Wana JF.
Leo asabuhi tarehe 10 may 2011, kwenye taarifa ya habari TBC nimestushwa na habari kuwa, Ongezeko la wagonjwa wa akili Tanzania ni kubwa ni kubwa sana na Mkoa wa Mtwara unaongoza kuwa...
Jana wakati naangalia news kunako runinga TBC nilivutiwa na habari mmoja kutoka nchini Kenya kuwa serikali ilikuwa imeandaa jopo la watalaamu wa sheria ili kufanya usahili wa kumpata Jaji mkuu wa...
Gavana Schwarzenegger wa Chama kikuu cha upinzani cha Republican cha Marekani anaongea hapa kuhusu kutofautiana kwake kisiasa na mkewe Maria Shriver wa chama tawala cha Democratic, na wameachana...
Matukio ya wanajeshi kupiga raia yamekua yakiongezeka kadri siku zinavyosonga mbele bila hatua zozote za kisheria kuchukuliwa dhidi yao. Hapo nyuma waliwahi kupiga wafanyakazi wa dawasco...
IMESADIKIWA Watu wapatao 120 wenye asili ya Tanzania Bara wamekosa makazi kwa kuchomewa nyumba zao moto katika kijiji cha Pwani, Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Mbali na kuchomewa makazi pia...
BWANA FETO Philemon, mkazi wa Ubungo Maziwa amekutwa amekufa chooni, nyumbani kwake
Maiti hiyo ilikutwa chooni jana majira ya saa 7 mchana wakati alipoingia kwa lengo la kupata haja.
Kamanda...
Matukio ya wanajeshi kupiga raia yamekua yakiongezeka kadri siku zinavyosonga mbele bila hatua zozote za kisheria kuchukuliwa dhidi yao. Hapo nyuma waliwahi kupiga wafanyakazi wa dawasco...
Matukio ya wanajeshi kupiga raia yamekua yakiongezeka kadri siku zinavyosonga mbele bila hatua zozote za kisheria kuchukuliwa dhidi yao. Hapo nyuma waliwahi kupiga wafanyakazi wa dawasco...
Matukio ya wanajeshi kupiga raia yamekua yakiongezeka kadri siku zinavyosonga mbele bila hatua zozote za kisheria kuchukuliwa dhidi yao. Hapo nyuma waliwahi kupiga wafanyakazi wa dawasco...
Wadau wana jf.nimekuwa mpitaji sana humu,ila sikuwa member.nimejiunga rasmi ili nami niweze kuchangia mada+hoja mbalimbali.kwani jf imekuwa ndio kiburudisho changu ninapokuwa nimepumzika.pamoja!
Ninaamini hili suala lishajadiliwa hapa, ila sijawahi kuona thread yake. Na pia ninaamini nilitakiwa niliweke kwenye jukwaa la Dini ila bahati mbaya nikifungua naambiwa sina permission ya kuaccess...
Haya huu uongo mwingine wa magharibi, huyu jamaa kwenye video sio Usama Bin Laden kabisa, eti USA wanasema video hii ya Bin Laden waliichukuwa wabla ya kumuua katika nyumba hiyo,
Jamani...
MCHUNGAJI Ambilikile Masapila 'Babu' wa Samunge wilayani Ngorongoro, Arusha amefikishwa vikombe laki tatu wiki hii tangu kuanza kwa tiba hiyo Oktoba mwaka jana, imefahamika.Habari
zilizopatikana...
Wana JF, siku chache zilizopita nilikuwa nikisikia tangazo "'kinondoni uchafu sasa basi" lakini ninanchokiona hapa ni kinyume na tangazo hili: naona marundo ya taka zinazonuka katika maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.