Ndugu
habarini za mchana karibu na jioni;nimepita leo kumsindikiza ndugu yangu airport..kwa kweli hawa polisi wanaitaji kujua majukumu yao..nahisi siku tutakapolipuliwa basi hawa watakuwa...
Ni wangapi tuko tayari
kupanga foleni benki na shemu nyingine kupata huduma kama wateja wengine
kuonekana tunedesha baiskeli japo siku moja kwa wiki kwenda kazini kuonyesha utunzaji wa...
HEWLETT-Packard Company (HP), one of the world's largest information technology companies, will soon open a major centre in Tanzania, as part of its global expansion plan, a senior official with...
Umefika wakati sasa chama kikubwa kama CDM kuwa na vitu vyake binafsi muhimu vitakavyo iweka CDM juu zaidi ya sasa,
Najaribu kutoa ushauri kwa CDM kuwa wasione hatari kwa wao kuanzisha CDM TV na...
Tarehe 29 Februari mwaka 1969 Mwalimu Nyerere akiwa anatoa hotuba huko chuo kikuu cha Liberia , Monrovia alisema yafuatayo juu ya vyuo vikuu vya Afrika , nanukuu
"Afrika tunahitaji ukweli kutoka...
Wandugu, Baada ya sakata la watumishi wa umma takribani 16 kuitwa kwa mbwembwe bele ya baraza la maadili ya watumishi wa umma kwa kutowasilisha fomu za matamko ya mali na madeni waliyonayo, ni...
Siku chache zilizopita ilikuwa sikukuu ya vyombo vya habari,na katika siku hiyo kubwa liliozungumzwa ni uhuru wa vyombo vya habari,kwa kweli tunapenda vyombo vya habari viwe huru,lakini uhuru huo...
Hili ndilo eneo kama linavyo onekana ambapo mtu huyo anae jiita muwekezaji amevamia na kujenga
Uzio ambao umewekwa na anae jiita muwekezaji Ndugu Msaki
Baadhi ya Majengo yake
Hapa ni...
Hi Members, Nawasalimu, heshima mbele.
Mbunge wangu wa Ubungo ambae nilikupigia kura tangu 2005 naomba sana uchukue wazo hili na pengine kuliboresha ndio maana sikukutumia kama PM ili na wengine...
TAKUKURU NI KINGA YA WATOAJI NA WAPOKEAJI RUSHWA?
Ndugu wana JF, mimi hawa TAKUKURU kwa kweri wana niudhi sana. Wanataka wananchi watoe ushirikiano kwa kuwapatia taarifa za rushwa. Cha kushangaza...
Nimeangalia haya makadirio ya ongezelo la idadi ya watu (2100) za umoja wa mataifa kwakweli sielewi haya makadirio wameyatoa wapi yaani Tanzania kuzidi watu milioni 300 hii haingii akilini kabisa...
Hivi kuna mtu anaweza kunifahamisha hawa jamaa wa NSSF huu utaalam wa kuzungumza na kuwafunika wenzao wanautoa wapi?
Maskini wee TRA, PPF na NHC...bora hata wasingetuma watu kuja...
Nasema...
jana niliona taarifa ya kuungua kwa soko la Mchikichini. Je tuchukulie hili tukio kama sababu tosha ya wafanya biashara ndogondogo kuhamia Machinga Complex?
Masoko mengi Tz yako chini ya viwango...
Kwa muda mrefu sana gazeti la tanzania daima halipatikani kwenye mtadao kunani?. Naamini gazeti hilo habari zake ni za ukweli na zilzochambuliwa na waandishi waliobobea. Tafadhali kama...
Ndugu wanajf, kwa jina la demokrasia, utu, heshima na HAKI, mimi Jj, napenda kuwajulisha na kuwaomba misaada yenu ya hali na mali kuwa, ule wasaa wa kuandaa maandamano makubwa dhidi ya mbunge...
Na Saed Kubenea - Imechapwa May 2011
Gumzo la Wiki
WIKI iliyopita, Rais Jakaya Kikwete alifanya uteuzi wa naibu makatibu wakuu wapya 10 katika wizara mbalimbali ndani ya serikali...
Mkutano wa tatu wa Diaspora umemalizika majuzi jijini London huku,kama ilivyokuwa kwa Diapora I na Diaspora II,tumeishia kushuhudia zaidi picha za matukio kuliko maelezo ya mambo muhimu yaliyojiri...
Salam aleko
Suala la muundo wa jiji la DSM nimeona ni vizuri nililete hapa jamvini ili lifahamike na kwani nahisi ni chanzo cha jiji kudorora katika kutoa huduma kwa wananchi.
Awali jiji la Dsm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.