Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hadi jioni hii (6:30PM tarehe 2/5/2011) watumishi wa serikali wa JMT hawajapata mishahara yao na mbaya zaidi hakuna maelezo yoyote ya kiofisi (official press release) kwamba what happened? Je...
0 Reactions
1 Replies
975 Views
Kuna habari za kuaminika kutoka ndani ya TANESCO Arusha kuwa mgao ulioanza tangu tarehe 1/11/2010 hadi leo maeneo ya Kimandolu ni visasi vya kisiasa vya kuwakomoa wananchi wa maeneo hayo kwa kumpa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
VIDEO: Mbwa ndani ya Bin Laden compound ABC News obtains video from inside the Osama bin Laden compound | Raw Replay
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwaka 1963 baada ya Kenya kujipatia uhuru, bwana Mwai Kibaki alikuwa mjumbe kwenye 1st post independence cabinet, wakati huo Bwana Barack Obama alikuwa bado hajazaliwa kwani amezaliwa 1964. Hadi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pamoja na kwamba wahusika wamefumbia macho swala la kuweka Radio kwenye Bajaj na Pikipiki lakini nionavyo mimi jambo hili linahatarisha usalama wa watumiaji wa vyombo hivyo na watumiaji wa...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
'Kigogo' mmoja wa Umoja wa 'Vijina' wa CCM(jina ninalo) amenidokeza kuwa kumbe yule Babu wa Loliondo ni mradi wa Waziri Mkuu Mjiuzulu,Edward Ngoyai Lowassa(Sanaa-UDSM).Amesema kuwa Lowassa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Well done!!!Osama ameuwawa je hilo nisuluhisho la kumaliza ugaidi duniani?Kwani ugaidi nizao la marekani juu ya uislam dunia nzima hivyo wa marekani wasibweteke nakushangilia kwa kuuwawa...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
heshima kwenu wa JF, Jamani nisaidieni kuhusu hili: hivi kwa nini mara nyingi siku ya jumatatu inakuwa na foleni sana kuliko siku nyingine yoyote ya kazi? maana hata wenzangu nikikutana nao kazini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni ukweli usiofichika kuwa watawala wengi wa afrika bado wana kasumba ya uchifu na utemi wa mababu zetu. Suala la kurithishana vyeo na kumiliki mali za umma limekuwa kama jambo la kawaida kabisa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nategemea kuuza ID yangu kwa mtu yoyote mwenye uwezo na hekima kama zangu.PM me kwa usaili zaidi.
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari ya leo wakuu! Natafuta helikopta ya kukodi kwenda shinyanga na mwanza. Yeyote mwenye kuweza kunisaidia details , gharama..namba ya pilot...nitashukuru. Nawakilisha.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Matangazo yanayorushwa na shirika la utangazaji Tanzania upande wa Runinga yamekuwa yana katika katika kila mara kwa sie tusio tumia ving'amuzi sijui hii inatokana na nini?au ni janja yao na star...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari nilizozipata kutoka kwa kada wa CCM ambaye yupo karibu na Andrew Chenge ambaye ni pacha mmoja kati ya mapacha watatu wa ufisadi, ana ka-bili ka vijisenti vichache katika hoteli ya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana jf ktk pita pita mitaani nimekuta vijana wa darasa la saba wakibishana juu ya mdudu nyoka pindi anapojivua gamba, 1.wengine husema huwa anabadilika hawi nyoka, 2.wengine wanasema huwa anakuwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
IRANI YATOA DOLA MILIONI 1.2 KUSAIDIA KILIMO KWANZA NCHINI TANZANIA Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu (Kulia),akizungumza na Naibu Balozi wa Irani hapa nchini Bw Bahman...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwasasa vyombo vyote vya habari vya kimataifa vipo kwenyehabari za Osama hivyo NATO itafanya uhalifu juu ya binadamu kwajua watu hawawezi kupata habari kwa wakati!!Maana vyombo vyote macho na...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Ndugu wanajf,kuna msemo unasemekana eti mavaz yanamwelezea mtu kuwa niwa namna gan je hayo niya kweli?
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Baada ya babu kugundua wateja wake wanakunywa dawa na wanakufa kila sekunde wanakufa zaidi ya wagonjwa wawili akaaga kwenda kilio ya mtoto wake ,kumbe ni gear ya kwenda uingerezd
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndg zangu wanaJF hakika ushabiki ni hatari kwani nimepata tetesi ya kwamba washbk wameleteana songombingo ya balaa.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
VATICAN CITY — Some 1.5 million pilgrims flooded Rome Sunday to watch Pope John Paul II move a step closer to sainthood in one of the largest Vatican Masses in history, an outpouring of adoration...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Back
Top Bottom