Inasikitisha sana katika taifa hili bado kunamatatizo ya kucheleweshewa mishahara. Hivi wahusika kwanini wasifukuzwe kama wameshindwa kuwajibika? Eti sababu
Anae sain payrow yupo safari kikazi...
my take
Hongera zao watakoshinda kwani naona wanaoshindanishwa wengine ni wapya.
Raymond Kaminyoge
WAANDISHI habari tisa wa kampuni ya Mwananchi Communications Ltd ni miongoni mwa walioteuliwa...
JAMANI HUYU RAIS KIKWETE YUPO DUNIAN AMA NDIO KASIMAMA PALE KIVUKON KAMA MSUKULE WA CCM HIZI TAARIFA ZA CAG KILA SIKU ANA KUJA NA MABILION YAMEPOTEA MABILION YAMELIWA WANAAOKULA WAKOWAPI...
Madereva wamegoma wakidai maslahi yao. Hali ni kizungumkuti. Hakuna usafiri kwenda mikoani. Kamanda Kova anahitajiwa Ubungo lakini bado hajafika. Vibaka nao wanaongeza juhudi za mawindo.
Souce...
Sunday, May 1, 2011, 11:21
Habari za Mikoani, Mtanzania
Na John Maduhu,Mwanza
MAANDAMANO yaliyoandaliwa na Mbunge wa jimbo la Buseta, Dk. Titus Kamani Mlengeya kumpongeza kwa ajili ya...
Na Mwandishi Wetu - Majira
SAKATA la ukodishwaji wa majengo ya kihistoria katika mji Mongwe Zanzibar, limeingia hatua mpya baada ya Kampuni ya Uwakili visiwani humo kuiandikia serikali
barua ya...
Imeandikwa na Jasmin Shamwepu, Dodoma; Tarehe: 1st May 2011
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma kimepokea ripoti ya Tume iliyoundwa mwishoni mwa mwezi uliopita kuchunguza tuhuma za...
*Yadaiwa uadilifu wao umewatengenezea maadui
*Hatua ya kujivua gamba yalinganishwa na kioo
Na Tumaini Makene
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiendelea na mkakati wake wa kujivua gamba...
Used pants ban in Tanzania
Many Tanzanians can only afford second-hand clothes
The Tanzanian government has banned the importing of second-hand underwear.
An official from the Tanzanian...
Rais umekuwa mwepesi kuliko marais wote niliowahi kuwasikia hapa duniani. Kwanza nijuavyo Rais ni kiongozi na kiongozi ni lazima akae mbele ili aliongoze kundi mahali pa kuelekea.
Na kauli ya...
Serikali ya jirani zetu wa Kenya imepunguza ushuru wa mafuta kiasi, sasa bei ya mafuta imeshuka na kufika 1320 kwa lita. Sasa ile propaganda ya mkuu wa kaya na serikali yake ya kichovu kua...
MKAZI wa Keko Dar es Salaam, Noel Mwapula (24), anayedaiwa kuwa mlinzi, amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na mashiatka yapatayo matano likiwemo la mauaji ya watu wawili katika...
Mwanaume mmoja wa nchini Taiwan ambaye alijitangaza kuwa yeye ni mtume amesababisha mtafaruku nchini humo baada ya kutabiri litatokea tetemeko kubwa la ardhi nchini humo mwezi mei na kusababisha...
Katika Kitivo cha Sayansi za Jamii (Social Science) majina ya waliopitishwa kugombea u-raisi wa kitivo ni;
- Philipo Mwakibinga
- Godwin Gonde
- Israel
Tume ya uchaguzi pia...
Wakuu mbona kila nikienda mlimani city kununua umeme nikiwa na shilingi zangu elf nne wananiambia wanauza kuanzia elf 10 hii ni sawa? Kwa nini tanesco inatubagua sisi wananchi wa kipato cha chini...
Amani iwe nanyi
Habari nilizozipata hivi punde na ambazo nimeridhika kuwa zinafaa kuwekwa hapa jukwaani kwa taathira yake ni kuwa Mwl. Basil Lema ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Moshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.