Wiki hii tumesikia,kuona na hata kusoma habari juu ya mbunge mmoja akiwatuhumu wabunge wenzie kwa kujihusisha na RUSHWA.........aliwataja wazizwazi bila kumung'unya maneno.......
Lakini sote...
Mwanamke mmoja wa nchini Uingereza ili kupinga mauaji ya samaki aiana ya Papa duniani ameamua kuonyesha machungu yake kwa kujitundika mwenyewe kwenye ndoano kubwa ya kuwatundika papa.
Alice...
Hali kama hii inaweza ikatokea Uingereza lakini huenda ikawa ni vigumu sana kutokea Tanzania, Daktari mmoja wa nchini Uingereza aliliingilia tukio la waziri mkuu kupiga picha na mgonjwa hospitali...
Napanda jukwaani nikikiri kwamba bado ni mchanga humu,naomba mnisaidie hili:nimesikia kauli nyingi zikiongelewa bungeni za kufurahisha na kukarahisha wengine,hivi leo mh. Alima mdee alipoanza...
Baada ya kuangalia uchambuzi wa kitoto wa katibu mwenezi wa moja ya vyama vikongwe kabisa barani Afrika kuhusu bajeti mbadala ya upinzani, na baada ya kugundua kuwa hajui kwanini mabunge ya jumuia...
HOFU imetenda kwenye Shule ya Msingi Living stone ya mchepuo wa Kiingereza, wilayani Njombe, baada ya mwanafunzi Doris Lutego (12), aliyetekwa ndani ya bweni wiki iliyopita kukutwa ameuawa kwa...
mimi ni miongoni mwa wakazi wa kyela!!!! kwenye uchaguzi mkuu 2005 mgombea ubunge wetu(mwakyembe) alituahidi mambo mengi tu lakini yaliyokuwa yametugusa sisi wakazi wa kyela hadi tukaamua kumpa...
Kama watz sote ni ndugu, lazima tupendane. ikiwa jirani yako ni amekosa chakula ni viozuri kumgaia na sio kukimwaga chakula jalalani kwake ili akiona. kumsema pembeni si suluhusho hasa ukizingatia...
A total lunar eclipse will take place on June 15, 2011. It is the first of two total lunar eclipses in 2011, the second occurring on December 10.
It is a relatively rare central eclipse where the...
RAIA wa Afrika Kusini, Hilton Miles (28) amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela ama kulipa faini ya Sh 200,000 baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na dawa ya kulevya.
Hukumu hiyo...
Aliyejifungua pacha 4 afikisha watoto saba
MKAZI wa mtaa wa Sima kitongoji cha Butiama mjini Bariadi mkoani Shinyanga, Mlinda Shineneko (29), amejifungua salama watoto wanne pacha katika...
Dunia haiishi vituko! Umetokea mtafaruko huko songea baada ya wazazi wa marehemu Esta kihwele wa tosamaganga iringa kuzuia kuzikwa kwa binti yao kisa mkwe wao hakumaliza kulipa mahali ya 900000...
Jamani hapa nagasaki university kuna maprofessor 4 wanajiandaa kuja huko kupata kikombe. wanamatatizo mbalimbali , ikiwepo pressure, kisukari na kjogoo kutopanda mtungi.
Pia Kenya wameamasika sana...
Jamani leo kwa wale wazalendo wa zamani ilikuwa siku maalum ijulikanayo kama Juni Kumi na Tano, yaani siku ya wanafunzi waliomaliza kidato cha sita na vyuo vya elimu kujiunga na Jeshi la Kujenga...
Jamani
nimesoma mwanachi gazeti leo naona mbowe ameomba waziri wa miundo mbinu aombe radhi kwa kulidanganya umma.
kuhusu mkataba wa kia..mbowe alienda mbali kwa kusema inasikitisha kuona waziri...
Toka sakata la ufisadi lianze nimekuwa nikifuatilia matamshi mbalimbali ya viongozi juu ya watuhumiwa wa ufisadi. Kitu ambacho nimegundua ni kwamba vyama vya upinzani vimekuwa vikitaja watuhumiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.