Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
WIKI chache baada ya Rais Jakaya Kikwete kutoa agizo akitaka uzio wa viwanja vya michezo Jangwani ubomolewe, imebainika kuwa agizo hilo limeshindwa kutekelezeka kwa sababu eneo hilo limeuzwa kwa...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
MTOTO Rahel Mathayo mwenye umri wa miaka 11 amekufa kwa kunaswa na umeme baada ya kugusa bomba la chuma la antena ya televisheni. Inasadikiwa bomba hilo lilikuwa limegusana na nyaya za umeme...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
WAKATI mwaka huu Tanzania inaadhimisha Jubilei ya miaka 50 tangu kupata uhuru wake, imeelezwa kuwa itaendelea kuwa nchi ya chini kimaendeleo ikilinganishwa na nchi nyingine duniani kutokana na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Siasa za Tz(Bongo!) zimetawaliwa kwa kificho na mitazamo hasi ya kihafidhina na sio ya kiliberali kama chama tawala kinavyotaka wananchi waamini. Mwelekeo huu wa kiutawala ndio haswa chanzo cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je hii inamaanisha hana mpango wa kujiuzulu hata kama chama kimenyooshea kidole?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimeona tangazo kutoka manispaa ya ilala ikiwahimiza wakazi wa manispaa hiyo kuwa kila jumamosi ya kwanza ya kila mwezi ni siku usafi ktk manispaa hiyo. Ninachowaomba kwa hilo kwa kuwa mmekua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamaa mmoja mkoani Tanga amewanyonga wanawe wawili kati ya watano baada ya kunyimwa mgao wa mirathi ya mkwe wake. Jamaa alikuwa anaishi kwenye nyumba ya mama mkwe wake, na alipogundua hajapata...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza nashuhudia kupoteza mvuto kwa sherehe hizi za Muungano,kwani ukianzia na mahudhurio pale uwanja wa amani hayakuwa mazuri sana na Kilicho nistajabisha ni juu ya vyombo vya habari...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi hawa viongozi wetu wana akili nzuri kweli?
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Jana tukiwa katika mapumziko ya Jtatu ya Pasaka tulikuwa na mjadala kuhusu mabaya na mazuri ya Edward Lowassa. Kulikuwa na makundi mawili. Kundi la kwanza lilikuwa na msimamo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Inapendeza sana kuwa na vijana wabunifu kwenye taifa hili.mfano ni kada wa chama mojawapo cha siasa aliyeweza kuja na falsafa mpaya na yenye mvuto kwa jamii ambayo ni 'washaa taa mchana'...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu naomba tujuzano katika hili. Hii sheria ya kuwa kama umsajili gari lako huku bara na ukabahatika kulihamishia Zanzibar kwa matumizi yako yawezekana umekwenda kule kikazi, unapewa (3)three...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MKAZI wa Mbagala jijini Dar es Salaam, ameibuka na kusema kuwa ameoteshwa na Mungu kutoa dawa kwa njia ya kikombe kutibia wagonjwa wenye maradhi sugu. Dawa hiyo amedai Mungu amemuotesha kutoa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Leo nimepita maeneo ya Tegeta nikakutana na kijana mmoja ameshika magazeti lundo ya Tazama Tanzania’ anayagawa na akaniambia anatoa ofa, nikamuuliza ni kitu gani kimekufanya ugawe magazeti...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Waziri mwingine atua Samunge Send to a friend Tuesday, 26 April 2011 21:24 Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chizza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natamani Kuifunga Jela Mifupa yake. Salaam ndugu zanguni wapendwa ndani ya jukwaa hili la JF, ni matumaini mpo na siha njema kabisa. Leo nami najikita kwenye jukwaa la ili. kwa machache ambayo...
6 Reactions
131 Replies
10K Views
Wakuu akina invisibles et al. Nadhani kuna umuhimu wa kuongeza kitufe cha kuonesha new recent posts kwenye mada uliyoanzisha au hata kuchangia. Hii itatusaidia kufuatilia na pia haja ya kujibu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limeingia katika kashfa nyingine ya ufisadi baada ya kubainika kuwa limeilipa Kampuni ya kufua umeme ya Dowans dola za Marekani 1.2 milioni ikiwa ni gharama ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Msia Kibona Clark 25 April 2011 Tanzanian hip hop emerged in the late 80s, and by the late 90s was being labeled: Bongo Flava. As this new genre went in the direction of pop and incorporated rap...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Ni muda mfupi umepita ambapo zoezi la kuchukua na kurudisha fomu kwa wale wote waliokuwa na nia ya kuwania nafasi za uongozi taifa ndani ya Balaza la Vijana Chadema kufikia tamati jioni ya leo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom