Ktk hali isiyo yakawaida mtoto wababu Ambilikile amekufa je tuseme ndio majibu ya maombi ya watu wa Mungu?! Je waathirika watakuwaje maana kikombe mpaka May muda uco julikana! Source TBC1
MTOTO Lawrence Gervas [4] amefariki dunia baada ya kumaliza kutafuna muhugo mbichi unaosadikiwa kuwa na sumu na watu wengine wawili kuugua kutokana na kutafuna mihogo hiyo.
Akitoa taarifa hiyo...
Hizi sikukuu za kitaifa inabidi ziwe zinaelimishwa kwa jamii. Nafikiria hivi kwa vile jamii kubwa ya watanzania haifahamu umuhimu wa kuadhimisha baadhi ya sikukuu. Hivyo inaonekana wenye kuguswa...
Imenichukua siku kadhaa sasa ku-download faili lenye ukubwa wa 735mb kupitia torrents na nimetumia zile zinazodaiwa kuwa ni 'broadband;' yaani Zantel na TTCL na kwa kweli nimelazimika kujaribu...
Katika Bunge lilopita tuliweza kushuhudia Waziri Mkuu akikalishwa chini Mara 3 Na spika wa Bunge A.Makinda!Pale walipotakiwa kupiga kura ya ndiyo Baada ya Zitto Kabwe kumwambia spika kuwa kauli...
Wananchi wa Zanzibar wamekuwa wakiichukua Dar es Salaam-Tanzania kuwa ni nchi ya nje. Katika mahakama mara kadha kesi uahirishwa itokeapo shahidi, mshitaki au mshitakiwa asipohudhuria mahakamani...
Nimeona ni vema leo kuuliza maana hili jambo lanikereketa sana. Hii barabara imemalizika kujengwa mwaka 2008, lakini leo ukiitazama imechakaa vibaya mno. Eneo la Mivinjeni usipokuwa mwangalifu...
Miezi ya mwishoni mwa mwaka 2010 kampuni ya simu za mkoni ya vodacom ilianzisha huduma ya kupiga simu voda kwenda voda kwa nusu shilingi kwa sekunde katika mikoa ya Dsm, Morogoro na mikoa mingine...
Yule Spiritual leader wa kihindi Saibaba kafariki jana jumapili asubuhi baada ya kusumbuliwa na magonjwa mbalimbali(multiple organ failure actually). Society yake ya kiroho ilikuwa inaitwa...
MWAKA 2008, Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Maendeleo ya Elimu, Sayansi na Utamaduni (Unesco), lilitoa ripoti iliyoonyesha kuwa nchi nyingi duniani zimehamasika kuongeza fursa za elimu kwa...
SIO wazazi wote wanaoshindwa kufuatilia maendeleo ya watoto wao shuleni.Wapo wanaotamani kufanya hivyo na hata kuwasaidia kimasomo lakini wanakwazwa na matumizi ya lugha inayotumika shuleni...
Kitendo cha CCM kumtoa Yusuf makamba na kumuweka january makamba tena kwa kumrundikia mavyeo kunatia shaka ndani ya CCM na taifa pia, kuna siri gani kati ya kikwete na Makamba's. hii sawa na...
Bila shaka wewe msomaji unayesoma hapa utakubaliana na mimi kuwa umeshawahi kuzisikia kauli hizi kutoka kwa wanaume pale anapozungumziwa mwanamke mzuri kwa sura na umbo.
Kwa kawaida vipimo vya...
Babu wa Loliondo mchungaji Mwasapile amesitisha huduma ya kutoa dawa alimaarufu kikombe baada ya kufiwa na mwanae mkoani Manyara - Babati. Vibali vya magari kwenda huko vimesitishwa hadi hapo...
KIJANA Lillah Hussein (24), amehujumiwa kikatili na hatimaye amefariki dunia. Ni chini ya wiki moja tangu alipotendewa unyama usiomithilika. Alikamatwa, akatishwa, akapigwa na baadaye, kama vile...
Wadau wa technologia humu jf ninaomba code ya kuchakachua star times huku Arusha nipate chanel nyingi. Nimejaribu zile wadau walikuwa wanaweka humu zikakataa.
Imeshawai kunikuta sikumoja mjomba wangu anatuambia kwenye gari yake-(hicho kichwa cha habari hapo juu.)
Roll down windows rather than using air conditioning.
The Theory: Operating the AC to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.