Habari wana JF, ni mara yangu ya kwanza kuingia kwenye jukwaa hili, il anaomba msaada wenu, Je, ni maziwa gani yanafaa kwa mtoto wa miezi 3?
Natanguliza Shukurani
Kwa siku za hivi karibuni nimeanza kuona tofauti katika utoaji wa habari wa gazeti la mwananchi (MCL) na nina wasi wasi kwamba kuna mchawi kaingia hapo ili kuli sambaratisha.
Habari ya kwanza...
Jamani tukisema mnasema eti udini, lakini piteni jioni pale Tumaini University kampasi ya kurasini mjionee. Ni vurugu tubu Kwaya ya mazoezi zenye spika ziko juu, Maombi ya jioni nyimbo sauti juu...
Mh nimeanzisha thread ya "jf forerver thread" cjaona ubaya wake na cjui imeenda wapi .
Mie kila cku nikifungua jf kunathread moja ambayo inapost nyingi hadi nashindwa kuifungua na kila cku...
Kwa hali isiyokuwa ya kawaida jana kuna diwan mmoja wa chadema alikuwa analalamika na kudai anashangaa watu wanapeleka hela nyingi kwenye bajeti za mambo yasiyo namaana wakati vitu muhimu...
Wakuu Salaam, nipo Arusha mambo huku sio sawa tatizo kubwa ni mgawo wa umeme, ninapowasiliana na wenzangu, Dar, Moro, Dom wananishangaa kusikia bado tuna mgao, ndugu zangu nafikia mahali kujiuliza...
Hivi kila leo tunapata ushahidi na uchungu wa matatizo jinsi gani watu wachache Tanzania wamepewa busara za kujipendelea na kujibagua kitabaka. Kinachonigusa zaidi ni huu ubilionea na umilionea wa...
nimepata hii stori nikiwa na pitatapita online wale wanaopenda wanafalsafa watapata kitu cha kufikiria
I met god the other day.
I know what youre thinking. How the hell did you know it was...
Kuna jamaa kaweka tangazo lake kwenye gazeti 'Daily New' la leo 05-05-2011 kwenye ukurasa wa 20 akiomba kukopeshwa milioni 35. anamalizia kwa kusema ' the future belongs to the RISK TAKERS, not...
A reporter with the Daily News Orton Kiishweko, emerged the overall winner of the Excellency in Journalism Awards (EJAT) 2010.
Kiishweko had also emerged winner in two categories Good...
na Khamis Mvulla, Mtwara
HALMASHAURI ya Tandahimba mkoani Mtwara imepata hati safi ya mahesabu baada ya ukaguzi wa Tamisemi.
Hayo yalisemwa na Abdallah Njovu, katibu wa baraza la madiwani...
Wana JF,
Naamini aliewahi/anaefanya kazi kwenye utumishi wa umma atakuwa ameona hiki nitakachokiweka hapa hadharani.
Maamuzi mengi mabovu serikalini na mashirika ya umma yamekuwa yakihusishwa...
Kwa kipindi kirefu, Tanzania imekuwa inatoa taarifa ya pato la taifa kutumia aina moja ya uwasilishaji wa taarifa hiyo licha ya kuwa imetoka katika mfumo wa uchumi hodi kwenda uchumi wa soko. Njia...
Wanajamvi, nimeona kwenye bbc kuwa raisi wa marekani na dunia amesema kuwa no photoz zakuonyesha kifo cha kiongozi wa alqaeda zitakazotolewa..kwa ajili ya national security issues, hii imekaaje...
Kama kuna mtu hapa anaejua gharama za kusafirisha mwili wa marehemu kutoka London mpaka Dar aniambie,kuna mdogo wangu wa kike aliolewa na mzungu kafariki huko sasa jamaa kautelekeza mwili kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.