UINGEREZA imemfukuza balozi wa LIBYA nchini humo kufuatia shambulio lililofanywa na kundi la watu katika ubalozi wa UINGEREZA mjini TRIPOLI nchini LIBYA. Waziri wa mambo ya nje wa UNGEREZA...
Wiki iliyopita nilikuwa huko Masasi kwa shughuli za kikazi. Nilipita katika hospitali ya Ndanda, hali niliyoikuta ilinisikitisha. Kulikuwa na vijana kama sita waliokuwa wamekatwa miguu kutokana na...
MKURUGENZI Mtendaji (DED) wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro, Ephrem Kalimalwendo, ametangaza kumburuza mahakamani mkuu wa wilaya hiyo, Halima Dendego kwa madai kuwa, amemzulia...
sophia simba alipoituhumu CDM kuwa inafadhiliwa na mataifa ya ulaya kuchochea vurugu, makada wa CDM walisema watamburuza mahakamani lakini hadi sasa ni kimya chenye kishindo...ilikuwa ni kutishia...
Wakuu sijui wangapi waliangalia taarifa ya habari jana kwenye ITV lakini kinachoendelea Iringa ndio hii hapa baada ya matatizo ya maji huko.
Eti huyu jamaa alikua hataki watu wachote maji kwa hio...
Baada ya kupita miezi 116 tangu kujiri tukio la Septemba 11, hatimaye Wamarekani wametangaza kumuua Usama Bin Laden kiongozi wa mtandao wa al Qaeda.
Akitangaza habari hiyo huko White House...
PAMOJA NA RIPOTI MKUU UMENIMALIZA KABISA SIJUI PA KUANZIA ANAONEKANA MKURUGENZI ALIEACHIWA MSALA WA TANESCO AKIMNONGONEZA CAG AMBAE ANAONEKANA KAMA AMSIKII VILE
NIHURUMIE BASI NIREKEBISHE NDUGU...
Baada ya kupita miezi 116 tangu kujiri tukio la Septemba 11, hatimaye Wamarekani wametangaza kumuua Usama Bin Laden kiongozi wa mtandao wa al Qaeda. Akitangaza habari hiyo huko White House, Rais...
Kwa hapa bongo siku hii itaazimishwa Jijijini Dar ambapo pamoja na mambo mengine zitatolewa tuzo kwa waandishi waliofanya vizuri kwa mwaka 2010
Kwa maoni yangu uhuru wa habari tanzania upo ila...
nimeona kwenye TV kama vile kulikuwa na waandishi maarufu kwenye conference ya CCM kama vike kibanda, balile, mapinduzi, mkumbwa, kingoba, mhagale, na wengine wengi....kamshiko hakajatembea...
Amid the justified celebrations over the killing of Osama bin Laden, an awkward question is starting to rear its head: Did U.S. policymakers err in burying the al Qaeda leader at sea?
Already...
Mkuu Admin, kwa huzuni na taadhima, naomba kama upo uwezekano liwepo JUKWAA la Malenga maana wapo wengi na wenye uwezo wa kupanga verse kwaetu sisi twawaita wazee wa VINA na VISHARI, kuna jukwaa...
WASWAHILI husema tembea uone. Nilidhihirisha usemi huu pale nilipokuwa katika kisiwa cha Mafia kilichopo ndani ya bahari ya Hindi hivi karibuni nilipokuwa katika safari zangu za kikazi.Jambo...
jamani naombeni ufafanuzi happ wa kisheria, hasa hapo kwenye maandishi mekundu
nawasilisha
Waziri amfumania Mwalimu akiwa mlevi chakari
Na Thobias Mwanakatwe
Mwalimu wa...
Nilikuwa napita kwa Web ya Wizara ya Fedha na Uchumi ghafla nikakutana na hiki kitu. Kiumri inaonekana kama imepitwa na wakati lakini kimantiki inaweza kuwa na msaada na mahali pazuri kuanzia pa...
Naomba nimfahamu huyu Muhariri wa TZDAIMA kwa undani.
Hii imekuja baada ya Mabosi wake yaani CDM wakipambana kupinga ufisadi.Yeye anakuwa opposite side.
1)Ameoa mtoto wa karibu na mapacha wa 3...
Na Moses Mabula, Tabora
NAIBU Waziri wa Ujenzi, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kwamba kitendo cha Sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujivua Gamba kimeleta heshima ndani
chama hicho...
Katibu mkuu wa CCM amesema kuwa katika kikao kikuu cha halmashauri kuu ya CCM iliyokaa mjini Dodoma haikumtaja mwanachama yoyote wa chama hicho kuwa ni fisadi! Pia alitolea mfano dhana ya kujivua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.