Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
http://www.youtube.com/watch?v=&feature=player_embedded
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Juzi tumeona majirani zetu wa Kenya na Uganda wakiandamana kupinga mfumuko wa bei, kupanda kwa bei ya mafuta na ugumu wa maisha kwa ujumla. Tanzania tumekaa kimya, mafuta yanapanda bei kila...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Salam Wakuu! Ni kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya uchunguzi ktk majengo yetu muhimu na baadhi ya ofisi hasa zile zilizopo jijini Dar. Kwa muda huo wote nimegundua udhaifu wa kiwango cha kutisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF: kiukweli hili linakera sana kwa mh Godbless lema na katibu wa kanda ya dar es salaam mkuu Kilewo kuacha kuendelea na sangara na kurudia mbeya mjini na kuendelea kufanya mambo yao wenyewe...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama sijasahau tu, babu alipoanza kutoa tiba, wengi walimshauri atoke pale aende mahali palipo na miundombinu safi ili iwe rahisi kwa watu kufika bila shida na kupata mahitaji yao bila shida...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
:A S-baby:nashanga kuona mji ambao ni makao makuu ya nchi,mji ambao bunge la nchi linafanyia vikao vyake pale sitand ya basi kuwa kama ile ,hata kama wanampango wa kuhama inawachukua muda gani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ijumaa ya tarehe 6/5/2011 wanachuo wa cbe dodoma wamefungua rasmi tawi la chadema. Mwenyekiti ni Naomi Mrutu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Friday, May 6, 2011, 5:42 Makala na Uchambuzi, Rai Na John Kibasso JUHUDI za Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete za kutaka kukinusuru chama baada ya kubaini kwamba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Maovu ya CCM sasa basi" Mwinjilisti Faustin Munishi Wananchi wapendwa yangu ni machache sana leo. Maisha yetu na watoto wetu ni muhimu kuliko chama chochote cha siasa. Hakuna sababu ya kuwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
By: Petronella Murowe “For poor people like us, education should be an instrument for liberation.” (Nyerere). The rights to education and access to information are fundamental human rights...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Kwa kile ambacho CCM wanaamini kuwa JF inamilikiwa na CHADEMA na kuwa tishio kwa Chama tawala kama ambavyo Mwenyekiti msaidizi wa Chama Pius Msekwa alivyosema,na baada ya Hussein Bashe kukiri kuwa...
2 Reactions
59 Replies
4K Views
Vietnam seizes another container of ivory from Tanzania BY GEOFFREY NANGAI AND AGENCIES VIETNAMESE customs authorities discovered nearly 600 kilograms of elephant tusks hidden in a shipping...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Siku hizi imekuwa kama desturi, kila kukicha utasikia kuwa Waziri Mkuu 'aliyejiuzuru' kasema hili mara kafanya lile na yote ayafanyayo au kuyasema hayana tija kwa mustakabali wa nchi yetu. Hapa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani mmeiona hiyo habari kwenye TBC1 nampa big up sana Dk Magufuli hawa wazungu wanadhani Tanzania ni ile ya kipindi kile cha akina MKwawa?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
JANA mganga wa tiba za asili kutoka mkoani Mwanza, Mhangwa Hela, anayedai kutibia magonjwa sugu alijitokeza mbele ya wanahabari kutangaza dawa na kisha kugawa dozi ya dawa hiyo kwa waandishi wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
WIMBI la wanaojinyonga wenyewe linazidi kuongezeka siku hadi siku sababu ambayo wananchi wanashindwa kuelewa linatokana na chanzo gani kutokana na watu kuamua kukatiza uhai wao wenyewe Mbali na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Toka juzi wanafunzi wa UDSM wanaoishi Mabibo Hostel wamegoma kupanda shato wakishinikiza nauli ishuke toka sh. 300 had sh 250. Hawa wanataka nauli ipungue pasipo kufikiri kwanini zimepanda. Mi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ALIKATAZWA NA DR. Asinywe vinywaji vyenye Vileo kama Bia, la hasha, kila akabuni mbinu mpya ya kuchanganya Bia na Soda, ili ndugu wasitambue. Sasa anapumulia machine hosp. Na anasema amelogwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF mhe.Magufuli tafadhali sikia kilio chetu sisi wakazi wa Mbezi JUU na Goba, barabara ya kutoka samaki wabichi hadi Goba Mwisho sio barabara ya kupita binadamu wa kawaida ni ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WanaJF! Kifo cha huyo Gaidi haina na ile kifo (Kimvuli) ya yule Gavana (Mfu) yenye wasiwasi mpaka leo kwangu na kwa baadhi ya Ndg zangu wenye uchungu na nchi yao yenye kila sbb ya wa2 wao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom