WanaJF!! Hapa Arusha, Tangu saa 8:30am ya asubuhi ha2kuwa na umeme line hii ya Sakina mpaka saa 6:55pm ndiyo unarudishwa. Sasa mi najiuliza shida ni nini hashwa? Mwenye chanzo anijuze wajamen...
Kwa kweli sijui kama hii inaweza kuwa kero kwa wengi lakini,kwangu mimi ni kero sana.
Pamoja na uduni wa barabara za Arusha.
Kitu kinachonikera ni alama za waendao kwa miguu,katika Manispaa ya...
Ilikuwa jumamosi iliyopita asubuhi maeneo ya mbezi beach, nimeamka asubuhi nikaona ni siku muafaka ya kupeleka gari kwa fundi. Nilivyololiwasha gari nikaona taa ya mafuta iko, red si jambo la...
Wandugu uhai wa mtu ni kitu cha thamani sana na cha kulindwa kwa sababu sisi wanadamu tuko so fragile dakika moja tu mtu anakuwa sio hai tena. Katika ofisi nayofanya kazi ina mende wengi kupita...
Hello wana jf, nina rafiki yangu katumiwa ujumbe wa kutisha na nina hisi umetumwa na baadhi ya wana ccm!! ujumbe unasomeka hivi
SENDER: IKULUTZ
MESSAGE:HELLO,WE NOTED THAT YOU ARE SUPPORTING...
Watanzania wenzangu wenye mawazo mapya na wasiokumbatia kwa itikadi, kwa nini huu mji uitwe jina la kutukuza Sultani wa Zanzibar aliyekuwa anavusha watumwa kutoka kijiji cha MZIZIMA, na kwa jinsi...
MWANAMKE mmoja [32] mkazi wa jijini Dar es Salaam, aliyeweza kujiunguza na maji ya moto ili aweze kuomba barabarani apatiwe mtaji, nduguze wamfungulia mradi wa kuendesha mgahawa eneo la Buguruni...
WAUNGWANA HABARI ZA ASUBUHI
KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) MHESHIMIWA NAPE NNAUYE AMELALAMIKIA TABIA YA WANA JAMII FORUMS KUMKEJELI NA KUMTUKANA MATUSI,ANASEMA HAWEZI...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro, imewahukumu Raia 82 wa Ethiopia kwenda jela miaka miwili kila mmoja , ama kulipa faini ya Sh 100,000 kila mmoja baada ya kukiri makosa yao ya kuingia...
Mwanaume mmoja wa nchini Italia alitumia zaidi ya dola nusu milioni kwaajili ya zawadi na maandalizi ya harusi na mchumba wake lakini siku ya harusi alibaki akilia baada ya kuachwa solemba...
What about the idea of a catalytic class? This is the idea: the catalytic class is a group, whose expansion triggers internally driven, self-sustaining, political and economic change, a group...
Jamani wana JF:
Hii imekaaje? Leo asubuhi katika kipindi cha BBc (swahili) nilimsikia John Selembi akimhoji mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Francis kiwanga kuhusu kifo...
Poleni sana na majukumu ya kila siku wana jamii, tafadhalini naomba sana msaada kwa yeyote ambaye amewahi kusoma kitabu kimoja kinachoitwa NDOA YANGU, NINGEJUA!
Kwa mara ya kwanza, nilikiona kwa...
Wana JF,
Nimesikiliza kipindi cha Idhaa ya Kiswahili ya BBC "Dunia Yetu Leo Jioni" muda mfupi uliopita. Kuna mfanyabiashara wa Burundi analalamika mizigo inavyoibiwa bandarini Dar es Salaam kiasi...
The whole world is scared of China made "black hearted goods"
Can you differentiate which one is made in Taiwan or China ? Let me tell! u the first 3 digits of barcode 690.691.692 is made in...
Spika wa Bunge la Tanzania Mh. Anna Makinda amepata msiba wa mama yake mzazi Tulakala Milia Sanyuha uliotokea leo mchana katika hospitali ya mkoa ya Dodoma. Taarifa za kifo zimethibitishwa na...
Radio Mzalendo
Zanzibar Welfare Association UK, inapenda kuwatangazia wazanzibari wote ambao wanaishi UK ya kuwa
Radio Mzalendo | Mzalendo.net
maandilizi ya mkutano mkuu pamoja na uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.