Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wadau hii imekaaje ? au ndio yale ya Mwakyembe ? PRESS RELEASE VIONGOZI KUTEKWA NYARA UTABIRI WA MWEZI APRILI: "Kuanzia tarehe 19 April na kuendelea hadi July, viongozi wa siasa na...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ktk hali ya kushangaza jeshi la polisi limetangaza kuwa kumetokea kijana mmoja ambaye ni mweupe mtanashati anawachukua wanawake na kwenda nao gesti akishafanya nao ngono anawaua! Kwa mjibu wa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Written by mkulima // 29/04/2011 // Habari // No comments...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
WanaJF Leo uongozi wa chadema mkoa wa Arusha umetoa hundi ya milioni tano kwa familia ya marehemu Ismail,mtakumbuka kuwa mara ya mwisho wakati wa kuwakabidhi rambirambi hii familia hawakufika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Waziri mwenye dhamana ya serikali za mitaa na tawala za mikoa,kapten George mukuchka amewataka walimu walio chukua fedha za kujikimu na mishahara na kisha kukimbia nayo walirudishe kabla ya hatua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Diwani wa kata ya Maili moja jimbo la Kibaha mjini, amewekwa ndani na kuhukumiwa kifungo cha mwaka mmoja na faini ya sh 50,000, kwa kushindwa kulipa kodi ya majengo ya sh 350,000 kwa halmashauri...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau nimeperuzi tena Blogu ya Michuzi na kujiridhisha tena kuwa ana hila na CDM, mpaka sasa haja weka picha za mazishi ya Kiongozi wa CDM Shinyanga, Shilembi ila zingekuwa za CCM haraka zinge...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Hamu ya kuwepo Arusha ni kubwa kiasi ambacho masaa naona kama hayaendi na usiku unakuwa mrefu. lakini Mungu akipenda nitakuwa Tz sunday Dar, Monday Morogoro Tuesday na masiku kadhaa hapo A town...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
MWANAMKE mmoja ambaye anadaiwa kuwa ni mkristo anayeabudu katika dhehebu la Makanisa ya Kilokole amelazimika kupewa notisi na mwenye nyumba wake baada ya kuonekana kuwa kero kwa wapangaji wenzake...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro limepitisha uamuzi wa kuwalipia ada wanafunzi 8,528 wa shule za sekondari za kata katika manispaa hiyo. Uamuzi huo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Bila rushwa..haki haipatikani....toa rushwa upate haki.....(?) rushwa na tanzania dam-dam.....! Taasisi ipi rushwa kwao mwiko?
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kutokana na Babu kuwa maarufu sana hadi huko Ulimwengu wa Kwanza. Obama naye aamua kutinga Samunge kwa Babu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watanzania sasa hivi ukizungumzia ufisadi wanafikiria mabilioni, huku wakisahau kuna watu wanaoweza kuondoka ofisini na elfu hamsini kila siku bila ya athari zozote kwa mtazamo wangu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Huyu ni reporter mzuri wa TBC1 ambaye ameanza harakati za kampeni kwa kufuata nyayo za Juma Nkamia, mpaka inakera. Juma Nkamia alikua akiwarusha wapiga kura wake pamoja na vijiji ya kondoa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani tunakufaaa! Pantoni limezima ghafla ktkt ya bahari Nitaendelea kuwajuza kwakuwa nipo ndani ya hiyo pantoni! Hali ni ya taharuki sana!!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu mimi nilinunua toyota cresta juzi nilisafiri nayo kwenda moshi, ina kimbia sana sana....ila chakushangaza mbona kila nikitaka kuipita land cruiser iliyokuwa mbele yangu nilikuwa nashindwa...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
nawapongeza sana TRA kwa kuanzisha mashine za VAT. Lakini naona mapato yatakuwa kidogo mno. kwani jamii haikuelimishwa umuhimu wa kudai risiti, pia dukani ukidai risiti unaulizwa unataka risiti ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu nimeshindwa kukiweka kichwa cha habari sawa, lakini naomba kujua ni nani anayetakiwa kuthibiti matumizi ya $ nchini Tanzania? Zamani ilikuwa pesa hizo huzigusi ila kwa kibali maalumu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
What could be more annoying to know that acne marks are still left even after the infection is healed? How ever there are quite a few methods that can remove these marks without visiting the...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakicheza mpira, mching' alivyoscore kaanza kubondwa na wasudani....eeh kidogo mtanzania nae kaingilia. Jamaa kakata roho wakati anapelekwa hospitali. Sasa hivi zinasambazwa msg waafrika wote...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom