Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
there is only one person who is capable to set limits to your growth IT IS YOU. your life changes when YOU change i am not happy with the current government but there is also something that i...
1 Reactions
1 Replies
862 Views
Have you locked your keys in the car? Does your car have remote keyless entry? This may come in handy someday. Good reason to own a cell phone: If you lock your keys in the car and the spare keys...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linaendelea kuwahoji maofisa kadhaa wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kuhusiana na tuhuma za kuruhusu usafirishaji wa twiga wanne kwenda...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Zanzibar ipo mbali sana na Tanganyika ukilinganisha na nchi nyingine kama Kenya, Uganda nk. Hivi ni kwa nini Nyerere aliamua kuiunganisha Znzb na Tangnyk na sio hizo nyingine? Zanzb na nchi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwuungano unatunufaisha nini wabara?
0 Reactions
1 Replies
930 Views
ni kitu cha kushangaza kuona Rais hatoi hotuba katika sherehe kubwa za kitaifa km vile muungano na uhuru. nilitegemea atoe hotuba za kutoa mwelekeo wa taifa letu. je ni tz tu au na nchi zingine...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Chama Gani Duniani kinafanya hivyo? Huu hautakuwa Wizi? Tuesday, 26 April 2011 12:35 newsroom NA KHADIJA MUSSA CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeazimia kujiimarisha kiuchumi, ambapo sasa wanachama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau nipo hapa mjini Nairobi nimekutana na baadhi ya watu wa hapa maeneo ya Parkland wanaliita kanisa la kilutheri ambalo mchungaji wake mstafu Ambikilile mwasapile anatoa KIKOMBE Kwa ajili ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Na Grace Michael BAADHI ya wananchi wa Jimbo la Vunjo, wamemwomba Rais Jakaya Kikweye kuangalia uwezekano wa kumteua aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Bw. Aloyce Kimaro kuwa mbunge. Rai hiyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tarehe 20 april, nilisafiri kwa basi la kampuni ya hood kutoka dar kwnd Morogoro, katika safari hyo nimeona kuwa bado abiria wengi hawajatambua umuhimu wao kufunga mkanda ya usalama wakiwa kwny...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
April 22nd, 2011 Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA). Mama Salma Kikwete akizungumza pamoja na kujibu masuali ya wanafunzi wa Thunderbird School of Global Management hawapo...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
toka hela mpya zimeingia kwenye mzunguko ni mwezi wa 4 sasa tunaenda wa 5 lakini cha kushangaza hela za zamani bado nyingi kwenye mzunguko kushinda mpya.nchi inakuwa na hela aina mbili? Hii ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana jf salaam, leo najitokeza rasmi kumfagilia kwa sana f/lady wa tanzania mhe mama salma kikwete kwa utendaji wake wa kazi tangu ameingia madarakani mumewe mhe rais jakaya mrisho kikwete ...
0 Reactions
61 Replies
8K Views
Serikali ijipange kuwapunguzia wananchi ugumu wa maisha Ugumu wa maisha ni kilio kinachosikika kila kona ya nchi hivi sasa. Na hasira za wananchi zinachochewa zaidi na tofauti kubwa iliyopo kati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tweeting ni njia inayotumika sana sasa hivi kupeleka ujumbe na kupokea ujumbe kutoka kwa watu, Hapo zamani ilikua ngumu sana kuwasiliana na wanasiasa wakubwa au celebrities lakini sasa, thanks to...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF, mara kadhaa nimeshuhudia baadhi ya askari wetu wakiringa kwa kivunja sheria. Huwa najisikia vibaya sana kuona wale wenye wajibu wa kulinda sheria ndio wanaoona fahari kuzivunja: 1...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu ameniambia eti ukinunua gari Zanzibar ukija Dar unalipia ushuru, nimembishia sana hakuishia hapo tu, akasema hata TV, Fridge,Radio zote utalipia ushuru, sasa najiuliza nini maana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF na wapenda maendeleo, jana (April 25, 2011) nilikuwa Kimanzichana (Wilaya ya Mukuranga) na nilipanda Hiace moja inayoitwa BABYLON T 932 BHE (mali ya Othman M Hassan PO Box 273...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakati wa uteuzi wa mgombea kiti cha uspika ndani ya CCM mbiu ilikuwa ni wakati mwafaka kwa mwanamke kushika moja ya mihimili ya dola,ndipo tuliposhuhudia Ndugu Samwel Sita akienguliwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
SIMANZI imetawala kwa wazazi na uongozi wa Shule ya Awali iitwayo Nia baada ya kupoteza watoto wanne kufa papohapo baada ya kuangukiwa na ukuta wakati wakiwa michezoni Shule hiyo ya awali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom