Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Madereva wa magari aina ya costa zinazosafirisha wanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam kutoka mabibo hostel kuelekea campus ya mlimani waligoma kutoa huduma hiyo tangu jana alhamis na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
tucta walipendekeza mshahara unaokidhi maisha, je hiyo inatosha?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hakuna kitu kizuri na kinachotoa moyo kwa jamii kama kupewa pongezi. Mara nyingi zawadi zinatumika katika kupongeza juhudi za mtu binafsi au hata vikundi vinavyoleta mabadiliko katika jamii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Familia nyingi kati ya zile ambazo nimebahatika kuzitembelea. Kama familia hiyo kuna watoto wenye umri kuanzia miaka 3 up to 5,pindi wanapomaliza kula chakula cha mchana utaona baba au mama...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Jamani wana JF, Ni vema tukafikiria mara Mbili Juu ya kinachodaiwa kuwa kifo Cha Osama!, Mimi Bado naamini Hajafa kutokana na Mkanganyiko wa kauli za wamarekani!, Kitu kingine nani ana picha ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa wana JF, Habari iliyo nijili hewani sasa kutokea huko Mkoani arusha ni kuwa General Manager wa The Arusha Hotel Au New Arusha Hotel ambae ni Mzungu kutokea Huko South Afrika amewakwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
sijajua utaratibu unasemaje lakini nimeona bora niulize Najua Mkapa alikuwa mvaaji lakini I was just curious on utaratibu thats all
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanabodi, Kumetokea mgomo wa wafanyakazi kiwanda cha Jambo Plastics, Nyerere Rd. Wafanyakazi wameifungia nje menejimenti ya kiwanda, na kutanda lango kuu huku wamebeba mabango mbalimbali...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
KWELI TAKUKURU WANA LAO JAMBO!!!. Ndugu wana JF, Nilivutiwa sana na mada ilitumwa siku chache zilizopita iliyohusu "TAKUKURU WASHINDWA KUWACHUNGUZA MAFISADI, SASA WAGEUKIA MAASKOFU". Hata...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, nipeni nafasi pembeni ili nitoe kero hii ambayo imekuwa sugu kwa wakazi wanaoishi maeneo ya kuanzia Ubungo hadi Kibamba. Nidhahiri kuwa pengine Sumatra na askari polisi wameenda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana jamvi, Nimekuwa si mwenyeji sana hapa JF lakini katika pita pita zangu nimegundua Tanzania tunakwamishwa na wanasiasa. Tofauti na nchi nyingine ambapo utakuta wanasiasa ni watu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Siku moja nikiwa stendi ya daladala ubungo pale kuna jamaa walikuwa wanabishana :Mmoja alidai ni kheri asikilize hotuba za mwl za 1970 kuliko za JK hata ikiwa ni live,sasa mimi nawauliza wanajamii...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Maureen Mudi 4 May 2011 A Tanzanian tycoon and his former Kenyan wife have agreed on how to share their Sh450 million property row recorded consent over how to split their property. Sources said...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Thursday, 05 May 2011 20:36 administrator * Adaiwa kuchimbia kibindoni milioni 438/- * Dk. Slaa naye alipwa mshahara wa milioni 7.144/- * Adaiwa kununuliwa gari la milioni 78/- NA...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Fuso na vitendeakazi vya Chama chetu CDM kwenye foleni Ubungo tayari kwa safari ya Mbeya Peoples Power/NGUVU YA UMMA.
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Sikutegemea kama watafanya kazi nzuri na kwa haraka namna hii,lakini naona wazi kabisa juhudi zenu zina iua ccm mapema kuliko matarajio. BIG Up
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nilikuwa naamini JK ni shujaa, mchapakazi, lakini matukio ya dawa za vikombe yanayoendelea nchini ni ishara kwamba hatuna strong central government. Moja ya jukumu la serikali ni kuhakikisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
They say there are seven wonders in the world but there are more in Tanzania. Perhaps the whole of Tanzania is one of them, reflects Alan Barnard, who takes us on a quick trip through the country...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
nimealikwa kushiriki mjadala wa wanaharakati, wenye mada isemayo; je, umasikini wa watanzania ni laana? MJADALA UTAANZA SAA TATU USIKU.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ninashangaa sana kabwana mdogo kametoka masasi kameibukia dodoma, ccm kuna bahari ya ufisadi Nape anakuja na dekio na ameanza kunywea mara ooo hatukutoa siku tisin mara ooo hatuna majina sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom