Mpendwa mteja
Namba yako XXXXXXX imechaguliwa kushindania Tsh1,000,000 za leo.
Tuma 'KWANJUKA' kwenda 15656 SASA!
Time: XXXXXX XXXX
Airtel wamenitumia hiyo message, hii ni mara ya tatu napata...
Na John Ngunge
14th June 2011
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), limesema kwa sasa halitauza nyumba zake kwa wananchi,badala yake linaelekeza juhudi zake katika ujenzi wa nyumba mpya 15,000...
Katika kikao cha leo bungeni asubuhi mh P.msigwa ameambiwa athibitishe serikali inaua watu na amesema anaoushahidi !ni baada ya Lukuvi kutoa taarifa kwa mwenyekiti.
habari wana jamvi,hivi wabunge wote wanaochangia bajeti na kudai kuwa wanaiunga mkono bajeti mia kwa mia tena kwa msisitizo halafu wanaikosoa ni kwamba hawajui hesabu au wasiposema hivyo...
Wana jf, kila nikisikia au kuona matangazo ya malaria haikubaliki kabisa, matangazo ya kuitaka kila familia ipate vyandarua kwa kujikinga na mbu waambukizao ugonjwa huo na semina na makongamano...
Wajapani wanaojitolea wamebubujikwa na machozi baada ya kujionea hali halisi ktk shule walizokua wakifundisha.waliyasema hayo ktk ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma.Wamesikitishwa sana...
MWANAMKE aliyepewa talaka akiwa safari alierushwa katika mtandao huu wiki mbili zilizopita amerejea nyumbani na kutoa onyo kali kwa mumewe huyo kwa kitendo chake cha kumdhalilisha huku akitishia...
HATIMAYE maombi yaliyofanywa na msichana mmoja akishirikiana na waumini wenzake kumuondoa pepo chafu baba m,wenye nyumba ili asihame kwenye nyumba hiyo lagoma kutoka na ahama
Msichana huyo juzi...
Nimeangalia hizi video clips za mapinduzi ya Zanzibar nimebaki na maswali yasiyo na majibu. Kweli inatisha sana na kibaya zaidi inaondoa utu sidhani kama mtu mwenye akili anaweza kushabikia...
Maho Beach Located on the Dutch side of the island St. Maarten in the Caribbean, Maho Beach is famous as a favorite location for plane spotters.
Thrill-seeking plane spotters flock to a Caribbean...
Mtu mmoja alieuawa hv juzi na wanafunzi katika hostel za mabibo za chuo kikuu UDSM anazikwa leo mjini songea.
Kwa mujibu wa mtoa habari ambaye alisoma na marehemu ,marehemu alishawah kugigwa...
Kutokana na hujuma ambazo baadhi ya wagombea walizokuwa wakizifanya, na hivyo taarifa hizo kupelekwa makao makuu ya chama taifa hivyo maamuzi yaliyokuja ni kuwa uchaguzi usitishwe hadi hapo...
RAIS Jakaya Kikwete amewashutumu watu na hasa asasi zisizo za Serikali (NGOs) kwa kukosa uzalendo na kutangaza mabaya ya nchi zao na kuacha mazuri kwa lengo la kupata ufadhili.
Amesema...
Napanda jukwaani nikikiri kwamba bado ni mchanga humu,naomba mnisaidie hili:nimesikia kauli nyingi zikiongelewa bungeni za kufurahisha na kukarahisha wengine,hivi leo mh.
Halima mdee alipoanza...
Habari wana jamvi, hivi wabunge wote wanaochangia bajeti na kudai kuwa wanaiunga mkono bajeti mia kwa mia tena kwa msisitizo halafu wanaikosoa ni kwamba hawajui hesabu au wasiposema hivyo...
Wanasayansi nchini uingereza wameeleza kuwa binadamu anapofikisha umri wa miaka 75 anakuwa amelala/amesinzia kwa muda wa wastani wa miaka 23?! Kazi ni kwako
Aliyekuwa mkuu wa polisi mkoa wa kilimanjaro Lucas ng'hoboko,amefariki ghafla wakati akikimbizwa hospital ya kcmc leo asbh,mkuu huyo wa polisi alikuwa amestaafu wiki 2 zilizopita na alikuwa bado...
Attached please find files for calculating customs values to be used in tax calculations for imported used motor vehicles. The formula is in use since June 1st.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.