YA PROFESA MWAMFUPE NA USOMI WETU..
Mnamo siku ya ijumaa kulikuwa na mhadhara PUBLIC LECTURE ulioendeshwa na PROFESA aliyebobea katika sheria ISSA SHIVJI, bila kupunguza ukweli wala kuongeza...
Naomba msaada wa mawazo toka JF.Nina BABU yangu ambaye ni mstaafu wa idara ya maji Tabora toka tarehe 1april 2009.Mwaka 2010 april ndio alipata rasmi Barua ya kustaafu.Tayari ameshawapa vielelezo...
The Black Pharaohs
An ignored chapter of history tells of a time when kings from deep in Africa conquered ancient Egypt.
By Robert Draper
National Geographic Contributing Writer
Photograph...
Leo asubuhi nilikuwa napita mitaa ya magomeni hospital. Nikiwe kwenye folen hapo magomen, nikaona kundi kubwa la wafanyakazi wa tigo wanafanya usafi wa barabara iendayo top bar, upande wa pili...
On May 05th 2011, I got an email from an insider in the US informing on the special task by the government agency to check data flow from various e-forums including and not limited to those...
Mama ni rafiki wa kweli pale tunapopata majaribu na shida za dunia hii zinapotuelemea na kukosa mwongozo. Wakati maovu yanapochukua nafasi ya mafanikio; wakati wa shida ambapo marafiki...
Habari za leo wana JF
Zitto ameanzisha mvutano mpya na serikali,nilisoma habari kuwa serikali inakopa kwa ajili ya kulipa mishahara ya wafanyakazi wake na hata wabunge hawajalipwa,kwa upande wa...
Kwa wale wafanyakazi haswa wa serikalini mtakua mmekumbana na mikasa hii katika sehemu zenu za kazi.
Mara nyingi huwatokea wale waliopewa vyeo vipya.
Kuna mama mmoja alipandishwa cheo mwaka...
Inasikitisha sana serikali kuwapandisha cheo baadhi ya watumishi wake na kuchelewa kuwarekebishia mshahara wao kwa zaidi ya miaka mitatu.
Hivi kuna mantiki gani kumpandisha cheo mtumishi iwapo...
MUFTI wa Tanzania, Shehe Mkuu Issa bin Shaaban Simba amewataka Waislamu kuwaombea dua wenzao waliouawa katika vita inayoendelea Libya na wengine wanaodhulumiwa haki zao duniani.
Alitoa mwito...
kama kawa ya jumapili hapa dsm, ni vikao vya harus tu_kikao chetu kipo hapa Kilwa Road Pub_basi kaingia mshikaj mmoja kaulamba kweli na funguo zake za usafir_hata kabla hajaanza kuzungumza utajua...
Nashangwazwa sana kuona watanganyika wanamtukuza sana Nyerere Kwa jina jengine munamwita baba wa taifa,katika hutuba yake baba huyu ya 1995 aliongea kuhusu muungano wa tanzania.
Alitamka haya...
katika ziara yake nchini South Africa, Jk ameenda kumtembelea mke wa Nelson Mandela ili kuwajulia hali. Ok je hii ilikuwepo kwenye ratiba ya ziara yake? kurugenzi ya mawasiliano Ikulu katika "...
Tunasikitishwa na upendeleo wenu wa wazi mno kwa matukio ya CCM, sisi tunalipa kodi, leo kama hamtakwenda mbeya mtachukuliwa hatua za kisheria. Kwanza kiwango chenu cha habari kimeshuka sana...
Sunday, 08 May 2011 21:00
Nora Damian
MBUNGE wa Jimbo la Vunjo, Augustino Mrema, anatarajia kuwasilisha hoja binafsi bungeni kuhusu kufanyiwa marekebisho sheria zenye upungufu, ili kuzima mtandao...
Nimetafakari kwa makini juu ya maamuzi ya kamati kuu ya CDM kumshawishi Mbowe akiuzie chama magari chakavu, nimeona issue hii inashabihiana sana na lile jaribio la serikali kununua mitambo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.