Wadau Gavana wetu nchi inazama na inflation yeye na JK wanapanda mapipa. Wana JF kuna nani hapo uwanjani aweze kutupa nyeti juu ya huyu jamaa anaenda kutumia wapi mapesa yetu ? Msaada wenu najua...
You might not understand how the money system works, but trust me it's a burden which has been torture and enslaves our societies for ages. The system works like game of music chairs. Music chairs...
Taarifa ya habari ya jana usiku saa 2 ya Radio 5 fm imetangaza kupitia mtangazaji wao aliyepo PEMBA Ndugu Masanja Mabula kuwa watu wasiojulikana wameliteketeza kwa moto kanisa la Pentekoste TAG...
Yule Hosea wa Takukuru sasa hivi yuko live ITV katika kipindi cha Dak 45 akibwabwaja. Sijui wataruhusu maswali?Aulizwe ile ripoti ya Wikileaks kwamba alinukuliwa akilalamika kwamba JK anamzuia...
Ndugu wadau nimepata tetesi kuwa mkuu wa wilaya ya Bagamoyo amewaweka ndani kamati za Vocha wa vijiji kadhaa wilani Bagamoyo
kwa kile kinachoonekana ni kupakaziana kwa wakulima na kamati zao pale...
Swali: Kwanini pamoja na umasikini wa waTanzania, miundo mbinu ya baiskeli na watembea kwa miguu haipewi kipaumbele?
Naomba wabunge wetu mtusaidie kuuliza maswali haya huko bungeni na...
My car book says to roll down the windows to let out all the hot air before turning on A/C. WHY? Car Air-conditioning - No wonder more folks are dying from cancer than ever before. We wonder where...
Jamani mwenye kujua kama ile tume iliyoundwa na Rais wa JMT tayari imeshatoa report yao kuhusu vyanzo vya migomo ya wanafunzi wa elimu ya juu. Niliona wametengeneza website ya kukusanyia maoni...
HII NI KWELI MLIOSOMA DAIL NEWS
Muungano wa Asasi za Kiraia zinazotetea Usawa wa jinsia, haki za binadamu, maendeleo na ukombozi wa wanawake kimapinduzi (FemAct) hapa nchini,tumepokea kwa...
Ama kweli Tanzania ya leo tunao mchanganyiko wa kiaina katika uongozi wa juu:Rais anayechekacheka hata pale anapotakiwa kuwa serious na waziri wake mkuu anayelialia na kulalamika badala ya...
Naibu rais wa shirikisho la soka ulimwenguni FIFA Jack Warner, ambaye aliangaziwa zaidi katika madai ya hivi karibuni ya rushwa katika shirikisho hilo, amejiuzulu wadhifa wake. Hayo...
Gross income ya mshahara wangu kwa mwaka ni 9200000.00 bila makato ya NSSF, BIMA, kurejesha mkopo wa elimu ya juu n.k; kodi yangu kwa mwezi nakatwa 115,000.00 jumla 1380000.00. Mfanyabiashara...
Mara kadhaa kwa nyakati tofauti nimesikia malalamiko kutoka kwa wananchi wakiilalamikia Hospitali ya Mwananyamala kuwa kuna uzembe unaofanywa na baadhi ya madaktari wasiowaadilifu ambapo vitendo...
Habari JFs, mwenye kuelewa gharama za maji ya Dawasa anijuze tafadhari, na vile vile ningependa kujua wanabase kwenye nini kuchaji hizo gharama kwa sababu mi ndio nimepata bomba na nimetumia mwezi...
KIKWETE ANGEKUWA NA MAONO...ARTICLE HII INATOSHA KABISA KUMFANYA ALIVUNJE BUNGE. JE, ANAWEZA KUNG'AMUA FALSAFA NZITO ILIYOMO? SOMA HAPA CHINI...
As the snake sloughs its skin, the national ship...
Yule Sharobaro mpangaji wetu wa Magogoni ambae halipikodi, anazidi kuchanja mbuga leo hii 19/6/2011 anatimiza safari ya 311 nje ya TANZANIA atakuwa Malaysia. Hiyo ni record ya juu zaidi dunia!
Mi ni mteja wa Airtel, nakumbuka kuna member alichangia humu jamvini kwamba kampuni za simu zinawaibia wateja. Aidha kwa kufahamu au kutofahamu. Nimefuatilia mara kadhaa, leo nime prove...
Wapendwa wananchi wenzangu wa nchi yetu ya Tanzania, napenda kuwaomba nami niwe mmoja wa familia hii nzuri na yenye busara tele. Naamini nitajifunza mengi sana kutoka kwenu. Naomba msaada wenu...
Wana JF,
Baada ya kuona makala Moja hapa inahusu Twiga kuuzwa nikaona ni bora pia niwape habari hizi ambazo ndani ya week mbile zilizo pita kweny Sky News TV ya UK ilikuwa inaeleza Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.