Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Sasa tunajadili ni namna gani au ni wakati gani Mrembo anaweza kuvuliwa taji la Miss Tanzania. kuna warembo ambao wameisha fanya matendo ambayo hayapendezi na bado hawakuchukuliwa hatua yoyote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni takribani miezi mitano sasa TANESCO ROMBO office hawaunganishii wateja wapya umeme. Wamekuwa na visingizio mara hamna nguzo, mara hamna nyaya, mara mita n.k. na wanasema kuwa hawapati vifaa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
wadau wa jf kwa wale wanaujua, air condition katika gari ni vipi inakuwa inaongeza ulaji wa mafuta? ni kweli? na inaongeza ulaji kwa kiasi gani maana ya tofauti? na kunanamna inawezakana kutumia...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Katika hali nisioiamini machoni pangu asubuhi hii,mwanajeshi wa jwtz aliyekuwa akiongoza magari kuingia kwenye pantoni amezua hofu baada ya kumtandika vibao na kumkwinda mwanamama ambaye ni sawa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanajf kuna jambo linanikera sana. Ukienda na gari ndogo muda wowote kuanzia saa kumi na moja alfajiri hadi saa 6 usiku pale stendi ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo, utalipishwa gharama ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Serengeti, Tanzania April 26, 2011 at 2:42 PM | by Jennifer Kestier If you've always wanted to go on an African safari, but aren't really that into roughing it, the Bilila Lodge Kempinski in...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau kwa wale wenye vijana waliofanya mtihani wa kidato cha sita. Matokeo yapo hewani kwenye website ya NECTA.
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Najiuliza serikali ina ajenda gani na babu wa Loliondo, ifike wakati apewe Ulinzi na kutumia magari ya serikali? Wataalamu wangapi na wakuu wa idara nyeti za nchi hii hawapewi hudma na unyeti...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana jf, nilikua nyumbani kwa siku 5 zilizopita kwa pasaka. Nilijumuika na ndugu na rafiki zangu kuanzia Jumamosi hadi jumatatu. Haya ndio nilioyaona.Jamaa zangu wa karibu ni ma dealers wa madini...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Jamani kuuliza si ujinga. Huko Uingereza kuna kijiji kinaitwa Llanfairpwllgwyngyllgogerychwyrndrobwllllantysiliogogogoch, ni jina refu kuliko jina la kijiji au mji wowote nchini humo. Kijiji hiki...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Na Rachel Mrisho ALIYEKUWA Spika wa Bunge la Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Goodlack Mwangomango, amekihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kujiunga...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
NA DUNSTAN SHEKIDELE, MOROGORO WATU wapatao 82 raia wa Somalia wamekamatwa jana mchana kwenye msitu wa moja ya vijiji vya Wilaya ya Gairo mkoani hapa wakiwa safarini kuelekea jijini Dar es salaam...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Umati wa watu umesema utaombolez kifo cha mtoto wa babu kwa matanga mpaka atakaporudi ijumaa kutoka babati alikofiwa na mwane miaka 43 wakiongea kwa uchungu wamesema wanasikitika sana kuona msiba...
0 Reactions
8 Replies
38K Views
Wanafunzi wa mwaka wa tatu wa kozi ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii kutoka Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima nchini (TEWW) ya jijini Dar es Salaam, jana waliandamana hadi katika Ofisi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je kweli yametoka?
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Wakuu kuna mambo ambayo yanafanyika kwenye njia kuu ziendazo mikoani ambayo hayatakiwi kufumbiwa macho. Abiria wa mabasi wanapoingia kwenye vituo vya kula chakula wengi wao wanachukua vyakula...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
wana forum naendelea na utafiti wa kutaka kujua kwa nini bara la africa haliendelei, nikachek history nikakutana na ishu kua wazungu au european countries walikua na sheria ambazo zilikua zinazuia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tumekwisha pata mkurugenzi mwingine TBC (The recycled Mshana) anayembadili Tido kwenye chombo hicho cha habari za elektroniki (TV na Redio) Cha kushangaza ni kwa upande wa magazeti ya Umma...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Akihojiwa na ch.10 jana usiku dr.slaa aliulizwa na kujibu kwa ufasaha mambo mengi sana mpaka mwongozaji(makwaiya) akamsifia sana na kumuuliza iwapo yeye(dr.slaa) anafanya sana utafiti kwa jinsi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, Kipindi cha Jahazi hivi karibuni tangu uchaguzi uanze kimekuwa kisiasa sana maana hakuna maada, hakuna wadau kupiga simu, hawana maada za maana kama radio zingine kama Radio One...
0 Reactions
65 Replies
10K Views
Back
Top Bottom