngapi passport yake polen sana sana najua shuruba zao wah wanapokuja na mapassport yao lakini mkomae ndio hivyo tushauzwa tutafanyaje
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii ni mara ya tatu hii thread naiweka kwa kuwa ina ukweli mods wanaifuta pipozzzzzzzzzz JF inatumika kisiasa au baadhi ya MODS ndio wanatumika kisiasa?? Leo nimesikitishwa sana jambo ambalo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani jamani kwa aliyeona taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu ITV inasikitisha.Mtoto wa darasa la pili abakwa na mfanyabiashara mkubwa mjini Arusha tena mwenye asili ya kiasia cha...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Posted Sunday, June 19 2011 at 11:33 The number of Tanzanian witchdoctors (or those purporting to have come from there) practising in Kenya is disturbing. Posters and sign boards from these...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom