Jamani wanaJf naomba anayejua qualification ya kuwa raisi wa Tanzania zaidi ya kuwa raia, mwenye akili timamu na mwenye age of majority anambie zingine ni zipi? na je rais wetu anazo?
ABIRIA amekufa papo hapo na wengine 27 kujeruhiwa katika ajali jijini Dar es Salaam baada ya gari dogo kugongana na daladala katika makutano ya Barabara ya Mandela na Changombe, Temeke...
Habari zenu wana JF, leo nimeona kimewekwa kiungo (Link) ya tovuti inayokwenda kwa jina la Fkra Pevu. Swali langu ni... Je nayo hii ni sehemu ya JF au ni tovuti inayojitegemea ila wameomba...
Kama una miliki mali zaidi ya kipato chako, ukiulizwa sema hapa Bongo tunaishi kimjini mjini, tunaazima kila kitu kutoka kwa washikaji. Majumba, magari, mashamba, masheli na vitega uchumi vyote...
Wakuu sasa JF imeshakuwa kero kwa wanasiasa wachovu na waoga wa kutoka chama cha Magamba, na sasa nina uhakika hata JK huwa tuko nae humu ila ni uoga wao tu ndio maana wanaogopa kujiunga maana...
AP - LONDON
A leading global health fund believes millions of dollars worth of its donated malaria drugs have been stolen in recent years - perhaps hundreds of millions of dollars worth -...
Juzi na jana tumefanya mkutano wa Disapora hapa London na kama kawaida sie watu wa kuanzisha haya mambo halafu wenzetu wa sehemu zingine wanafuata
Mfano:
Ufunguzi wa matawi ya CCM kama...
Ukipita katika website hii, Gazeti la habari za kiswahili la kila siku Tanzania, linaongoza utakutana na kipengele cha kupiga kura chenye title ya CCM kujivua ‘Gamba' inatosha kujisafisha...
Taarifa zinazozidi kutamba katika vyombo vya habari mbali mbali nchini na vya kimataifa kuhusu kifo cha osama bin laden kilichokea usiku wa kuamkia jumatatu ya tar 2 katika jiji tulivu la...
Watanzania tumechoshwa na siasa ya danganya toto, tunataka mabadiliko ya ukweli na sio siasa ya kufurahisha na kunufaisha wachache kama wenzetu wanavyofanya sasa hivi. Kwa mfano kampeni za...
KUFUATIA Binti Osama bin Laden kushuhudia baba yake akiuawa, Serikali ya Marekani imemweka katika ulini mkali na kumchunga nyendo zake kutokana na kuwa kipenzi cha baba yake.Gazeti la Time la...
Hivi karibuni wakati Mhe. Rais alipotembelea mawizara na taasisi za umma, kuna masuala mengi ambayo watumishi wa umma walidadisi. Kubwa ambalo lilijitokeza ni utaratibu uliotumika na watu wa...
Elimu ya demokrosia nchini inahitajika sana, ili wananchi wengi waelewe haki zao za demoksia ndani ya nchi yao ili waweze kujikomboa ktk makucha ya watawala wa kiimla.
Elimu hiyo ya demokrasia...
WanaJF! Kifo cha huyo Gaidi haina tofauti na ile kifo (Kimvuli) ya yule Gavana (Mfu) yenye wasiwasi mpaka leo kwangu na kwa baadhi ya Ndg wengi wenye uchungu na nchi yao yenye kila sbb ya wa2 wao...
Wengi tumesikia ushuhuda wa baadhi ya watu wanaosema kwamba wametibiwa na babu lakini hizo zote ni hearsay bado sijaona uthibitisho wa kisayansi unaaonyesha uponyaji huo.
Kwa hiyo yoyote...
WanaJF za masiku??
Nimekuwa nikitafakari suala hili nikajikuta nakosa majibu sawa.
Hivi chakula cha taifa letu (national food) ni kipi? kwa mfano kwa Uganda ni matooke i.e. ndizi za matoke...
Nachukua nafasi hii kumpongeza mke wangu na akina mama woote popote pale walipo........muendelee kuwatunza vema waume, watoto wenu na jamii inaowazunguka.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.