Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ndugu Wana JF, tarehe 1 may Kampuni ya Startimes inayojihusisha na masafa ya kurusha matangazo ya television kwa njia ya digital ilifungua mtambo wake wa kurusha masafa hayo mkoani Mbeya, cha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
:israel:Na Moshi Lusonzo 1st May 2011 Asema ni wasafi ndani ya CCM Wanastahili kuongoza nchi na chama Viongozi Chadema siyo wasafi Mwenyekiti wa Chama cha Democraty party (DP)...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WAZEE wawili wa Kijiji cha Mpenje katika Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wameuawa baada ya kushindwa kumfufua mwanakijiji mwenzao wanayedaiwa kumuua kwa kumloga. Baada ya kuuawa kinyama kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanajamii, salaam! Naomba kupata taarifa nasikia JWTZ wametoa nafasi za kujiunga na jeshi kwa watu ambao proffesionals. Naomba taarifa kamili
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wazee wa Arusha hebu tujulisheni,nimesikia kuwa madereva wamegoma asubuhi hii,mwenye details naomba atujulishe
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wazanzibari wengi hawawezi kutofautisha baina ya serikali ya Muungano ( Tanzania ), Tanganyika , CCM-Kampuni/Kanisa na CCM-TANU (inayoiburuza CCM-ASP), wao wanahisi wote hawa ni neno moja. Nyerere...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bendera ya Tanzania Mhariri KILA mwaka Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amekuwa akifanya ukaguzi wake na kugundua upotevu mkubwa wa fedha, swali ni je wahusika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
People with coronary artery disease are at greater risk of dying if they have fat around the waist, a study shows Published: 5:28am, 3rd May 2011 Updated: 7:30pm, 3rd May 2011 People with...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna habari za mbunge wa CDM kukamatwa na polisi na kupelekwa jimboni kwake haijajulikana tatizo ni nini na ni mbunge gani. Source. Vichwa vya habari nipashe
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni jambo la kusikitisha sana kuona mpaka leo tarehe "33" bado watumishi wa wilaya ya Urambo wanaowakilishwa bungeni na mh. Sitta na Kapuya hawajapata mishahara yao. Tabia hii ya kuchelewesha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati Papa john paul wa pili ametangazwa kuwa mwanaheri uongozi wa kanisa la afghanistan umeomwomba Pope kumtangaza Osama bin laden kuwa Mwanaheri ifikapo mwishon mwa mwaka huu wakiongea kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Govt mulls sops to encourage hybrid car manufacturing in India - Economic Times hii itakua njia mojawapo ya kupunguza matumizi ya serikali endapo serikali yetu itaamua kwa dhati kabisa kuanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Do not regret growing older. It's a privilege denied to many." Hi. Please teach me about the meaning of it. I'm at a loss how to interpret this saying. My try. Don't regret to become an old...
0 Reactions
1 Replies
15K Views
New York City, NY: The mayor of New York City, Michael Bloomberg, says it would be a good idea to staple green cards to the diplomas of all foreign students who earn a graduate degree in the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimefuatilia mwenendo jumla wa mijadala hapa JF kwa siku za karibuni, imeona kama tunarudi nyuma badala ya kusonga mbele! Siku hizi watu wamekuwa wakivutiwa zaidi na mambo rahisi na udaku. Yaani...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau, Wahenga hawakukosea waliposema utatambua matendo na moyo wa mtu kwa kauli zake, na mtoto wa nyoka ni nyoka. Kwa nasaha hizo za wahenga tunangalie kauli mbili tu za Ridhiwani Kikwete...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hello JF Member! Nime experience huduma ambazo siyo nzuri za strategis company. Vipi kuna aliye experience hiki kitu?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu naombeni msaada,nna mdogo wangu wa kiume kamaliza form six mwaka huu kapata divition three points 17 ,HGL-(hist-f,Geog-d na lang-e) je ataweza kujiunga na diploma course yoyote...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hey Great thinkers!!!!!!! natatizwa kidogo, eti msomi(so called educated) ni nani? aliyemaliza darasa la saba, form four, six ,degree,masters,pHD? naomba nijuzeni maana hili neno msomi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama mtakumbuka malikuwepo kijana mmoja anaitwa BABU alikuwa anatibu magonjwa sugu likiwemo ukimwi kwa kusoma kuran...huyu jamaa alikuwa anakaa tegeta/bahari beach kwenye ghorofa kubwa na alikuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom