Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
11,300 km roads to be tarmacked this year By Felister Peter 21st June 2011 Works deputy minister Dr Harison Mwakyembe told the Parliament yesterday that the government would...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Jackson[ 22] mkaazi wa Manzese, amejikuta akiwa katika wakati mgumu baada ya kufanya wizi kuiba mipira ya kiume ’kondom’ boksi tatu aliyoikuta katika moja ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tafsiri yangu kuhusu hawa wa Germany huyo mmoja ameshika tama sababu sera za ndani ya kijikitabu hicho hazitekelezeki kutokana na Rushwa na Baadhi ya Wabunge wetu wa CHama chetu hicho kununua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WANAFUNZI wa shule za msingi mkoani Lindi wamedaiwa wameacha masomo na kuamua kuwalea wazazi wao walioathirika na maambukizi ya magonjwa. Mratibu wa Mradi wa Pasha mkoani Lindi, Sarah Mraponi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam wanaJF! Katika dunia ya sasa, mawasialiano ni jambo la msingi sana. Katika masuala ya utawala na uongozi, mawasiliano kati ya viongozi na wanaoongozwa nayo ni muhimu sana. Sasa, hebu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kumekuwepo madai kuwa wale wasiopona kwa kikombe cha babu wamekosa IMANI. hapo chini kuna picha ya mgonjwa akilazimishwa kunywa dawa. sasa nauliza, huyu mgonjwa akipona kama ngugu/jamaa yake...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa TANESCO Mr. William Mhando imebidi nikuulize hili swali " WHAT ARE YOU DOING?" wakati Arusha imegeuka DARK CITY for almost 14 hours every day for more than a week now. Nakuuliza...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Maisha mapya jela kwa kushambulia wanahabari Mfungwa Shoto Shabani (mwenye suti) ambaye amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja na kulipa faini ya sh.200,000 na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilaya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
* CCM LIFESTYLE... RUSHWA!! Na Steven Augustino, Tunduru DIWANI wa Viti Maalumu wa Tarafa ya mlingoti Wilayani Tunduru kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Atingala Mohamed amehukumiwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninakunjua jamvi waungwana msogee,tusaidiane kutafakari hili linalo niumiza kichwa,ya mwlm NYERERE nimengi yakujivunia kwa wenye uelewa nawalio shuhudia,hakuna awezaye kuishi chini ya jua asitende...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania has one of the lowest GDP per capita in the world. The nation has many natural resources including natural gas, gold, diamonds, coal, iron ore, uranium, nickel, chrome, tin, platinum...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mahakama ya Tunisia imemtupa jela aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Zine al- Abidine Ben Ali. Adhabu hii hataitumikia peke yake kwani mahakama hiyo ilionelea haitakuwa vibaya akiambatana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Great Thinkers, Habari zenu na ni matumaini mu wazima wa afya na wale wanaumwa ni mategemeo yangu watajaaliwa afya na siha njema na Mwenyezimungu. Tangu kukamatwa kwa viongozi wa chama kikuu cha...
1 Reactions
94 Replies
8K Views
Wandugu naomba mwongozo, hii biashara ya kulipa kodi mwaka mzima au nusu ilianzaje? Mbona kazini hatulipwi mishahara ya mwaka... Mwenye nyumba anataka kodi ya mwaka, mwenye frame ya biashara...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Kufuatia mwandishi Joseph Mullinda kutafutiwa kazi kama mhariri wa gazeti la Dira huku akitumwa kumshambulia Edward Lowassa na kundi hasimu na lile la Lowassa na kudaiwa kulipwa mapesa mengi kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Watoto wa shule hawana viatu,madawati,huku mtoto mwingine anauza mahindi shule m-huuuuu.tutakuwa na kizazi gani hapo baadaye kama elimu itakuwa ya kubahatisha hivi?mwakilishi yeye anauchapa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
NASEMA OLE OLE KWANGU NA NCHI YANGU Sina hakika kama kweli ,mimi ndimi kiongozi hasa mchaguliwa wa Wawadanganyika,kama ndiye basi ole wangu na kama siye basi ole wangu zaidi maana yawezekana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wandugu, Miaka ya nyuma baada ya uchaguzi kuisha na waheshimiwa walioshinda uchaguzi kutawazwa rasmi na sherehe zote kumalizika tulikuwa na mapumziko ya kiaina kati ya watendaji wa serikali na...
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Na Mwandishi Wetu Mchungaji wa Kanisa la Full Salvation, Christopher Mtikilla ‘ameifungukia’ kauli ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa, baadhi ya viongozi wa dini nchini wanajihusisha na biashara...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kwa kuwa kuna nyerere day? kwani nani aliyetangulia kufa kati ya nyrere na karume? kwani mwanzo hawakuona kama kuna umuhimu wa kuwa na karume day? kama nyerere hangekufa kungekuwa na karuma...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Back
Top Bottom